Hii mashine ni nzuri saana ni mitungi mitatu ima nguvu saana yaan ndani ya dakika moja ishaweka mabarafu kama ukiwa hujawwka juice bado kila mtungi unabeba lita 18...kwa hiyo jumla inabeba lita 54
INAFAA KWA
biashara,, unaiweka sehemu tu unakuweka kijana anakuwa anakuuzia juice..maeneo ya...