jkt tanzania

JKT Oljoro FC is a Tanzanian football club from Arusha that previously played in the Tanzanian Premier League. In the 2015/16 season they are playing in the Tanzanian First Division League. They play their home matches at the Sheikh Amri Abeid Memorial Stadium in Arusha, Tanzania. Promoted to the Tanzanian Premier League after the 2010/11 season, they finished the 2011/12 season in 6th position playing 26 matches, winning 9, drawing 8 and losing 9, scoring 19, conceding 24 with a goal difference of −5 and 35 points.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Jemedari Said CEO mbabaishaji mkubwa asiejielewa

    JKT ilimpa kazi Jemedari ya kuwa mtendaji wake mkuu lakini pia jamaa ni mwajiriwa wa Crown FM, unajua being a CEO is a big task, mipango yote ya klabu iko kwako, Sasa huyu jamaa ukimsikiliza anapokuwa hewani anavyoshambulia watu personal badala ya issues unaweza sema ni msomi au pundit katika...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Basi la Klabu ya JKT Tanzania lapata ajali, Wachezaji 12 wapo chini ya Uangalizi

    Kikosi cha timu ya soka ya JKT Tanzania, kimepata ajali baada ya basi lililowabeba kuacha njia na kuanguka mtaroni majira ya saa 1:00 asubuhi leo na kusababisha maumivu kwa baadhi ya wachezaji na wafanyakazi wengine. Basi hilo limepata ajali likiwa linatokea jijini Dodoma kucheza mechi ya NBC...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Amazing: sub iliyowapa ushindi Yanga

    Sub ya maana kabisa hii. ##Usilolijua sawa na usiku wa Giza.
  4. gonamwitu

    JamiiForums Tanzania Yanga timu mbovu haiwezi kushinda bila timu pinzani kupewa kadi nyekundu. Simba timu bora imeshinda bila nyekundu

    Nina mashaka na timu yangu ya utopolo a.k.a nyuma mwiko a.k.a kayoko fc kwanini hatuwezi kushinda bila kadi nyekundu? Mbona wenzetu simba wanashinda bila kadi nyekundu? Hivi kweli tunaweza kumfunga MC Alger au Al Hilal? Au Al Ahly au Esperance? Mi namchukia sana injinia wa mchongo Hersi kwa...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Yanga SC 2 - 0 JKT Tanzania | NBC Premierleague | Azam Complex | 22.10.2024

    Kivumbi kingine kwa timu ya Wananchi Yanga SC katika ligi kuu ya NBC leo tena kuondoka na alama tatu? 🏆 NBC Premierleague ⚽️ Young Africans SC🆚JKT Tanzania 📆 22.10.2024 🏟 Azam Complex 🕖 1:00 Usiku Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimeanza karibu kupata burudani ya soka Dakika, 36 mpira bado...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Nayaona mafanikio ya Taifastars siku wachezaji wote wa JKT Tanzania watakapochaguliwa kuitumikia!

    ... 👂 𝗠𝗠𝗘𝗦𝗜𝗞𝗜𝗔 𝗛𝗨𝗞𝗢 ?😀 "Nayaona mafanikio ya Taifastars siku wachezaji wote wa JKT Tanzania watakapochaguliwa kuitumikia. Rejea ushauri wa Rais wa awamu ya tano" ©️ Masau Bwire. Afisa habari wa klabu ya JKT. Tom Cruz
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania SUMA JKT latafuta fursa za biashara Comoro baada ya mkutano wa Wenyeviti na Watendaji wakuu

    UJUMBE WA SUMA JKT ZIARANI COMORO KUPATA FURSA ZA BIASHARA Ujumbe wa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) unazuru nchini Comoro kwa minajili ya utafutaji wa fursa za ushirikiano wa kibiashara ikiwa ni siku chache baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Wenyeviti na...
  8. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Nimeuelewa ukuta wa JKT unatisha, yeyote akae mguu sawa

    Kama kawaida kama dawa. Hii timu ya JKT ina beki imara nimetizama kwa jicho la mpira, vijwna wanautulivu wa hali ya juu kuanzia kipa beki mpaka viungo. Hawabutui hovyo wala hawafanyi makosa mepesi. Kuna muunganiko nyuma na kati kati. Ni kama vile kwa mbaali nilidhani ni ukuta wa Yanga...
  9. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania John Bocco kwa umri wako wa miaka 35, ukivunjika kupona nchini ni ngumu, timu yako haiwezi kukupeleka nje ya nchi kutibiwa, ungepumzika tu

    Simba waliamua kukupa kazi ili ustaafu kwa heshima ila ukaikataa hiyo heshima. Passport yako inasoma izaliwa 1989 si ajabu kiuhalisia ni 1984, ninavyojua mimi miaka 40 uliyonayo ukipata serious injury huwezi kupona kwa hospitali zetu,timu yako ya sasa haina uwezo wa kukupeleka nje ya nchi...
  10. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Hasheem Ibwe: Ligi Kuu inaanza kesho.

    Msemaji wa Klabu ya Azam FC Hasheem Ibwe amesema Ligi kuu inaanza rasmi kesho kwa sababu hakutakuwa na mchezaji ambaye hana kibali cha kumruhusu kucheza mechi. Azam watanza kesho kucheza Ligi Kuu ya NBC kwa kuivaa JKT Tanzania ugenini, mchezo utakaofanyika Uwanja wa Meja Isamuhyo.
Back
Top Bottom