jumapili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Uwezekano mkubwa sana Shambulio la Marekani dhidi ya IRAN ni alfajiri ya ya Jumapili kesho kutwa

    Wadau, taarifa hii ni kwa mujibu wa uchambuzi wa vyanzo mbalimbali vya uhakika duniani na taarifa za ndani, hivyo uwezekano mkubwa ni alfajiri ya kuamkia jumapili tarehe 22.2.2026 kwa saa za Marekani. Shambulio hilo malengo ni kuuangusha utawala wa Kiislamu wa AYATOLLAH KHAMENEI. Kibali...
  2. R

    Ujumbe wa Jumapili toka kwa Godbless Lema: Kwanini tuko duniani

    Usipokuwa makini katika maisha na kutafakari kwa kina, unaweza kujikuta unaishi bila kusudi. Ukizaliwa, unaishi kwa ajili ya kula, kunywa, mapenzi, kuzaa, kuzeeka na hatimaye kufa. Kukosa purpose ya maisha ni tatizo kubwa sana, na ndilo chimbuko la ujinga na upumbavu kutawala duniani. Bila...
  3. Pombe inaharibu vijana hasa kanda ya Kaskazini. Nini suluhisho?

    Natumaini mko Salama niende moja kwa moja kwenye Mada Pombe naona inaharibu sana vijana hasa kanda ya kaskazini unakuja kijana rika moja ameshazeeka Arusha na Kilimanjaro ndio tunapoteza nguvu kazi kabisa. Je pombe ndio mbaya ? Au ndio wameshindwa kuzimudu ? Viongozi wa Dini zote wamesema...
  4. K

    Tetesi: Vipi kikosi chetu kimeshalamba bahasha ya Mfalme ili tuuze match Jumapili

    Mwenye taarifa sahihi atujuze. Kama kikosi kimeshalamba bahasha za dolari kutoka kwa Mfalme ili tuuze match Jumapili atujuze.
  5. PostGE2025 Kukwepa kadhia ya D9 tunasafiri kwenda mkoani Jumapili (7/12/2025)

    Tunaojitambua, tunaondoka Dar kwenda Mikoani (kijijini huko) huku tukisikilizia mambo yenu ya D9. Tuonane mwaka mpya 2026.
  6. Makisio ya ibada ya Jumapili – Injili na Imani Katika Umoja

    Jumapili ijayo itasimama kama tukio la kipekee la ibada, ambapo waumini wa kanisa letu watakusanyika kwa moyo wa unyenyekevu na shukrani. Misa ya pili itaongozwa kwa upekee na kwaya ya Mtakatifu Muhammad Hussein, ambao sauti zao zimekuwa faraja na kuinua mioyo ya wengi. Wakati huo huo, jukumu la...
  7. Ibada ya jumapili 16 November 2025 KKT- dmp usharika wa Kimara

    Hakika leo tutamuona Bwana. Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu https://www.youtube.com/live/ZwoR6G-ES4A?si=KkuSya7M3fCqZb_-
  8. Kuelekea october 29 Mahubiri ya kesho Jumapili 26/10/2025 yanasubiriwa kwa hamu kubwa

    GT Itakuwa story kubwa sana kesho. Wavaa suti.watajazana kusikia nini kinasemwa aha ha ha Tutabiri kauli ya Malasusa ah ahaha mtego mtegoni. Sijalelewa kupingana na serikali.
  9. GE2025 Rais Samia atakuwa Butiama, Septemba 14, 2025

    Nimefika hapa jana nimeona uwanja unatayarishwa kwa shughuli fulani. Nimeuliza kuna nini hapa leo.? Nimeambiwa hapa Leo tunasheherekea Mara Day. Lakini uwanja ni maridadi sana. Nikaambiwa labda neye atafika. Basi naona hawana habari. Lakini nimeambiwa hapa katika mjengo kwamba Rais atafika...
  10. Jumapili ngumu maishani

    Naam katika maisha kuna kupanda na kushuka. Sasa moja na mbili kwa wenye kuutambua mguu wa Yesu pamoja na makandokando yetu huwa tunazingatia ibada. Kwa imani yangu binafsi kanisa ni kwa ajili ya watu aina yangu ambao si watakatifu. Naamka alfajiri kujiandaa kwenda ''Church'' ,,,kila nguo...
  11. Kupata kwa mwezi kesho Jumapili Tanzania.

    Dr. Noorali Jiwaji mhadhiri wa Physics and Astronomy katika Open University of Tanzania anasema kesho kuanzia saa 6:28 pm,saa ya Magharibi ,watu wa Tanzania,hasa watu wa mwambao wataona kupatwa kwa mwezi. Mwezi utaingia giza. Total lunar eclipse. Now talking about eclipses,I noticed last time...
  12. Kweli mbwa sio msaada kwa ulinzi yani mwizi kaingia ndani jumapili hii kabeba flat TV na mbwa

    Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa ukutani na mbwa mfano wa Wema Sepetu naye kaondoka. Ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
  13. Eti leo jumapili umejifanya kutuongoza sala wakati jana juma mosi ulikuwa juu ya meza🤣

    Anyway kila mtu na maisha yake..😂
  14. Kama unataka amani ya moyo usifanye miamala siku ya jumapili kupitia CRDB

    Muamala unafanyiwa kazi masaa, customer service hawapokei, huko mitandaoni hawajibu. This bank is 🚮🚮
  15. Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

    Sijawahi kwenda kuangalia mechi ya mpira wa miguu. Sijawahi kula nyama ya wanyama wa porini (swala, nyati, ngiri etc.). Sijawahi kujimilikisha mpenzi ninayemzidi umri. Sijawahi kufika Ruvuma, Njombe, Rukwa, Katavi, Kigoma, Kagera, Simiyu. Sijawahi kuombwa wala kutoa SIM 2 (Tigo / mixx by yas)...
  16. M

    GE2025 Njombe: Wanafunzi tena waliovaa sare wanatafuta nini Ofisi za CCM – Wilaya ya Wanging'ombe Jumapili hii?

    Leo tarehe 3 Agosti 2025 nimepita kwenye Ofisi za CCM Wanging'ombe hapa Mkoani Njombe, nimekuta baadhi ya Wanafunzi wakiwa nje ya Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Wanging'ombe. Sijajua nini hasa ambacho kinaendelea lakini imenishangaza kidogo kuona Wanafunzi wakiwa nje ofisi hiyo...
  17. Bandari ya Eilat Nchini Israel Kufungwa Mpema Jumapili Hii Kwa Kujiendesha Kwa Hasara Kutokana Na Mashambulizi ya Houthi Huko Bahari Nyekundu

    Baada ya Kujiendesha kwa hasara kwa miaka kadhaa, bandari hiyo iko mbioni kufungwa mapema Jumapili hii ambapo chanzo kimesema shughuli za hapo zimeshuka kwa zaidi ya 90% , huku ikidaiwa kujiendesha kwa hasara kwa deni lisiloisha, kukosekana kwa mapato, kuongezeka kwa gharama za uendeshaji...
  18. Kauli ya Jumapili na Baba Askofu Bagonza

    🗣️Tulifuta ujinga tukiwa na chuo kikuu kimoja, lakini hivi sasa tuna vyuo vikuu zaidi ya 50 lakini tuna wajinga wengi.
  19. D

    Tetesi: Kumbe walikaa kikao rasmi kumfungia Gwajima; Wana ufufuo wenzagu jumapili ijayo tukutane kwa wingi kwa maombi

    Kanisa la Mungu lipo mioyoni mwetu! Sisi tunamwabudu Mungu wetu wala hatujaua Mtu wala hatujaiba cha mtu wala hatujateka mtu. Jumapili ijayo chonde chonde makanisa yote ya ufufuo na uzima kila wilaya tukutane kwa maombi ya mkakati na nguvu zaidi kama majeshi ya bwana!! Wanakaribia kutema bungo!
  20. Ndani ya CHADEMA tupo Waumini wa Ufufuo na Uzima, Naomba Chama kitie nguvu kwenye Ibada zetu Kila Jumapili, kama ni mabomu tupigwe pamoja!!

    Niwaalike wanachadema wote Kwa ujumla,na watanzania wote na Wakristo, Kila Jumapili tuwepo , tuungane, tutie nguvu , Tupige kelele, tupaze sauti, Wacha wao watulige mabaomu, watuue, sisi tukusanyike, tufanye Ibada za Amani, tudai haki yetu ya kuabudu, TUIAMBIE DUNIA kua Tanzania Kwa Sasa Kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…