job ndugai

Mr. Job Yustino Ndugai (born 21 January 1960) is a Tanzanian politician who has been Speaker of the National Assembly of Tanzania since November 2015. Previously he was Deputy Speaker from 2010 to 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    Alichofanyiwa Marehemu Job Ndugai ndio wanafanyiwa wengine sasa

    Waliposhika madaraka watu waliwaonya ila wakaona haya yana wahusu wapinzani na wanaotaka kusema ukweli. Mtakumbuka Marehemu Ndugai alipokuwa spika baada kuona upepo wake na yeye kuwekwa chini ya uwangalinzi ambao hata ukitaka kwenda kwa mchepuko usubiri maagizo. Viongozi wengi sasa tunayo...
  2. Chizi Maarifa

    Kuna haja ya kuchunguza kifo cha Mkapa, Magufuli, Membe, Sitta na Ndugai

    Uchunguzi huru ufanyike na kwa watu huru ambao watatoa taarifa kwa uhuru kabisa bila woga au shinikizo. Hii itasaidia kuondoa hali ya sintofahamu ambayo imejitokeza kwa sasa na kukosekana kwa imani kwa serikali. Hali ni mbaya sana.
  3. mtotofisi

    Kampení za Kumrithi Job NDUGAI zinahitimishwa Leo Jimboni Kongwa

    KONGWA. Leo ndo siku ya mwishó ya kampení za kuwania ubunge jimboni Kwa Hayati Ndugai. Hapa Ni kata yaSongambele ukiwa ni siku ya pili ya kampení zilizoanza Jana kwa kata 11 na siku ya Leo watia nia kuhitimisha kwa kata 11 zilizobaki na kesho Ijumapili ndiyo siku rasmi ya kujua nani atarithi...
  4. jamaikatz

    GE2025 Hers Said ajitokeza kugombea Jimbo la Kongwa kwa tiketi ya CCM

    Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, amejiunga na zaidi ya wanachama 20 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliochukua fomu kuwania uteuzi wa kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa, mkoani Dodoma. Mchakato wa kutafuta mgombea mpya umetangazwa kurudiwa baada ya kifo cha aliyekuwa Mbunge na...
  5. Knock life

    SMS ya Ndugai ya mwisho aliyomtumia ndugu yake, aonesha gari la kwanza alilofanyia kampeni 2000

    Tazama kuanzia dakika ya tano.
  6. tonicimmobility

    GE2025 Makada wanne wajitokeza kumrithi Ndugai

    Wagombea 24 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamechukua fomu kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa, kufuatia kifo cha aliyekuwa Spika wa Bunge mstaafu na Mbunge wa jimbo hilo, Hayati Job Ndugai. Tukio hilo limefanyika jana, Agosti 12, 2025. Hatua hiyo inafuatia uamuzi wa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Kifo cha Ndugai Charudisha Mchakato wa Kura za Maoni Jimbo la Kongwa; Fomu kuchukuliwa leo Jumanne Agosti 12, 2025

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kongwa kimetangaza kuanza tena mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu za kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Kongwa, kufuatia kifo cha aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa jimbo hilo, Job Ndugai kilichotokea Agosti 6, 2025. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...
  8. Now and then

    Naomba Serikali itumie hekima kumsaidia Mke Mkubwa wa hayati Job Ndugai

    Kwa kumuangalia tu Mke Mkubwa wa Job Ndugai , unaona kuwa alikuwa akimtegemea mume wake ili kuishi. Ila bahati mbaya Mke mkubwa hatambuliki serikalini. Hivyo kwa umri wake anahitaji kutunzwa, kwa ukaribu kiafaya , kimwili, kiakili na kiroho. Hivyo nawaomba viongozi wa Serikali kuhakikisha...
  9. figganigga

    Kwanini Job Ndugai Wanalazimisha tumuite Hayati lakini Augustino Ramadhani wanataka tumuite Marehemu?

    Ni vigezo gani vinatumika na Serikali ya Tanzania? Mtu akiwa Mwanasiaa hata kama kafanya mambo ya Hovyo anaitwa Hayati. Mfano Ndugai, kipi kinafanywa aitwe Hayati? Yaani kaitendea nini Nchi zaidi ya Edward Lowassa, Augustino Lyatonga Mrema, Filikunjombe nk? Kwanini Job Ndugai Wanalazimisha...
  10. Megalodon

    Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

    Kwenye Utumishi au Serikalini kuna Mafile 2 ; moja huwa ni your basic information and correspondences, file la pili huitwa File la Siri. Mara nyingi unaweza kustaafu usiwe umewahi kujua kumeandikwa nini . Yupo mwana mmoja alikuwa mtumishi kwa muda very hard working, Samia alipoingia...
  11. Yoda

    Spika Job Ndugai atakumbukwa kwa yapi zaidi kama legacy yake?

    Kila linapotajwa jina la Job Ndugai kwangu hunijia taswira ya spika mbabe aliyewanyoosha haswa wapinzani ndani ya bunge, mjivuni wa mamlaka ya dola, sakata la covid19 na bunge kupitisha sheria ya wenza wa viongozi kulipwa kwa sababu ya kuwa wake au waume wa viongozi. Zaidi sana ni bunge...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Je kauli ya Job Ndugai, taifa kupigwa mnada ni sehemu ya uzalendo wake unaotajwa leo?

    Hamjambo! Leo sifa Kemkem zimemiminika kwa Hayati Jon Ndugai aliyekuwa Spika wa bunge letu. Moja ya sifa alizopewa ni uzalendo uliotukuka. Nakumbuka kauli yake ya Taifa kupigwa mnada kutokana na kile alichokiita mikopo Holela inayokopwa na serikali ya Mama. kauli ambayo ilibadilisha kila kitu...
  13. Just Pray

    Chanzo cha kifo cha Job Ndugai ni Shinikizo la damu kushuka sana, iliyosababishwa na maambukizi makali kwenye mfumo wa hewa

    Wakuu Akisoma wasifu wa Marehemu Job Ndugai, Katibu wa bunge ameeleza kuwa chanzo cha kifo ni Shinikizo la damu kushuka sana, hali iliyosababishwa na maambukizi makali kwenye mfumo wa hewa. “Kwa mujibu wa taarifa ya madaktari, Marehemu Ndugai ame-fariki baada ya kuugua kwa muda mfupi, kutokana...
  14. McLaren

    Rais Samia aongoza waombolezaji kuaga mwili wa spika mstaafu wa bunge hayati Job Ndugai

    Wakuu, https://www.youtube.com/live/909l2HQbu64?si=zVs8a4iuk4a2mUUM
  15. Just Pray

    Simbachawene: Job Ndugai atakumbukwa kwa usimamizi wa sheria na Mageuzi makubwa katika jimbo lake la Kongwa

    Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Kibakwe mkoani Dodoma, George Simbachawene, amesema kuwa Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Job Ndugai, atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika kusimamia utungwaji wa sheria ya Makao Makuu ya nchi yaliyopo Dodoma. Akizungumza katika...
  16. Beira Boy

    Dkt Nchimbi afika msibani kwa Job Ndugai ampa pole mke wa marehemu Dkt. Fatma Mganga

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU ============= Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akitoa pole kwa Dkt. Fatma Mganga, ambaye ni mjane wa Mhe. Job Yustino Ndugai, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipofika...
  17. mdukuzi

    Hekalu la Job Ndugai kweli siasa inalipa, nimejiona masikini kweli

    Zamani nikijua bado yuko Area C Kumbe alishahama Hekalu jipya lina hadi round about Kama siasa zinalipa hivi wataendelea kututeka mpaka kiama
  18. Manyanza

    Video: Kauli ya majivuno ya Marehemu Spika Job Ndugai ndani ya Bunge

    Wakuu hii video Nimeiona Instagram huko kwa kweli imenisikitisha sana, hivi kwanini watu wenye vyeo na mamlaka huwa wanageuka kuwa miungu watu? Nimepata mfadhaiko na kicheko cha uchungu kwa hii kauli ya huyu marehemu. Tuishi vyema hapa Duniani ni pa kupita tu
  19. GENTAMYCINE

    Nataka kwenaa kutoa Pole kwa Familia ya Job Ndugai je, niende kwa Mjane Stellah au niende kwa Mjane Fatuma?

    Ukijijua huna IQ ya Kuuelewa huu Uzi na kunielewa Zanaki, Yao na Tutsi Genius tafadhali achana naa endelea na yako tu.
  20. Jidu La Mabambasi

    Wananchi wa kawaida kushangilia kifo cha Job Ndugai: Umoja wa kitaifa unazidi kuporimoka

    https://youtu.be/8Mbun4wXvJE?si=s9mvI-ZgGy_PctAZ Kwa mtu ambaye ameziona siku nyingi za kisiasa nchini, sasa hivi umoja wa Kitaifa unazidi kuporomoka kiasi cha kutisha. Sikutazamia kuona watu, hasa vijana wakishangilia kifo cha kiongozi, tena aliyekuwa akiongoza mhili mmoja wa dola, Job Ndugai...
Back
Top Bottom