juma aweso

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Aweso: Changamoto ya maji Kijiji za Baraki, Wilaya ya Rorya - Mara imesababishwa na bomba kukatwa na wanaodhaniwa kuwa wafugaji

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya maji iliyopo kwa Wakazi wa Kijiji za Baraki, Kata ya Baraki Wilaya ya Rorya Mkoani Mara baada ya kipande cha video kusambaa kikionesha Wananchi wakichota maji kwenye eneo ambalo halina maji safi na salama. Kusoma kilichotokea...
  2. DuaZaMama

    GE2025 Aweso: Kishapu palikuwa na ukame wa maji Samia amewezesha

    Waziri wa Maji na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Pangani Mkoani Tanga Mhe. Jumaa Aweso amesema dhamira ya Dkt . Samia Suluhu Hassan ya kutoa maji ziwa Viktoria ili kuhudumia wananchi wa Mkoa wa Shinyanga yalikuwa maamuzi sahihi na ya kupongezwa kutokana na namna ambavyo mradi huo wa maji umekuwa na...
  3. DuaZaMama

    GE2025 Juma Aweso aomba bandari ya mifugo Pangani

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Pangani Mkoani Tanga Jumaa Aweso amemuomba Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dkt. Samia Suluhu Hassan atakapopata Ridhaa ya kuongoza Tena Serikali awajengee Wakazi wa Pangani Bandari ya Mifugo Awesome ameyasema hayo Leo Sept 29,2025...
  4. figganigga

    Pangani: Juma Aweso kafanyaje hadi kupata kura zote za Wajumbe kila Kata?

    MATOKEO YA AWALI KURA ZA MAONI PANGANI 1):KATA YA MKALAMO 1.Jumaa Aweso- 219 2.Ramadhan Zuberi-0 3.Mariam Abdalah-0 2):KATA YA MKWAJA 1.Jumaa Aweso- 248 2.Ramadhan Zuberi-0 3.Mariam Abdalah-0 3):KATA YA KIPUMBWI 1.Jumaa Aweso- 414 2.Ramadhan Zuberi-0 3.Mariam Abdalah-0 4):KATA YA MIKINGUNI...
  5. K

    Natafuta kazi ya udereva. Nina uzoefu kusafiri masafa marefu zaidi ya miaka mitano

    Ndgu wapendwa Ninaombi kwenu la kazi ya udereva katika kampuni,mtu binafsi, taasisi. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka (05) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja uzoefu wa kusafiri masafa malefu katika mikoa mingi...
  6. and 998 others

    GE2025 Mke mdogo wa Juma Aweso anaomba Kura zenu

    1. Zainab anahitaji Kura zenu akawatungie sheria bungeni. 2. Tafadhali Sana Wajumbe wa Pemba. Huyu ni potential anaweza kupata hata Uwaziri wa Maji. Akageuza Pemba zaidi ya Dubai Ushan'fahamu? VIJANA mkajiajiri
  7. C

    JUMA AWESO, wakazi wa goba hatuna maji wiki ya tatu sasa

    Habari za jioni bw Aweso Mm ni mkazi wa goba osterbay hapa jirani na bar ya Triple B,tuna muda wa wiki tatu hatujapata maji na wala dawasco hawajatoa taarifa yoyote ya nini tatizo. Kikawaida tunapata maji kwa wiki mara moja kila siku ya jumatano, lakini imepita wiki tatu sasa hatujapata maji...
  8. W

    POTOSHI Angelina Mabula na Juma Aweso ndiyo mawaziri pekee waliokaa wizara moja kwa zaidi ya miaka nane

    Wakuu nimeona Mbunge Angelina Mabula anasema ukitoa yeye na Waziri Juma Aweso hakuna waziri mwingine ambaye amekaa wizara moja kwa muda wa miaka minane mfulululizo, Je ni kweli?
  9. DuaZaMama

    PreGE2025 Juma Aweso autaka tena ubunge jimbo la Pangani

    Waziri wa Maji na Mbunge wa Pangani Mhe. Jumaa Aweso amechukua na kurejesha fomu ya kugombea tena Ubunge wa jimbo la Pangani mkoani Tanga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Fomu hiyo iliokabidhiwa na kupokelewa baada ya kurejeshwa na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Pangani, Abdul...
  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Juma Aweso ajitosa tena kugombea ubunge jimbo la Pangani

    Waziri wa maji Juma Aweso naye amechukua fomu ya ubunge jimbo la Pangani kutetea nafasi yake tena katika kipindi kingine cha miaka 5 ijayo Ninamshukuru sana Mungu kwa kunipa kibali; Nimechukua na kurejesha fomu ya kugombea tena Ubunge wa jimbo la Pangani mkoani Tanga kwa tiketi ya chama cha...
  11. DuaZaMama

    Aweso: Rais Samia haendi nje kucheza

    Waziri wa maji ambaye pia ni Mbunge wa Pangani Juma Aweso wakati akitoa salamu fupi wakati Rais Samia, akifungua mradi wa maji Butimba amesema mtu ambaye anataka kushindana na Mh Rais Samia Suluhu Hassan ni sawa nakukalia treni kwa mbele. “Wapo watu ambao walikuwa wakipita mtaani wanasema...
  12. Kitchener

    Waziri wa Maji Juma Aweso, Dodoma Jiji hakuna maji zaidi ya wiki

    Nimetembelea familia Dodoma for a week sijaamini nilichokikuta Ilazo na maeneo mengi hakuna maji wiki nzima. Hivi mnataka wake zetu waishije hapo Dodoma? maeneo ya Ilazo, swaswa hadi kisasa naambiwa ni hali hiyo. Najua Ilazo extension ndio kule kwa mkewe mmojawapo, kule nako maji hamna au ni...
  13. Namche Bazar

    Waziri Juma Aweso tunaomba uitazame na kutuondolea utapeli unaondelea Tanga UWASA

    Wakuu habari za asubuhi? Mwaka 2022 nililipa kuunganishiwa maji kwenye nyumba yangu nilikaa zaidi ya miezi 4 bila kuwekewa huduma niliyolipia hadi ikapelekea kununua vifaa vyote vya kuunganishiwa maji isipokuwa mita pekee ndio nilipewa na Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira(TANGA UWASA)...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Aweso: Mkandarasi mradi wa Maji Tunduma - Vwawa nataka ukamilike kwa wakati "ukizingua nami nakuzingua"

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amemuagiza Mkandarasi Kutoka kampuni ya CCECC ya Nchini China anayetekeleza mradi wa Maji Tunduma - Vwawa kuhakikisha anakamilisha kazi kwa wakati huku akisisitiza kuwa akimzingua naye atamzingua. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
  15. upupu255

    PreGE2025 Aweso: Rais Samia umetutoa pangoni watu wa Pangani

    Baada ya Kabudi kusema alitolewa JALALANI, Aweso naye amesema Wanapangani wametolewa PANGONI "Nataka niseme Rais jambo ulilolifanya katika wilaya yetu ya pangani nataka nikuambie umetutoa pangoni tunakwenda kupaa angani" -Juma Aweso Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali...
  16. Pfizer

    LGE2024 Juma Aweso: Wananchi jitokezeni kwa wingi kupiga kura tarehe 27 Nov 2024

    Mbunge wa Jimbo la Pangani na Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameendelea na kampeini jimboni Pangani katika kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Aweso akiambatana na wajumbe wa kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Pangani ameendelea kuwanadi wagombea wa CCM kata kwa kata na kijiji kwa kijiji huku...
  17. Roving Journalist

    Waziri Aweso akutana na DAWASA kwa lengo la kuboresha huduma ya maji katika Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani

    AWESO ATETA NA WATAALAMU UFUNDI DAWASA, MIKAKATI YAWEKWA BAYANA ~Atoa uhakika wa huduma kwa Wakazi wa Dar na Pwani Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso (Mb) amekutana na kufanya kikao kazi na Menejimenti pamoja na timu za ufundi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kwa...
  18. P

    KERO Ubungo riverside hatuna maji kwa siku 14 sasa

    Hakuna maji Ubungo riverside maeneo yote kuanzia daraja la Kijazi mkono wa kushoto .. no mambo ya AIBU sana Hakuna taarifa yoyote watu tunaishi kama tuko dunia ya miaka ya 40tatizo ninini.. Bili za maji wasomaji hawazingatii wanapita na kubambika mamba ambazo sio sahihi. DAWASA, DAWASA. Wizara...
  19. A

    KERO Maji eneo la Tungi, Morogoro bado ni changamoto

    Waziri wa Maji Juma Aweso alivyokuja alibadilisha uongozi kwenye idara ya maji hapa Morogoro na akasema maji yawe yanatoka hadi weekends kwa katikati ya wiki waweke utaratibu kama kutoka yatoke mara mbili au moja na kuanza kutoka nikuanzia asubuhi hadi saa sita usiku, lakini yanakuja kutoka...
  20. Pfizer

    Waziri Aweso afanya kikao kazi na Wazabuni, Wakandarasi na watoa huduma wa DAWASA na kusikiliza changamoto zao

    Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) amefanya kikao kazi na Wazabuni, Wakandarasi na watoa huduma wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kwa lengo la kusikiliza ushauri, changamoto kwa dhamira ya kudumisha msingi imara wa mahusiano na mashirikiano.
Back
Top Bottom