jinsia mbili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbuzi mwenye jinsia mbili (kike na kiume) kufanyiwa Maombi

    Tukio la kuzaliwa kwa mbuzi mwenye viungo vya jinsia zote mbili (kike na kiume), limeibua mshangao na taharuki kwa wakazi wa Mtaa wa Nyantorotoro B, Kata ya Nyankumbu, Manispaa ya Geita, huku mmiliki wa mbuzi huyo akimtelekeza kwa balozi wa shina ili apatiwe maombi, akiamini huenda angeweza...
  2. Pakome

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kuwa Fisi mmoja ana jinsia mbili, fahamu ukweli kuhusiana na mkanganyiko huu

    Mkanganyiko huu unasababishwa na Fisi Jike Maumbile ya Fisi Jike Fisi jike ana kisimi kirefu kinachoitwa pseudo-penis ambacho kinafanana sana na uume wa dume. Pia, midomo yake ya uke imejishika na kutengeneza mfuko unaofanana na korodani (pseudo-scrotum) Uzazi Licha ya kuwa na maumbile...
  3. Shuku_

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi Kutongoza au kuishi kimwili na mwanamke mwenye JINSIA MBILI?

    Habari zenu wana MMU Nyie mlio wahi kuishi na mwanamke mwenye JINSIA MBILI (huntha) yaani ya kike na ya kiume kwa pamoja. Njoeni mtupe uzoefu.
  4. errymars

    JamiiForums Tanzania Trump Kutia Saini Agizo linalokataza Waliobadili jinsia kutumikia Jeshi la Marekani

    Kulingana na ripoti ya kipekee kutoka gazeti la New York Post, utawala wa Trump unadai kuwa wanataka tu watu wenye uwezo wa kuhimili mahitaji makubwa ya kimwili ya huduma hiyo. Soma Pia: Donald Trump: Kuanzia sasa Serikali ya Marekani itatambua jinsia mbili pekee, Mwanaume na Mwanamke Ripoti...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Slovakia, Robert Fico, ametangaza mipango ya kuweka katika katiba ya nchi hiyo utambuzi wa jinsia mbili tu

    Waziri Mkuu wa Slovakia, Robert Fico, ametangaza mipango ya kuweka katika katiba ya nchi hiyo utambuzi wa jinsia mbili tu – mwanaume na mwanamke. Alitoa tangazo hili kupitia kipindi cha "Saturday Dialogues" cha mtangazaji STVR. "Niliibuka na wazo la kujumuisha kipengele katika katiba...
  6. incognitoTz

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: TRUMP na suala la Marekani kutumbua jinsia mbili, Wamefikaje huko?

    Misuguano ya hivi karibuni juu ya masula ya jinsia ilianza baada ya yanyongeza katika "Title IX" iliyoathiri Marekebisho ya sheria ya Elimu ya 1972 (Education Amendments of 1972) Nyongeza ya Title IX, Inasema: "Hakuna mtu nchini Marekani, kwa misingi ya jinsia, atatengwa kwa kushiriki...
  7. Fateema

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wanawake wenye jinsia mbili wapo?

    Hizo story huwaga ni kweli au ni uzushi tu? Kuna story zimezagaa huku Sinza kuna mdada anaitwa Mina wanasema ana jinsia mbili na zote zinafanya kazi. Je jambo hili linawezekana kisayansi?
  8. greater than

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha ugumu au wepesi wa Fani au kazi ni wingi au uchache wa Jinsia fulani katika fani/kazi hiyo?

    Je, kuna ukweli wowote kwamba; Ukiona fani ina Idadi kubwa ya wanafunzi wa kiume kuliko wa kike basi jua hiyo fani ni ngumu? Ukiona fani ina Idadi kubwa ya Wanafunzi wa kike, basi jua iyo fani ni nyepesi? Je, nadharia hizo ni kweli hadi makazini?
  9. Dam55

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hakufinyanga mavumbi ya nchi kuumba mwanamke badala yake akachukua nyama toka kwa Adam?

    Ni swali ambalo nimejiuliza sana kwa wajuvi na wenye Elimu basi mnisaidie majibu tafadhali. Tukisoma maandiko tunaona kuwa Adam aliumbwa kwa mavumbi ya nchi ila ilipokuja kesi ya kuumbwa mwanamke HAWA/EVA mambo yakawa tofauti. Mungu akampa Adam usingizi mzito kisha akatoa nyama ubavuni pa Adam...
  10. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mungu aliumba jinsia mbili, mwili moja ni kujamiana, kwanini makanisa yanatumia maneno haya kulazimisha ndoa ya mke moja kinyume na utaratibu wa Mungu

    Ukweli huwa haubadiliki hata watu wengi wakiamini uongo ama kudanganywa bila kujua. Suala la makanisa kutumia hayo maneno ni upotoshaji mkubwa Mungu alimuumba mwanaume na mwanadamu, Hapo kinachozungumziwa ni jinsia alizoumba, hakukuwa na jinsia ya tatu, hapa sioni kama kuna valid point...
  11. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Watu wenye jinsia mbili ni kama Serikali imewasahau kuwasaidia

    Serikali ina wajibu kumuangalia kila mwananchi wake sehemu mbalimbali. Ila watu wenye jinsia mbili ni kama serikali imewasahau na kuwatelekeza kabisa. Mara ya kwanza sikuwa naelewa kuhusu ili swala mpaka nilipoweza kuona makala BBC swahili ikieleza changamoto wanazopitia tokea wadogo mpaka...
Back
Top Bottom