kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. "Madhara ya pombe Kwa vijana-jiokoe kabla haujachelewa!

    Habari wakuu! Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wanaokunywa pombe kali. Wengi hudhani ni fasheni, njia ya kujiburudisha au kuondoa stress. Lakini ukweli ni kwamba pombe kali ina madhara makubwa kwa afya na maisha ya kijamii, hasa kwa vijana ambao bado wapo kwenye hatua ya kujenga maisha...
  2. Niko tayari kubet: Viongozi Wakuu 2 wa Nchi za Afrika Mashariki watatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya ICC kabla ya 2029

    Wiki chache zilizopita Umoja wa Mataifa wametoa taarifa za vikosi vya Wanamgambo wa M23 kuua raia nchini Congo. Taarifa hiyo imefuata taarifa rasmi iliyotolewa na Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuwa Majeshi ya Rwanda yanawaunga mkono M23 na kutoa msaada wa kijeshi kwao. Aidha miezi miwili...
  3. H

    Kabla wamisionari hawajaja Afrika na kufundisha kuhusu mbinguni na kuzimu wazee wetu walikuwa wanaenda wapi?

    Iwapo kuna mbinguni na kuzimu wanakoenda Wafrika wakifa je kabla ya wamisionari walienda wapi?
  4. GE2025 Daniel Chongolo: Kabla ya Rais Samia hatukuwa na Ruzuku ya Pembejeo za Kilimo

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mgombea wa ubunge wa jimbo la Makambako amesema mwaka 2020/2021 hatukuwa na ruzuku ya pembejeo za kilimo, lakini ni Samia Suluhu aliyekuja na maamuzi makubwa ya kuweka pembejeo. Ameyasema hayo katika kampeni ya Samia Suluhu...
  5. Code: Kabla ya siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi kuna mibuyu mikubwa miwili itaanguka.

    Copy Code; Save the code.
  6. Enyi Wadada Kabla Hujaingia Kwenye Mahusiano Na Mwanamme Mwenye Miaka 34-40 Sikiliza Hii

    https://www.instagram.com/reel/DNXjr6kMXuQ/?igsh=ZTR6Nm1qeG00dXE0
  7. Mkuu wa Wanamtandao Rostam Azizi aweka mpira kwapani, Hajaonekana Azam TV kama ilivyotangazwa, kaogopa nini?

    Hili ndilo Swali wanalojiuliza watu wote Duniani. Awali liliwekwa Tangazo hili hapa Alipotangaza jambo hilo alijiamini nini na sasa kakimbia nini? Au naye kaogopa Mkata Swichi? Majibu anayo mwenyewe na wanamtandao Wenzake
  8. Kwa Mara ya Tatu na ya mwisho; Naiomba Serikali imuachie Tundu Lissu Kabla ya Septemba 7

    Anaandika, Robert Heriel Kuhani Katika Hekalu Jeusi Kwa heshima yote isiyo na hila, nilianza kuiomba serikali tangu august 13 kuona namna ya Kumuachia Tundu Antipas Lisu. Hii ni kusema mpaka tarehe 7 septemba, zitakuwa sio chini ya siku 24 tangu nitoe ombi hilo. Lilikuwa Ombi la heshima na...
  9. Swali: Kabla ya kuwalalamikia watanzania kuwa waoga wa kudai haki zao; Je, ni kweli wanajua wanahitaji hizo haki?

    Habarini ndugu zangu wana JF, jana nikiwa naburudika bar ukazuka mjadala wa walevi kuhusu no reforms no election Kinachosikitisha asilimia kubwa ya wadau waliochangia hoja wanadai hizo reforms hazina msaada wowote kwa raia wa kawaida zaidi zaidi ni janja janja ya Tundu Lissu kujipatia urais...
  10. Hapo Kabla Waislamu na Mtume walikuwa wanaswali wakielekea Uyahudini (Yerusalem) Mpaka aliposhusha Aya

    Awali, Waislamu walikuwa wakiswali wakielekea Bayt al-Maqdis (Jerusalem). Baadaye, Qur’ān ikateremsha amri ya kubadilisha Qibla kuelekea Kaaba: Baadaye allah aliona wanaswali wakiangalia Mbinguni na yeye hayupo huko, akaona wana angalia Jerusalem kwa Mungu wa Kiyahudi. Muhammad akapata wahyi...
  11. Madai ya kuuawa Magufuli yaliandikwa JamiiForums kabla ya kutokea

    Kwenu wana jamii Jana Polepole alirudia Madai yake ya Magufuli kuuawa na pia kuwa na Tishio la kuuawa hata kabla haijatokea Wana JamiiForums wakongwe na waliobahatika kusoma hapa JF kabla ya kifo cha Magufuli ulikuja humu uzi ulioandoka kifo cha Magufuli, ile thread iliandikwa kwa code tena...
  12. Maswali muhimu ya kujiuliza kabla ya kuwekeza kwenye masoko ya fedha na mtaji

    MASWALI MUHIMU YA KUJIULIZA KABLA YA KUWEKEZA. 🔁 Kumbuka: Katika somo lililopita tuliongelea tarehe muhimu za kuzingatia wakati wa gawio. Siku ya leo tutaangazia maswali muhimu ambayo inabidi ujiulize kabla ya kuwekeza. Unajiuliza lini uanze kuwekeza? Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza, kuna...
  13. GE2025 Kabla ya Septemba 7 Serikali itakuwa imemuachia Tundu Lissu. Kete hiyo itabadili uelekeo wa siasa za Tanzania. Je, Chadema kushiriki?

    Hamjambo! Kete pekee ambayo imebaki kubadili upepo wa kile kinachoendelea ndani ya taifa hili ni kumtoa Tundu Lissu hasa nyakati hizi ambapo Kampeni za uchaguzi zitakuwa zimepamba moto.. Kumtoa Tundu Lisu Mahabusu kutaipa nguvu Serikali na kuondoa kelele zinazoendelea na matukio mapya...
  14. Kabla huruma zetu hazijavuka mipaka hadi Gaza, basi tuanze kuwaonea huruma wa Sudan na maeneo mengine ndani ya Afrika

    Tusiwe wanafiki.. au kwa vile palestina ipo live aljazeerq basi ndio sisi akina baba+mama huruma tunajikuta tunawasikitikia wa Gaza ila wa hapa kwetu ndani ya bara la Afrika hatuwaoni sio? Tuacheni unafiki.. hata hapo Sudan kuna wa Afrika wenzetu wanakufa na njaa... yeah CHARITY BEGIN AT...
  15. Watanzania mnaoishi ughaibuni msitukane mamba kabla hamjavuka mto, Kuna siku mtatimuliwa huko ughaibuni

    Nyie Watanzania wenzangu mnaopotosha umma mkiwa ughaibuni jueni kuwa sera za kimataifa kila siku huwa zinabadilika ipo siku mtarudishwa nchini kwa lazima, Amani yetu ni mhimu sana, tumeikuta amani tumezaliwa kwenye amani ndo maana tupo hai mpaka Leo, wewe kwenda kanada au Marekan usiwe ndo...
  16. Hakikisha mkeo hapungukiwi na mambo haya 3 ya lazima kibiblia

    1: Mavazi. Hakikisha haliilii kuhusu kuvaa. Awe na mavazi ya kumtosha. 2: Chakula. Kuna uhusiano mkubwa kati ya uzuri wa mwanamke na chakula. Hakikisha Kila anachokitaka ili ale kinapatikana KWA kuzidi. 3: Ngono au Tendo la ndoa. Huyo sio dada yako, hakikisha anapata ngono ya kumtosha...
  17. Kabla ya kudharau wabunge wa darasa la saba ebu tuangalie mchango wa wabunge wasomi wa Tanzania tangu nchi ijipatie uhuru wake .

    Watanzania Wengi Ambao wanadharau wabunge , naomba watupe mchango wa wabunge ambao wamesoma wamelifanyia nini Taifa la Tanganyika.
  18. Yajue haya kuhusu watanzania kabla hujawatetea na kuwapigania

    Sabato Njema! Najua Watanzania wengi hawapendi ukweli na hili likiwa mojawapo. Kabla hujawatetea Watanzania ni vizuri kuwajua vizuri kuwa ni watu wa aina gani. Kisaikolojia, kitamaduni, na kisosholojia; 1. Watanzania wengi ni wanafiki. Sio wakweli. Waongo waongo. Rahisi kukugeuka na...
  19. Dkt Magembe awataka Waganga Wafawidhi kufanya Mawasiliano ya Mapema kabla ya Rufaa

    Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe ametoa wito kwa Waganga Wafawidhi wa hospitali za Rufaa kuzingatia mawasiliano ya awali kabla ya kumpa mgonjwa rufaa kwenda hospitali ya Kanda kwa lengo kutoa msaada wa haraka kwa mgonjwa. Ameyasema hayo Agosti 21, 2025 wakati akifungua Kikao Kazi cha...
  20. CHADEMA tieni chumvi kwenye mchuzi wa Kiroboto kabla haujapoa

    Ni hayo tu, ndugu Kiloboto kashaweka ngozi Kwenye box, lishambulieni kwa nguvu zote.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…