kada

Alexis Yougouda Kada (born 29 November 1994) is a Cameroonian professional footballer who plays as a midfielder for Moroccan club Maghreb de Fés. In 2013, he made an international appearance for the Cameroon national team.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    KERO Watumishi Kada ya Elimu Manispaa ya Ubungo hatupewi fedha za Likizo, wanaishia kutujazisha fomu tu

    Sisi ni Wadau wa JamiiForums natokea Manispaa ya Ubungo Kada ya Elimu Kero yetu ni Juu ya Pesa za Likizo tangu nihamie Manispaa ya Ubungo ni Mwaka wa tano lakini mpaka leo hatujawahi kupewa hela ya likizo tunaishia tu kujaza fomu hatujui hizo hela anapokea nani kama kweli zinatoka. Tunaomba...
  2. Nimekuwa SHORTLISTED kada zaidi ya 3, naweza kufanya usaili kada zote au natakiwa kuchagua moja tu?

    Habari guys? Ndugu zangu, kamanda wenu Keyboard Warrior nataka kuingia serikalini. Sasa miezi kadhaa iliyopita nilifululiza sana kutuma maombi ya kazi AJIRA PORTAL, leo nimechungulia nimekuta nimeitwa kwenye usaili katika kada zaidi ya 3. Matangazo ya kada zote wanasema usaili utafanyika kwa...
  3. Halmashauri nchini zimejipanga kumchafua Rais Samia kwenye ahadi yake ya siku 100 kada ualimu na afya

    Habari za asubuhi Katika hali ya kushangaza halmashauri karibu zote Tanzania zinataka kuchafua jitihada kubwa za Mh Rais Dr Samia Hassan Suluhu alizoweka kwa kutoa ajira takribani 12,000 kama ahadi yake ya siku 100 alivoitoa na kwa asilimia 100 kaitekeleza. Kipembepembe kinakuja kwa hawa...
  4. R

    Rais Samia unaitisha maridhiano wakati huo huo unambambikia kada wako mtiifu Godfrey Malisa kesi ya kubumba ya uhaini! Are you serious na maridhiano?

    Rais wangu, kwa heshima na taadhima kubwa, Unaonekana ni mzaha na dharau! Dhamira ya kweli na common sense tulitegemea watu wote wenye kesi za kubumba wawe huru ukianza na Lisu, angalau kwa mbali kuwa umeanza kubadirika! Utekaji, uuaji, upotezwaji, ulawiti, ufiraji, ubakaji bado uko pale...
  5. T

    Ajira mpya kada mbalimbali

    Ukihutaji msaada wasiliana na 0623446608
  6. PostGE2025 Odero Charles kwa Warioba: Tusiligawe Taifa kwa sababu za kisiasa

    Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Odero Charles Odero, amewataka viongozi wa kisiasa nchini kutumia kauli zinazojenga umoja, faraja na matumaini kwa wananchi, hususan katika kipindi ambacho taifa linapitia changamoto mbalimbali...
  7. Kwanini walimu ndo wanaongoza kwa KUTAPELIWA kuliko kada zote?

    Good afternoon class Naomba kuuliza hivi walimu wanashida gani? Maana kwenye hatua zote tatu asilimia 50 lazma watapeliwe Hatua ya kuomba kazi hapa wanapiga sana, vilio hapa ni vingi mno Hatua ya kuingia kazini, hapa waliobahatika kupata napo utapeliwa sana wakipata visenti vyao sio na...
  8. GE2025 Sheikh Sharif Majini afariki dunia kwa kupigwa risasi siku ya uchaguzi

    Inasemekana kuwa kada mtiifu wa CCM sheikh Sharifu Majini alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi. Sina uhakika wa hii taarifa, ila kama ni kweli Mungu ampumzishe anapostahili. Hana haja ya kupewa R.I.P.
  9. Ualimu ndo kada ambayo wakikosa mshahara kwa miezi 2 tu watumishi wake watakuwa ombaomba

    Watumishi wa hii kada ni kama wana laana vile hasa hapa Tanzania, watumishi wake karibia 95% wanategemea mshahara tu kwa 100% ajira hazijawasaidia kabsa kuanzisha miradi ya pemben yenye tija. Tatizo bado sijajua ni nini haswa lakn hii kada ndo inaongoza kwa vilaza, yan watu ambao hawajui lolote...
  10. Kada wa CHADEMA aliyempiga teke askari wa FFU amejiletea adui wengi na rafiki wengi

    Hatujaona ushujaa kama ule,askari mmoja kapigwa teke, mwingine kapigwa ngumi. Lakini yule mtu alikuwa cornered. He was fighting his way out. Lakini kama alivyosema Afande Muliro,ukumbi ulikuwa umeshajaa kwa hiyo wale wa kule nje uwepo wao ulikuwa ni kuleta fujo . Mi bado ningependa kuona haya...
  11. H

    Elimu ya mkoloni haikuanzishwa kwa Waafrika ili iwape maisha bali ili wawatumikie wakoloni ktk kada za mbovu

    Jitafakari!!
  12. "Kada mbubujikwa" aliyesomea Amazon Collage

    Hakika inastaajabisha! Kuna ndugu yangu mmoja ni kada wa chama cha siasa hapa Afrika Mashariki, kwa kweli hashikiki linapokuja suala la elimu. Huyu "kada mbubujikwa" ni miongoni mwa wale makada kindakindaki ambao wako tayari kuvishwa hata sketi kwa ajili ya kukitetea chama chao. Alinisimulia...
  13. GE2025 Kada wa CCM ampasua Rostam Aziz!

    ==== Alichokizungumza ni kuwa hoja za Rostam Aziz ni dhaifu kwenye kumjibu Humphrey Polepole. Amesema hayuko upande wa Polepole lakini hoja za Rostam Aziz si sahihi hivyo ametoa wito kwa CCM kutumia wasomi wa kumjibu Polepole Pia Soma >> GE2025 - Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi -...
  14. PreGE2025 POTOSHI Kada huyu wa CCM ameuawa na Redbrigade wa CHADEMA

    Wakuu ==== Je, kuna ukweli wa taarifa hizi?
  15. M

    Iringa: Kada wa CHADEMA auawa kikatili na wasiojulikana

    Ni vilio na simanzi katika mtaa wa Mkimbizi D, kata ya Mkimbizi, manispaa ya Iringa, kufuatia kuuawa kikatili kwa mjane Anastazia Mwamongi, maarufu kama Mama Mwamongi, ambaye pia ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya mwili wake kukutwa ndani ya nyumba yake ukiwa na...
  16. Possible za written na oral interview kwa kada za afya

    Habarini za wakati huu. Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa ambao walishawahi kufanya written na oral interview za PRSR kwa upande wa kada ya afya Assistance Nursing Officer ( ANO) naomba anayejua maswali ambayo huwa yanaulizwa nataka nipate mwanga kidogo. Asanteni
  17. T

    Ili tufikie malengo ya dira ya taifa kabla ya muda tarajiwa inabidi kupunguza Pato la wanasiasa wapewe wataalamu wa kada mahususi

    Nimeisikiliza dira ya taifa ya kuelekea 2050 japo naona haijatutendea haki kwani imetukadiria kwa udogo lkn kama hatutakuwa serious tunaweza tusitoboe. Jambo muhimu ninalopendekeza ili kufikia malengo hayo kwa haraka lazima tupunguze maslahi kwenye siasa na tuweke hayo maslahi kwa wataalamu na...
  18. W

    Polepole asikitishwa na kada aliyefukuzwa uanachama kwa kukosoa mchakato wa kupata mgombea. Hoja haipigwi rungu

    Humphrey Polepole amehoji waliobadili utaratibu wa chama wametumwa na nani? Pia ameshangaa kuona mtu aliyehoji na kukosoa amefukuzwa.
  19. R

    Kada wa CCM ahamia CHAUMMA

    Aliyekuwa Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Peter Buhime amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), na kukabidhiwa kadi na Mkurugenzi wa Mawasiliano kwa Umma wa Chaumma, John Mrema katika Mji wa Biharamulo Peter, aliyewahi kuwa mtia nia wa Ubunge Jimbo la Biharamilo kupitia CCM...
  20. CHADEMA wadai kada wao amefichwa polisi Dar

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikidai kuwa kada wake Leonard Magere amefichwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamanda wa kanda hiyo, Jumanne Muliro ametaka suala hilo waulizwe Idara ya Uhamiaji. Magere ambaye ni mtaalamu wa Fedha na Uwekezaji wa CHADEMA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…