Joseph Kasheku Musukuma (born February 12, 1974) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Geita in 2015.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Geita kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Joseph Msukuma amesema kuwa Tanzania haifanyi kazi kwa kusikiliza mitandao Ila kwa kufuata uhalisia na utatuzi wa matatizo ya watu na kumtabiri Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa atashinda Urais kwa asilimia 98.
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku 'Msukuma' amesema wananchi wa Sengerema wanapaswa kumpa kura za heshima mgombea ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Hamis Tabasamu kutokana na mambo mengi makubwa ya kimaendeleo aliyowafanyia.
Msukuma amesema kocha anapofanya...
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma, ameibua hoja bungeni akilalamikia mazingira yasiyo rafiki kwa viongozi na familia zao wanapopita katika maeneo mbalimbali ya VIP. Akizungumza bungeni, Musukuma amesema:
"Sisi humu ndani sio Wahuni ni Waheshimiwa tuna familia....Mhe. Spika sisi tumepewa...
Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma
"...Mheshimiwa mfuko wa wasanii pesa alizotoa Mama Samia leo tukiuliza kuna shilingi ngapi au mliowakopesha wamerudisha shilingi ngapi wapo hapa kuchukua hela leo wengine na kuoa kununua magari, starehe zingine zimewaua na kuwaua..."
Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemshauri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa kuwapima wateule wa Rais wanaotaka kugombea ubunge kabla ya kuruhusiwa.
Ameyasema hayo leo, Jumatano Aprili 15, 2025 bungeni alipokuwa...
Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.
Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.
Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba...
Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Musukuma amesema haina haja ya kuweka wahudumu wanaotoa huduma za ndani ya treni ya Mwendokasi (SGR) ili kuepuka shirika kupata hasara kwakuwa ndio kwanza mradi huo umeaanza hivyo haina haja ya kuweka gharama kubwa za uendeshaji.
"Hakuna haja ya kuwa na...
Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma, amejibu hoja ya CHADEMA kupitia Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, kuhusu kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CCM kuzeeka, akisema wamuache mzee wao kwa sababu bado wapo naye na yeye ni chuma cha CCM.
Soma: Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine...
Mpina atakuwa ana tatizo la afya ya akili (kwamba ni kichaa)? Hoja imetolewa na mbunge ambaye kaonyesha wasiwasi kuhusu afya ya akili ya mbunge Mpina.
Ukichaa ni moja ya mago hwa yanayotibiwa na Hospitali yetu bingwa kabisa ya afya ya akili, Milembe, ambayo haiko mbali na viunga vya Bunge...
Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria.
Amedai utafiti huo ameufanya huko mashuleni na kuwaomba wabunge wengine nao waende wakafanye ili kujiridhisha. Sitaki...
Ndugu Janabi amekua akitoa ushauri Tata kuhusu lishe,Hali iliyowafanya watanzania wengi kubaki njia panda.
Nataka niwaambie ndugu zangu watanzania Huyu Janabi sio wa kwanza, miaka ya nyuma Kuna mtu alijiita DR NDODI Huyu ndio alikuwa balaa alitoa vitisho vyake na kila Aina ya vyakula na...
Hili ni swali. Naungana na bwana Pascal Mayala kuwa swaki siyo statement.
Ukitaka kummaliza adui yako ni vizuri umpate kibaraka wa kupandikiza kwa adui yako.
Unasikia huko Ukraine, makamanda kadhaa wa kirusi wa ngazi za juu walivyouawa kwa makombora ya Ukraine. Hatujawahi kusikia makamanda...
Mbunge wa Geita, Josephu Musukuma, wakati unapotoa ushauri kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuwachukulia hatua wanaopotosha mkataba wa Dubai Port World na Tanzania Ports Authority.
Ni vyema pia ukapigania bunge lijadili kwa uwazi kila kipengele cha mkataba huo pasina na shinikizo la uchama...
Kuna taarifa zinaenea sana mitandaoni zikimhusisha Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kufadhili vitendo vya uvuvi haramu ili waweze kutajirika kupitia uvuvi haramu na kusababisha kuadimika kwa samaki na dagaa Ziwa Victoria na kuchochea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.