kafulila

David Zacharia Kafulila (born 15 February 1982) is a Tanzanian NCCR–Mageuzi politician and Member of Parliament for Kigoma South constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Katika mkakati wa PPP ya Kafulila serikali isijenge stendi na masoko.

    Serikali sasa iachane na ujenzi wa stendi za magari na masoko. Haya ni mambo yanayoweza kufanywa na watu binafsi na pia hakuna maana tena ya kujenga majengo makubwa ya kukufanya watu pamoja kama stendi na masoko. Serikali sasa ijikite katika kujenga miondombinu ya reli na viwanja vya ndege...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Hii sio Dunia ya Serikali kuhodhi ujenzi wa miradi yote mpaka choo- David Kafulila

    Kafulila: Serikali Haiwezi Kujenga Kila Kitu, Sekta Binafsi Ipewe Nafasi. == Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema Serikali haiwezi kumudu kugharamia kila aina ya mradi nchini, hasa miradi ya kibiashara, wakati mahitaji ya...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania TICD ARUSHA: Kafulila katika mhadhara maalum wa Umma

    https://www.youtube.com/live/pMhiTp9NL64?si=xROoNvI7LdkavRdN Mjadala wa PPP na Maendeleo ya Tanzania Waendelea Arusha == Mjadala kuhusu nafasi ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) katika kuchochea maendeleo ya Tanzania unaendelea leo, Agosti 14, 2026, katika kongamano la Public...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ubia si hiari, ni mkakati madhubuti wa kuikomboa nchi kiuchumi-David Kafulila

    Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaendelea kuimarisha mazingira yanayowezesha maendeleo ya sekta ya lojistiki, usafirishaji na elimu ya ufundi ili kufanikisha utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo, akisisitiza kuwa sekta hizo ni nguzo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Hayati Benjamini Mkapa aliweza kuukuza Uchumi wa Tanzania na kuwa karibu sana na wa Kenya | Endelea kupumzika kwa amani Mzee Mkapa

    SEHEMU YA KUMBUKUMBU YA RAIS MKAPA: MIAKA 6 TANGU ATUAGE Anaandika Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), Bw. David Kafulila, kupitia mtandao wa X. Na David Kafulila Julai 24, 2026 Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Fedha Duniani (IMF), ukubwa wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Suala sio kuwa na watu wengi Swali ni Je, wanazalisha nini kwa wingi wao | Singapore inawatu mil 6 lakini imetupita mbali kiuchumi

    == Akihutubia katika mhadhara wa umma maalum uliofanyika Chuo Kikuu cha SUA, Bwana David Kafulila, Mkurugenzi Mkuu wa PPPC Tanzania, alisema mjadala kuhusu kupunguza idadi ya watu una sura mbili: wa kiimani na wa kiuchumi. Alisisitiza kuwa yeye hawezi kuingilia mjadala wa kiimani, lakini katika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii Dunia imejaa madeni kila kona haiwezi kujiendesha kwa Kodi na Mikoo tena | Tegemeo la Dunia kwa sasa ni Ubia (PPP) - Kafulila

    KAFULILA: DUNIA IMEJAA MADENI UBIA NDIO SULUHISHO Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, David Kafulila, akizungumza katika mhadhara wa umma Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), alisema kuwa ajenda ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi siyo ya Tanzania pekee, bali ni mwenendo wa dunia kwa sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa nini Kafulila amegeuka kuwa mwalimu wa kufundisha PPP na faida yake ni ipi?

    Nini kimemfanya Kafulila kuwa anazunguka sehemu mbalimbali hasa vyuoni kufundisha PPP wakati Tanzania imekuwa ikifanya miradi ya PPP miaka mingi sana tangu awamu ya tatu enzi za Rais Mkapa? PPP imekuwepo kwenye afya ambapo serikali imekuwa ikishirikiana na makanisa katika hospitali, bandarini...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Chuo Kikuu Mzumbe wamtaja Kafulila kama mtaalamu mwenye uzoefu zaidi na usimamizi wa miradi ya PPP

    Mhadhara wa umma unaofanyika katika Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Mbeya umehudhuriwa na wataalamu na wanazuoni mbalimbali ambapo Mhadhiri wa chuo hiko kutoka Idara ya Mafunzo ya Biashara na Mtaalam wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), Dkt. Jasinta Msamula amemuelezea Mkurugenzi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania UDOM: Hizi hapa hoja 15 nzito alizozipangua David Kafulila

    Wasalaam, Hivi ndivyo alivyofanya David Kafulila chuo kikuu cha DODOMA, amefafanua jambo moja baada ya jingine kwa kina, Soma mpaka mwisho l, === 1. $1 Trilioni Club inawezekana Historia inatufundisha: Korea Kusini ilitoka uchumi wa ∼$90-100 bilioni → $1+ trilioni ndani ya miaka 25. Mwaka 1995...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: David Kafulila aifikisha Tanzania nafasi ya 9 Duniani kwa PPP.

    Hongera Rais Samia, Hongera Kafulila Hongera team PPP Centre
  12. Y

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Happy family day Tanzania

    Leo ni siku ya familia duniani. Hii ni taasisi ya msingi katika ujenzi wa Nchi, Uchumi na Taifa lolote duniani. Moja ya changamoto kubwa kiuchumi inayokabili familia zetu nyingi ni changamoto ya uzazi wa mpango.Hivyo ukubwa wa familia zaidi ya uwezo wa wazazi kumudu gharama za watoto kuwapa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Tanzania ili kufikia Uchumi wa USD Trillion Moja lazima tufikie uwekeezaji wa USD Trillion 3.7 hili haliwezekani kwa Kodi na Mikopo

    === Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Ubia nchini (PPPC), Bwana David Kafulila, amesema kuwa wakati wa kupitisha sheria za ubia, Tanzania iliruhusu kutatua migogoro kwa mamlaka za ndani. Hata hivyo, pale ambapo suluhu haikupatikana, ama kwa upande wa mwekezaji au taasisi ya umma, kulihitajika haki ya...
  14. JamiiForums Tanzania KAFULILA: Happy Wauguzi day, Kwa mujibu wa WHO, uwiano unaopendekezwa ni wauguzi 45 kwa kila watu 10,000, huku Afrika ikiwa ni 18 kwa watu 10,000

    KAFULILA ANASEMA UBIA (PPP) NI NGUZO MUHIMU KATIKA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NA UUGUZI Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre), David Kafulila, amesema kuwa ubora wa rasilimali watu kupitia afya na elimu ndio msingi mkubwa wa Tanzania kufikia...
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Kafulila atekeleza ahadi ya Ubia wa kukagua magari Kidigitali ni wa Sh. Bilioni 300 kwenye mikoa 26

    Ni, Ubia wa PPP wa Dola Milioni 116: Vituo vya Ukaguzi wa Vyombo vya Moto Kujengwa Mikoa 26 === Dar es Salaam – Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuvutia mitaji binafsi kupitia ubia wa sekta ya umma na sekta binafsi (PPP), baada ya kusainiwa mkataba wa thamani ya Dola za Marekani milioni 116...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni ngumu kumfukuza mtumishi wa Umma Mzembe kazini | Salamu za Meimosi kutoka kwa David Kafulila

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika salamu zake za Meimosi amesema ingawa sheria ya kumlinda mtumishi wa Umma dhidi ya matumizi mabaya ya madaraka kutoka kwa viongozi waovu, Lakini kwa sasa imekuwa mzigo kwa walipa kodi kwa sababu ugumu wa kumwondoa mtumishi...
  17. JamiiForums Tanzania Nani anafatilia uropokaji wa Kafulila?

    Heshima sana wanajamvi, Kafulila tunaweza kumweka katika kundi la wanasiasa wepesi sana. Hana akili zaidi ya kujikomba na kusifu waliomteua. Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuna nini hadi Tumbili kila uchao utamsikia kasema hili kabwatuka lile. Ukitazama kauli zake nyingi zimejaa ujinga na...
  18. U

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Nchini Botswana ni rahisi zaidi kumfukuza kazi mtumishi Mzembe kuliko Tanzania, Je Sheria yetu ya Utumishi ni Mzigo kwa Walipa kodi?

    === Akiongea katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana Kafulila aliwapongeza wafanyakazi kwa mafanikio makubwa ya kuifanya ajenda ya PPP kueleweka kwa kasi kwa umma na mfumo mzima wa Serikali. Akaendelea kusema, Mafanikio hayo yamepelekea...
  19. Y

    JamiiForums Tanzania Mada kuu: Msikilize kwa makini David Kafulila akifafanua jinsi Taifa litakavyokusanya trlioni 477 za Maendeleo kwenye FYDP-IV

    https://youtube.com/live/luCqPlMzdcU?feature=share Sikiliza hii David Kafulila na wenzake wakifafanua jinsi Taifa litakavyokusanya trlioni 477 za Maendeleo kwenye FYDP-IV (2026|27-2030|31)
  20. JamiiForums Tanzania Kafulila ameenda wapi na PPP zake na udadavuzi wa uchumi?

    Ni muda mrefu sasa Kafulila hajasikika akileta taarifa za PPP kama tulivyomzoea akitoa taarifa na kudadavua mambo mbalimbali ya uchumi. Kabla ya October 2025 Kafulila alikuwa moto sana na taarifa zake za PPP zilijaa kwenye media hadi hapa jukwaani. Kulikoni?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…