Akizungumza Julai 20, 2026 kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza kuwa Tanzania ni taifa huru linalojiendesha kwa mujibu wa sheria na halitakubali kuamrishwa au kuingiliwa mhimili wake wa mahakama na taasisi...