kada wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    John Heche ashiriki mazishi ya Mama Robahi Samson, akemea utekaji na mauaji yanaendelea

    John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), ameshiriki mazishi ya Mama Robahi Samson yaliyofanyika leo tarehe 3 Februari 2026 katika Kata ya Sirari, Kijiji cha Buriba Sirari wilayani Tarime Mkoa wa Mara. Marehemu ni mama mzazi wa kada wa CCM, Sinda Geteba, aliyetekwa. Sindar Ghiteba, ambaye...
  2. Waufukweni

    PostGE2025 Zakayo Wangwe (Kada wa CCM) akimbia nchi. Adai wanataka kumuua

    Kada ya CCM Tarime mkoa wa Mara Zakayo Wangwe aelezea kwa kina hali ya siasa Tarime na changamoto iliyopo ikiwa mbunge wa CCM Waitara atapitishwa kugombea 2025 Kada Zakayo Wangwe amesema kuwa kuna makundi ya CCM Halisi na CCM wakuja ya Waitara yanayokinzana na kumlaunu mbunge Waitara ndiye...
  3. ChekoFagia

    PostGE2025 Morogoro: Kada wa CCM, Alex Chage adaiwa kuchukuliwa nyumbani kwake na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi usiku wa manane

    Watu wenye silaha, wakiwa na gari aina ya Toyota Landcruizer isiyo na plate number wamevamia nyumbani kwa mwanaharakati wa mazingira na kada wa CCM, Alex Chage mjini Morogoro majira ya saa 8 usiku wa kuamkia leo, na kumchukua kwa nguvu mbele ya mke wake na mwanae. Watu hao waliojitambulisha...
  4. Idugunde

    PostGE2025 Kada wa CCM Godfrey Malissa: December 9 kutakuwa na maandamano ambayo hajawahi kutokea. Samia imefika muda wa kuachia ngazi

    Mzee Malissa amekuwq mbadala wa Polepole? Anatoa Amri rais Samia ajiuzulu huko FB na Twitter. Anadai iundwe serikali ya mpito. Rais awe mwanajeshi au mstaafu au aliyepo jeshini "Kutakuwa na maandamano ambayo hayajawahgi kutokea Afrika. Maandamano hayo yatakuwa na utulive. Lengo la maandamano...
  5. R

    GE2025 Kada wa CCM, Manson Kimbo: Vijana tukosoe viongozi kwa heshima, tushiriki uchaguzi kwa amani na tukachague CCM

    Mdau wa maendeleo na kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Manson Kimbo, amesisitiza kuwa vijana wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika kulinda amani ya Tanzania kwa wivu mkubwa. Amesema maendeleo ya taifa lolote hutegemea amani, hivyo amewataka vijana na jamii kwa ujumla kuepuka kushiriki katika...
  6. R

    GE2025 Kada wa CCM, Baraka Shamte: CCM lazima imsaidie na kumtetea Rais Samia kwa huu unafiki, usaliti na propaganza zinazoendelea Mitandaoni

    kada wa chama cha mapinduzi (CCM), Baraka shamte amewataka chama kimsaidie Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hssan katika kumsafisha kwa propaganda zinazotokea kwenye mitandaoo ya kijamii Chanzo: Mnana TV
  7. Idugunde

    Sijaona Kada wa CCM mwenye uwezo wa kujibizana na Polepole

    Hii ipo wazi kabisa. Hata Steven Wassira na ujanja wake wa kupangua hoja amekwama. Mfano Wassira anakiri kuwa ni kweli katiba ya JMT imekiukwa maana rais Samia ametumika zaidi ya miaka 3. Hili la utamaduni wa kumuachia aendelee ni kinyume na katiba ya JMT. Mkuu wa mkoa wa Dar kuropoka kuwa...
  8. Ileje

    GE2025 Kada wa CCM ampasua Rostam Aziz!

    ==== Alichokizungumza ni kuwa hoja za Rostam Aziz ni dhaifu kwenye kumjibu Humphrey Polepole. Amesema hayuko upande wa Polepole lakini hoja za Rostam Aziz si sahihi hivyo ametoa wito kwa CCM kutumia wasomi wa kumjibu Polepole Pia Soma >> GE2025 - Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi -...
  9. Just Pray

    GE2025 Kada wa CCM Simiyu alalamikia mchakato wa kuteua wagombea, asema bila haki tutapata wabunge ambao si wazuri

    Wakuu Aliyekuwa mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Meatu mkoani Simiyu kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Godfrey Sitta Sukari, akitoa malalamiko yake dhidi ya viongozi wa Chama Mkoa na Wilaya akidai kuhusika kwao kuvuruga zoezi la uteuzi wa wagombea mkoani hapo.
  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Kada wa CCM ageuka mbogo sakata la uteuzi wa wagombea ubunge, majina hayakufika Dodoma

    https://youtu.be/BhcymOXCtEM Kamati kuu ya Chama wajaribu kurudia na kutazama upya mchakato wa kuteuwa wagombe wa Ubunge hususani kutoka Jimbo la Meatu ili haki itendeke zaidi. Ambapo viongozi wa chama waje Jimbo la Meatu wasikilizeni wananchi kilichokuwa kinafanyika, ambapo viongozi wa chama...
  11. Waufukweni

    GE2025 Mwandishi wa Habari na Kada wa CCM, Harubu Kabwe: Nitamlinda Rais Samia kwa gharama yoyote, yeye ni Lulu ya Taifa letu

    Mwandishi wa Habari na Kada wa Chama cha Mapinduzi, Harubu Kabwe amesema; "Nitamlinda Rais wangu Samia Suluhu Hassan kwa gharama yoyote ile, Rais ni Lulu kwa Taifa letu la Tanzania"
  12. B

    Kada wa CCM Simiyu atoa tuhuma nzito za rushwa kwa Kamati za Siasa za Wilaya na Mkoa

    Kada wa CCM Mkoa Simiyu, Godfrey Sitta Sukari akizungumza na waandishi wa habari alieleza kupitia uzoefu wa kuwa mwanachama muda mrefu, alisema kumekuwepo mabadiliko ya hivi karibuni ya kanuni na vifungu kwenye katiba ya chama ambapo kama vijana lazima wakosoe na kupongeza kwa mema Pia ametoa...
  13. R

    Kada wa CCM ahamia CHAUMMA

    Aliyekuwa Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Peter Buhime amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), na kukabidhiwa kadi na Mkurugenzi wa Mawasiliano kwa Umma wa Chaumma, John Mrema katika Mji wa Biharamulo Peter, aliyewahi kuwa mtia nia wa Ubunge Jimbo la Biharamilo kupitia CCM...
  14. M

    Picha: Kada wa CCM na sheikh anayefurahia Watanzania watekwe na kuuwawa ili kulinda Amani ya nchi

    Ndio kusema hajui kama kuna Mahakama? Amependekiza watu wakatwe vichwa ili amani iendelee kuwepo 👇
  15. Frank Wanjiru

    Rufiji: Kada wa CCM Shaban Matwebe akataliwa kuchukua form ya kugombea Ubunge jimbo la Mchengerwa.

    Kada wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amelalamikia kuwa Katibu wa Chama hicho Wilaya ya Rujifi amekataa kumpa fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Rufiji. Akiongea leo July 1 2025 Matwebe amesema hiyo sio mara ya kwanza kwake kupata changamoto kwani alishawahi kukamatwa na...
  16. PAYE

    GE2025 Kada wa CCM Hezroni Mtawa achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Ileje

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Ileje Mkoani Songwe Hezroni Mtawa ambaye pia ni Mhadhiri Chuo Cha Mipango Dodoma amechukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Ileje. Amekabidhiwa fomu hiyo mapema June 28,2025 na katibu wa chama hicho wilaya ya Ileje Hassan Lyamba ,huku akisema endapo...
  17. W

    GE2025 Kada wa CCM Aloyce Mwenda achukua fomu ya kuomba ridhaa jimbo la Lupembe

    Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Njombe Bwana Aloyce Mwenda amechukua fomu kuomba ya Ubunge katika Jimbo la Lupembe. Bwana Mwenda amesema Yupo tayari kuwatumikia Wananchi wa Jimbo La Lupembe endapo Chama Cha Mapinduzi(CCM) kitampa ridhaa ya kuwa Mgombea Ubunge. Chanzo: Uplands Fm
  18. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Muinja Maingu atia nia ya kuwania nafasi ya ubunge jimbo la Musoma vijijini kupitia CCM

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi na mdau mkubwa wa maendeleo Musoma vijijini Ndg. Muinja Maingu metia nia ya kuwania nafasi ya ubunge Musoma vijijini. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  19. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Daniel Mwangili atangaza nia ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kalenga

    Kada wa Chama cha Mapinduzi Mkoani Iringa Ndugu Dr Daniel Mwangili ametangaza nia ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kalenga Mkoani Iringa, Mwangili ambaye ni mzaliwa wa Kata ya Luhota Jimbo la Kalenga ameeleza nia hiyo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari. Mwangili ameeleza kuwa anao...
  20. The Palm Beach

    PreGE2025 Kada wa CCM: Rais Samia mwachie Tundu Lissu (Msingida) inatia doa uongozi wako bora

    Mtazameni na msikilizeni huyu kada wa CCM kisha tia neno unapata ujumbe gani kupitia kwake kuhusu kesi ya Tundu Lissu.... Anamtaka Mwenyekiti wake taifa - CCM, Bi Samia Suluhu Hassan kumwachia Tundu Lissu kwa sbb eti "..inatia doa uongozi wake bora..!!" Kwa wajuvi wa mambo ya propaganda za...
Back
Top Bottom