Wakuu,
Naona wajumbe wameendelea kuwashika pabaya wanasiasa. Yaani swali dogo tu hivi kama amepanic hivi
Soma pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025
Source: Bongo Mixed
Mfanyabiashara maarufu wa mazao anayefahamika kwa jina Johnson Exaud Sarakikya, amerejesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Julai 02, 2025.
"Sasa nafikiri imefika muda ni wakati wa uchaguzi na mwaka wa uchaguzi na mimi nimewiwa kuzisikiliza sauti za watu wa Meru. Nimezisikiliza kisawasawa kwahiyo nimedhamiria na nimekuja kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha mapinduzi kupeperusha bendera ya kiti cha ubunge Jimbo la Arumeru...
Mkuu wa Wilaya ya Bunda (DC), Joshua Nassari ameeleza magumu anayokutana nayo katika kutekeleza majukumu yake hali inayomlazimu wakati mwingine kutoa amri ya kukamtwa kwa watu mbalimbali ambao wanaonkena kuwa kikwazo cha yeye kutumiza wajibu wake.
Akizungumza kwenye kikao kilichoitishwa na Mkuu...
Rais Samia amemsifia DC Joshua Nassari kwa utendaji mzuri wa kazi za kuwaletea wananchi maendeleo.
Rais Samia amesema Nassari alikuwa anaichavhafya sana serikali pale bungeni lakini aliposalimu amri na kujiunga CCM nikaona nimlete Mara ili aje kuyatenda yale aliyokuwa anayasema bungeni...
Nchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa.
Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amevuja jengo la Ofisi ya CHADEMA Wilaya ambalo wananchi alijitolea michango...
Hivi ndivyo watu walivyochambua na kupinga uteuzi wa Joshua Nassari kuwa Mkuu wa Wilaya.
===
Mnazikumbuka sababu ya NASSARI kuvuliwa ubunge? Nchi zenye vetting system, kwa sababu zile za Nassari kutelekeza shughuli za Bunge na akaenda kula maisha Beverly Hills, USA, akashindwa kuheshimu kanuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.