kambale

Matthews Kambale (born 27 December 1952) is a Malawian former long-distance runner.
At the 1972 Summer Olympics in Munich, Matthews ran the men's marathon, finishing in 56th place with a time of 2:45:50. Kambale competed in both the 10,000 metres and the marathon at the 1984 Summer Olympics in Los Angeles: He finished twelfth in heat two of the 10,000 metres and so failed to qualify for the next round, and he did not complete the marathon.
He finished 26th in the 1982 Commonwealth Games marathon.

View More On Wikipedia.org
  1. Zero IQ

    Siasa Siasani, Mama kambale, Mtoto kambale, wateule Kambale wote wanajiona sawa

    Hakuna wa kushauri, hakuna wa kukemea, hakuna wa kutoa kauli ya mwisho , Wote wanajiona wana nguvu sawa. Nyumba isiyo na Baba, hata Mama akipewa mamlaka bado atajiona ni Mama tu . Tumeyakanyaga, tumeipenda wenyewe lazima tuinywe. Cc Zero IQ.
  2. XYZ987

    Tunauza vifaranga bora wa sato na kambale

    Nawasalimu wote, Tunazalisha na kufuga samaki aina ya Sato na Kambale. Vifaranga wanapatikana kwa bei ya Tsh 250 tu.. Ukichukua zaidi ya 1000 bei inapungua.. Tunapatikana Pwani Kibaha ,ila tunao uwezo wa kukusafirishia popote. Karibu inbox tuyajenge... Asante
  3. Xi jiping

    Nikifugia samaki kwenye kisima watakubali? Kambale

    Wakuu kisima changu kimejaa vyura kibao. Sasa nimewaza badala ya kujaza vyura si bora nifugie samaki. Maana kama vyura anaweza ishi samaki pia anaishi. Nataka nitafute niweke Kambale maana ndo naambiwa wana roho ngumu wanaishi hadi kwenye majaruba ya mpunga. Ushauri
Back
Top Bottom