kamati ya maadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mystery

    Inakuwaje kila anayeusema ukweli kuwa Bunge ni dhaifu, itafsiriwe kuwa amelidhalilisha Bunge na kuitwa kwenye Kamati ya Maadili?

    Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imemuhoji mbunge Jerry Slaa, mbunge wa Ukonga, kwa tiketi ya CCM, kutokana na amri iliyotolewa na Spika wa Bunge hilo, Job Ndugai, kwa madai kuwa amesema uongo na kulidhalilisha Bunge hilo! Ikumbukwe kuwa mbunge Jerry Slaa, siku chache zilizopita...
  2. Suley2019

    Bungeni, Dodoma: Askofu Gwajima agoma tena kukaa kwenye kiti wakati akihojiwa leo 25/08/2021. Asema amezoea kusimama

    Baada ya kuingia kwenye kamati ya Haki Maadili Na Madaraka ya Bunge Gwajima amegoma kukaa kwenye kiti alichoandaliwa na kukisogeza pembeni. Alipoulizwa na mwenyekiti Emanuel Mwakasaka kwanini hataki kukukaa alisema leo atasimama kwakuwa amezoea kusimama mara nyingi.
  3. M

    Mbunge Jerry Silaa kuingia na Sanduku la Vitabu kwenye Kamati ya Maadili inaleta tafsiri gani?

    Tumeshuhuduia jinsi Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa alivyoingia na sanduku lililosheheni vitabu na nyaraka mbalimbali, pale alipoitwa na kamati ya maadili kwa ajili ya mahojiano. Najaribu kutafakari kwamba kitendo kinaleta tafsiri gani, lakini nakosa majibu, mwenye majibu tafadhali atuwekee hapa...
  4. Linguistic

    Askofu Gwajima na Jerry Silaa wasimamishwa Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge

    Wakuu Wabunge Josephat Gwajima (CCM, Kawe) na Jerry Silaa (CCM, Ukonga) ambao ni wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge wameondolewa kwenye kamati hiyo hadi itakapoamuliwa vinginevyo. Nini Kitatokea mbeleni Tungoje, Kwa Mtindo Huu Wanaweza Hata Kupewa Adhabu ya...
  5. Jasusi Mbobezi

    Askofu Gwajima usitumie viti vya ukumbi wa mahojiano

    Habari za asubuhi, Napenda kumpongeza Askofu Gwajima kwa kupiga chenga ya kisigino pale alipokwepa kutumia kiti alicho wekewa. Napenda kumshauri yafuatayo atakapokwenda kesho. 1. Asikae kwenye viti vya pale mapokezi ikiwezekana asimame nje mpaka aje kuitwa. 2. Viti atakavyovikuta pembeni...
  6. Erythrocyte

    Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

    Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.
Back
Top Bottom