kamata

Shoji Kamata (鎌田 正司, Kamata Shōji, born 17 April 1935) is a Japanese basketball player. He competed in the men's tournament at the 1960 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamata Kamata ya CHADEMA Mbeya yashika kasi

    Kamata kamata ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuwasweka ndani, inaendelea kushika kasi mkoani Mbeya baada ya Katibu wa chama hicho Wilaya ya Rungwe, Award Karonga kukamatwa kwa tuhuma za uchochezi. Taarifa iliyotolewa leo na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya...
  2. Mnajua kwanini kamata kamata imeongezeka Kitaani?

    My people, Mnajua kwanini kitaani operation kamata kamata imepamba moto,hayo ni matokeo ya kutajana,wale walio kamatwa usifikiri watakula machungu peke yao,lazima muende wote na maji Kuna mwanangu mmoja yupo Songea,wadau walimpoint na mara paap wajeda hawa hapa wakamnyakua,ingawa ametoka baada...
  3. S

    PostGE2025 Kamata kamata mitaani imeshika kasi

    Polisi na wajeshi wanapita mitaa muda huu wanakamata kila mtu aliyekuwa nje..Huyo kijana mwenye shati jeupe amedakwa muda huu anapelekwa kwenye gari
  4. Vicky Kamata 'Wanawake na Maendeleo ' atoswa tena Geita

    Yule Malkia wa nguvu aka Mwanamke shupavu bingwa wa mambo ya urithi ametoswa tena huko Geita. Wajumbe si watu wazuri
  5. M

    Vijana wa CCM hapa JF mbona mnajifichaficha? Tuambieni kama hii hali ya kamata kamata na kupoteza watu mnaiunga mkono

    Mgambo wakiamrishwa nyuma geuka, yule aliyekuwa wa kwanza, huwa wa mwisho, na yule aliyekuwa wa mwisho huwa wa kwanza Kipindi cha awamu iliyopita, tuliungana wote kumpinga Magufuli hasa kwenye suala la kupotea kwa watu na kuonekana kwenye viloba, leo wana ccm mnataka kusema hamlioni hili? Ni...
  6. Hii kamata kamata ya washindani mnachochea vurugu ambayo hamtakuja kuizima

    Nyie endeleeni tu. Mnadhani watanzania mmewaokota? Jibu ni hapana. Watanzania wanabadilika. Wakati unawabadilisha. Wanaona matendo yenu. Na uzuri ni kwamba mnaishi nao katika jamii hii hii. IPO siku watawasaka mmoja mmoja. Na kila wakikamata watatangaza hadharani Leo tumekamata Malaya mmoja...
  7. Yanayoendelea kukamatwa kwa Lissu, na Heche ni kama mpango wa kuifuta No reforms no election

    Kamata Tundu Lissu, kamata John Heche, halafu kikao Cha Kamati Kuu kiitishwe, maazimio yawe No Reforms No Election ifutwe. Makamo Zanzibar anakaimu uenyekiti halafu Tume inasemwa ilikosea kusema Kusaini Kuna mwisho. CHADEMA wanasaini. John Mrema aliposema siku si nyingi watia nia wasikate...
  8. Timua timua ya Trump, mjifunze mkienda nje mjenge kwenu, tengenezeni kwenu hamuishi mileleee huko

    Kwa wale mnaopanga kwenda kuzamia Marekani na nchi nyingine, Nitoe shukrani zangu kwa Mwana wa Mungu Trump, aliyeletwa kufungua macho ya watu. Naomba niwajuze, mkiwa mnapambana huko Mungu awafungue, muliamshe jiji lenu na mfanye maendeleo nchini mkiwa hukooo. Kamata kamata ya Rais haijaja...
  9. CCM wangejua ya kwamba kamata kamata ya viongozi wa CHADEMA na kuwatendea vibaya CHADEMA wasingethubutu kufanya haya

    Hivi sijui kukosa ushauri au nini yaani CCM wanavyowafanyia hivi CHADEMA ndiyo mnavyozidi kuipa nguvu Chadema na kuipa promo kuuzika kwa wananchi nyie CCM mnaona mnaikomoa lakini kiuhalisia ndivyo mnavyozidi CCM kujichimbia kaburi lenu hivi mnavyoitesa na kuwatesa wapinzani ndivyo wapinzani...
  10. Mdada amechoka kuishi mwenyewe bila mume

    Baada ya kuona hapati mume, akaamua kuingia mtaani na kutafuta wa kwake, na kuanza kumng'arisha ili waendane. Kama wadada zetu wote wangekuwa hivi, kusingekuwa na tatizo la singo maza. Haya kazi kwenu, kuliko kuzeeka mwenye, nenda pale maeneo ya stendi, kamata wako, anza kumkarabati jinsi wewe...
  11. L

    Jakaya Kikwete: Ukitaka Nchi Itulie Kamata Wazee

    Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete ametoa ushauri kwa Jamii kuwatumia Wazee kupata uzoefu na maarifa huku akiweka msisitizo wa kauli aliyowahi kuambiwa na Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kwamba ukitaka ‘Nchi itulie kamata Wazee’ akisema ni muhimu kuwatumia Wazee kwasababu wana maarifa ambayo...
  12. Anthony Lusekelo atoa msimamo mkali sakata la Chadema Mbeya

    Katika kipindi hiki cha vuguvugu la kisiasa nchini Tanzania, sakata la kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa Chadema waliokusanyika Mbeya Agosti 11, 2024, lilizua gumzo kubwa. Mchungaji Anthony Lusekelo, maarufu kama Mzee wa Upako, naye hakuachwa nyuma katika kutoa maoni yake kuhusu...
  13. Kamata hii!

    Wakati wa kununua ng'ombe, usinunue kijijini kwako. Kwa sababu siku moja ng’ombe akienda mtoni kutafuta maji au kunywa maji, na mwenye ng’ombe wa zamani aliyekuuzia akimuona anaweza kumuelekeza aende nyumbani kwake, atamkamua kisha atamuachia ili arudi kwako. Hatimae Baadaye utakapojaribu...
  14. R

    Tumerudishwa tena kwenye habari mbaya Duniani; Naamini waliopanga hizi kamata kamata wanakwenda kupoteza kibarua

    Waliopanga hizi kamata kamata walikosea. Walishindwa kufahamu kwamba Dunia inaendeshwa kwa vyombo vya habari vya magharibi kuliko vya ndani. Al-Jazeera na BBC ni vyombo vikubwa, vinaweza kukijenga na utakumbuka awali vilivyotumika kupooza upepo wa JPM alipoingia Mama. Leo vimeingia Ulingoni na...
  15. R

    PreGE2025 Je, jeshi la Polisi litatekeleza maelekezo ya Dkt. Nchimbi ya kuwaachia viongozi wa CHADEMA? Haiwezekani akawa yeye pia ana mamlaka ya kusema kamata?

    Kama Karibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi anaweza akaelekeza waliokamatwa waachiwe na Vyombo vikatii, upo uwezekano huyu ndiye aliyeagiza wakamatwe. Tukumbuke Juzi alimtaka Lissu ajiunge CCM then Lissu akamjibu shit, yawezekana kabisa mzee Nchimbi alichukia akaamua kutoa maelekezo kuonyesha...
  16. PreGE2025 Tundu Lissu, John Mnyika na Joseph Mbilinyi Wawasili Mbeya kwa ajili ya Kongamano la Bavicha, Wapuuza Amri ya Polisi

    Viongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wamekwishawasili Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la siku ya Vijana. Wamejiapiza kwamba hawatatii amri batili ya Polisi wataendelea na Ratiba yao kama ilivyopangwa Pia soma: Kuelekea 2025 - Msajili...
  17. Nikikumbuka Mabasi ya Mwendokasi, TAZARA, TRC, KAMATA, UDA, ATC, makampuni ya usafiri ya mikoa KAUDO, KAUMA, KAURI nk sina Imani na SGR

    Wakuu. Hii SGR imeanza kwa mbwembwe nyingi kama zilivyoanza kampuni nilizozitaja hapo juu zikisimamiwa na serikali kama DART ambayo ilianza kwa mbwembwe nyingi kama SGR ikuwa na mabasi ya kisasa yenye kamera, screen, mike zikifanya kazi na mpangilio mzuri wa tiketi hadi kutumia kadi na simu...
  18. R

    Miaka 60 ya Muungano imegubikwa na kamata kamata za polisi kuliko mijadala ya kitaifa? Nani yupo nyuma ya hujuma ya 4R za Rais?

    Vyombo vya habari zimeripoti mambo mengi ya Muungano lakini wananchi wamekataa kujadili na kusambaza habari njema ya uzima wa Muungano. Mtaani hakuna mtu anahangaika na gwaride wala hotuba watu wapo busy kujadili picha za waliopotea. Boniface na Malisa wameteka mijadala ya ndani na muda si...
  19. (FSB) Usalama wa taifa Urusi waanza kamata kamata ya makundi ya kiislamu

    Hatimaye Urusi imeanza kuongea lugha moja na dunia, hawa watu sio wa kucheka nao, unacheka nao wanakulipua, wanafundishwa chuki tangia utotoni mpaka wanakua watu wazima unafikiri wewe utawabadilisha leo? Nchi yote imetaharuki, hamna pita pita za wanaume waliovaa mikanzu...
  20. Kamata kamata ya sukari itaongeza tatizo kwa walaji, chonde Serikali acheni hii kitu

    Nimesikitika sana asubuhi kusikia viongozi wanajitamba kuwakamata wafanyabiashara wanaouza sukari bei juu...😜😁😁Nachrka kwa dharau. Unamkamata muha,mangi mwenye kirobba cha kg 25 kanunua 100,000 unataka uauzeje sukari? Yeye kanunua duka la jumla, kosa lake ni nini? Yeye hana kiwanda, kwanini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…