kaburi

Kaburi is a Papuan language of the Bird's Head Peninsula of West Papua.

View More On Wikipedia.org
  1. Haya yanayosadikika kuhusu Kaburi la Siri la kijiji cha Lubasazi la Bibi Ajuza ni ya kweli?

    Mwaka 1982, kijiji cha Lubasazi kilichopo Kata ya Kolero, Wilaya ya Morogoro Vijijini, kilipata msiba mzito. Mzee wa heshima kijijini hapo alifariki. Halikuwa jambo la kawaida watu walianza kusema yule Mzee hakufariki kifo cha kawaida, kuna mkono wa watu. Baada ya mazishi maisha yaliendelea...
  2. Anga la Israel lageuka Kaburi kwa makombola kutokea Yemen!!

    Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel yaendelea kuonyesha umahiri wake wa kup opona makombola kutoka Yemen, kątka kipindi cha mwezi April 2025 makombola zaidi ya 26 yamepopolewa kwa ustadi mkubwa na mifumo ya ulinzi wa anga.
  3. Miujiza ya kushangaza yafanyika katika kaburi alilokuwa amezikwa Yesu!

    Kaburi alilozikwa Yesu baada ya kufa msalabani, limehifadhiwa katika nchi ya Israeli hadi leo. Watu wanaoingia ndani ya kaburi hilo, wamekuwa wakishuhudia uwepo wa Mungu na miujiza mingi. Katika kaburi hilo ndipo ulipofanyika muujiza mkubwa wa kufufuka kwa Yesu. Baada ya hapo miujiza mingine ya...
  4. R

    Hoja juu ya Biblia Agano Jipya: Je ni kweli Wayahudi walikuwa wakifungua kaburi baada ya kumzika mfu ili kumpaka marashi?

    Tunaelezwa katika maandiko ya Injili kwamba siku Yesu alipofufuka wanawake watatu walienda kaburini wakiwa na marashi/manukato ili waupake mwili wa Yesu. Je, kweli kihistoria hii ilikuwa desturi ya Wayahudi mtu ameshazikwa wafungue tena kaburi na kumpaka manukato (or preservatives in that...
  5. Kahiji kwenye kaburi la babu yako kijijini kwenu acha kwenda Makka na Israel kuhiji kwa mababu wa wenzako

    Africa, Africa, Africa acha kupoteza mamilioni ya shilingi kufanya huu ushirikina kwa mababu wa wenzako huko Israel, Makka na Madina. Nenda kahiji kwa babu yako kijijini kwenu. Au acha kabisa kuhiji maana kuhiji popote pale ni ushirikina tu. Wazungu na waarabu wakakudanganya kuwa kuzuru kaburi...
  6. S

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa: Hili Bango ndio kaburi la Mbowe

    Kuna hili bango linadaiwa kuonekana huko Dodoma katika Mkutano Mkuu wa CCM. HIili bango kwangu ndio kaburi la Mbowe kwa wakati huu. CCM wamekosa maarifa kwa kiasi kikubwa sana. Sijui ni nani alishauri kitu kama hiki wakati huu Mbowe amechafuka. Team Lissu sijui Mungu awape nini tena kwenye...
  7. Benjamin Natanyahu: kaburi lako halitajaa mchanga

    Kwa uovu na ujahili unaoufanya kwa wapalestina,fimbo ya Mungu inakusuburi,utakufa vibaya na kaburi lako halitajaa mchanga,unaua watoto,wazee,waandishi wa habari,modokta,manesi,wanawake wenye mimba,vikongwe hakika Mungu anakuona siku yako ipo karibu
  8. 5

    Hii interview ya Lissu ndio kaburi la Mbowe, Lussu amekokomoka yote

    https://www.youtube.com/watch?v=U1vjcZOGJZ4
  9. C

    Kaburi la baba yake Asad lachomwa moto na waasi

    Niaje niaje, katika kuendeleza msururu wa matukio baadaya kuanguka utawala wa mkono wa chuma kutoka kwa familia ya asad waasi waliopindua serikali wamechoma moto kaburi la baba yake na asad. Hii inadhihirisha kuwa kama hawa jamaa wangemkamata mikononi basi alikuwa analiwa supu kabisa .hapa...
  10. Kaburi la hafez al assad baba yake bashar al assad limelipuliwa leo na waasi walioteka nchi

    Kaburi hilo limelipuliwa na kuharibiwa vibaya mno na waasi waliochukua nchi kwa kumfurusha bashar al assad Ikumbukwe hafez al assad aliwaua wasunni wengi sana wakati akitawala syria kwa mkono wa chuma ilibidi afanye hivyo sababu madaraka aliyapata kwa mapinduzi ya kijeshi Hii habari...
  11. MAKINIKIA: Hekaya fupi ya kaburi la wanapendanao lililopo katika jiji kongwe la Tanga ambalo linasemwa kuwa ndiyo kitovu cha mapenzi

    #MAKINIKIA: HEKAYA FUPI YA KABURI LA WAPENDANAO LILILOPO KATIKA JIJI KONGWE LA TANGA AMBALO LINASEMWA KUWA NDIO KITOVU CHA MAPENZI Jijini Tanga, katika kata ya Usagara karibu na uwanja wa hockey, kuna makaburi ya zamani yenye sehemu ya Kikristo na sehemu nyingine ya kijeshi ya Vita ya Kwanza ya...
  12. Je unalifahamu kaburi la vyombo vya anga ya mbali?

    Katika Bahari ya Pasifiki Kusini kuna makaburi ya mamia ya vyombo vya angani vilivyoanguka. Sehemu hiyo inajulikana kama "Point Nemo" kwa lugha ya Kilatini ikimaanisha "Hakuna Mtu" au "No One" yenye kina karibu kilomita 4 kwenda chini ya bahari. 'Point Nemo' ni eneo ambalo lipo mbali na ardhi...
  13. Safari ya Mwisho Kuliendea Kaburi la Abushiri bin Salim Al Harith Pangani

    https://youtu.be/-SGlpOTy4pA?si=Mxbk6h2zHWYZpzLh
  14. Haji Mohamed Nundu Anaeleza Alivyojenga Nyumba Yake Juu ya Kaburi la Abushiri bin Salim Al Harith Pangani

    https://youtu.be/YCy-vx00WOs?si=a8YH5FeZXMa2bgvy
  15. M

    Naomba mwongozo wa kwenda kuhiji kwenye Kaburi la Hayati Magufuli

    Kama ambavyo nilishajisemea kwamba, lazima kuna siku katika maisha yangu nitakwenda kuhiji kwenye Kaburi la Mwamba wa Afrika, JPM, sasa naomba utaratibu wa kwenda huko. Nawasilisha.
  16. Waziri wa Ulinzi, Dkt Stergomena azuru kaburi la Hayati Benjamin Mkapa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 09 Oktoba 2024 amefanya ziara na kutoa heshima zake katika Kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya 3 wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin Wiliam Mkapa, na kuwasamilia baadhi ya...
  17. Nimeshindwa kesi ya jamaa aliyezikwa kwenye site ya kaburi langu

    Baba yangu mzazi alihamia Dar es salaan mwaka 1968, akiwa kijana, Tangu miaka hiyo mpaka anazeeka alienda kwao nara chache sana,niseme tu hakupapenda kwao,maana hakujenga hata slope kule kijijini. Siku zote alikuwa akisema akifa azikwe hukuhuku mjini,manispaa ya ubungo kuanzia kimara mpaka...
  18. Police Mliyofanya Mbeya/ Iringa Ndio Kaburi la CCM?

    Unaweza kudhani unamsaidia mtu kumbe ndio unampoteza zaidi kwa ufanyayo. Polisi Tanzania chini ya kamanda wa Opereshini Mzanzibar Haji wamefanya matendo ya aibu kwa kuwapiga viongozi kiasi hata wanachama wa ccm wasio na nyazifa wanalaani ujinga huo ambao ni dhahiri umeanzia huko CCM
  19. Balozi Nchimbi azuru kwenye kaburi la Hayati Benjamin Mkapa Lupaso

    Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiongozana na Wajumbe wa Sekretarieti amezuru katika kaburi la hayati Benjamin Mkapa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu . "Naomba nikiri kuwa Mimi ni mwanafunzi wa hayati na nimekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa katika kipindi Chake...
  20. Safari Yangu Pangani Kutafuta Kaburi la Abushiri bin Salim Al Harith

    Nimesoma historia ya Bushiri nikiwa shule ya msingi miaka ya 1960 pamoja na historia ya Vita Vya Maji Maji vilivyopewa jina la, "Maji Maji Rebellion." Walioandika historia hii waliwaona Abushiri bin Salim, Abdulrauf Songea Mbano na Bi. Khadija Mkomanile, Mtwa Abdallah Mkwawa kwa kutoa mfano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…