jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siri za Masoko: Jinsi ya Kufanya Bidhaa Zako Zinunuliwe kwa Faida Kubwa

    Changamoto kubwa ya kilimo na ufugaji si uzalishaji – ni soko. Wengi hufanya kazi kubwa shambani au bandani, lakini mwisho wa siku bei ni ndogo, wanunuzi hawapo, au madalali ndio hunufaika. 👉 Siri ni hii: Soko si mahali, ni maarifa. Ukiwa na taarifa sahihi za bei na mahitaji, hupotezi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuanzisha App na inavyofanya Kazi

    Kwema Wakuu, Kuna idea nimeipata nahitaji kuianzishia APP. Sasa utaratibu ukoje? Naanzia wapi? Kuna vibali labda? Kama vipo naviombea wapi? Na kuna gharama? Kias gani kama zipo? Na kama App yenyewe itakua watu wanaingia free, Mimi nitalipwa na nani kwa uingiaji wao huo ukiacha matangazo ya...
  3. JamiiForums Tanzania Tazama jinsi boti iliokuwa imebeba madawa ya kulevya kutoka Venezuela kuelekea Marekani ilivyodunguliwa na jeshi la Marekani.

  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Leseni ya Butcher (Kuuza Nyama)

    Umuhimu wa Leseni ya Biashara Kwanza kabisa, ni muhimu kufahamu kuwa kufanya biashara bila leseni ni kosa la kisheria. Sheria ya Leseni za Biashara Na. 25 ya 1972 inaeleza wazi kuwa kila mfanyabiashara anapaswa kuwa na leseni ya biashara. Kwa butcher, leseni hii ni sharti ili kutambulika rasmi...
  5. JamiiForums Tanzania TAZAMA JINSI BABA WA SHEIKH NJUKI AKIONGELEA KWA UCHUNGU KUHUSU KIFO CHA MWANAE NA KUHUSU ALBADIR ALIOSOMEWA

    https://youtu.be/_lshKiauQnI?si=oS7IUQmHxyEmnl5u hamis77 Echolima1 Marco Seth Tazameni mazito ya hawa wenzetu
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyogundua machimbo yaliyofichwa Kariakoo na kuanza biashara yangu bila kuwa na stoki, duka wala gharama

    “Kariakoo sio soko. Ni vita ya akili. Wachache wanaotoka na faida ni wale wanaojua wapi pa kuchimba.” — Sehemu ya maneno niliyosikia kwa fundi mmoja nikiwa nimepotea Kariakoo mwaka 2019. KILICHONIKUTA SIKU YA KWANZA KARIAKOO Mwaka 2019 nilikuwa na wazo tu la biashara — kuuza viatu mtandaoni...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi nguvu ya Marekani inavyoanguka taratibu duniani

    Wasalm alaykum tena wana Jf. Naam naamini wanaofatilia kile kinachoonekana na kuendelea pale Tianjin, China na katika mkutano wa kilele wa Shanghai cooperation organization. Ndio, bwana Xi Jingpin amekusanya kila mwenye nguvu kutoka Russia kwa Vladimir Putin, mashariki ya kati kwa Ayatollah Ali...
  8. JamiiForums Tanzania Mama umenipa moyo jinsi wanavyokuhanya. Wewe ni Mama wa taifa, mama la mama

    Heee! Umenipa moyo sana. Leo kupo kimyaaa! Wanaongelea mashimoni huko kama panyabuku. Hasa! Na bado!
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania ina watu wengi magenius sana wenye IQ kubwa hususani vyuoni lakini serikali halijui jinsi ya kuwatumia

    Mbeya University of Science and Technology (MUST) Hiki chuo mnakifahamu? Moja ya vyuo vyenye watu magenius hapa Tanzania ni pamoja na hiki chuo. Ubunifu unaofanyika kwenye hiki chuo unaweza sema ni wanafunzi wa Kichina, kumbe ni wa hapahapa Bongo. Kwa mtu anayejua chuo cha MUST nadhani...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika dagaa watamu

    Sasa tuandae pishi letu ili tuingie jikoni kupika chap kwa muda wa dakika 10 baada ya hapo, tunakula sotojo letu. Anza kwa kukata kata vichwa vya dagaa, wengine huwa mnaunga dagaa bila kukata vichwa ni sawa pia ila mimi napendelea kukata vichwa kwa sababu inasaidia kupunguza mchanga. Baada ya...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Jinsi Nilivyogeuza Kompyuta Yangu Kuwa Ngome ya Faragha (Privacy Fortress)

    Jinsi Nilivyogeuza Kompyuta Yangu Kuwa Ngome ya Faragha (Privacy Fortress) Kama wewe ni kama mimi, unaitumia kompyuta kila siku. Lakini kila mara nilikua nahisi kama kuna "jicho la siri" linaangalia nyuma yangu hata kama hakuna mtu Kwanguu au Ofisini Ukweli ni kwamba ? Hiyo si paranoia. Ni...
  12. JamiiForums Tanzania Siri za Kariakoo: Jinsi ya kupata bidhaa kwa bei ya jumla bila kupoteza muda

    Wafanyabiashara wengi wanajua Kariakoo kama sehemu yenye msongamano na kelele, lakini wachache sana wanajua nguvu iliyo ndani ya machimbo ya bidhaa yaliyopo pale. Kariakoo ndiyo moyo wa biashara Tanzania — bidhaa zikishafika Kariakoo, unaweza kupata kila kitu kutoka bei ya jumla, hadi bidhaa...
  13. I

    JamiiForums Tanzania SIM Swapping Wizi wa Namba ya Simu Bila Kuibiwa Simu Na Jinsi ya Kujilinda

    SIM Swapping Wizi wa Namba ya Simu Bila Kuibiwa Simu Na Jinsi ya Kujilinda Katika dunia ya sasa ya kidigitali, namba yako ya simu imekuwa “kitambulisho” chako mtandaoni. Inatumika kuthibitisha miamala ya benki, kufungua WhatsApp, kusahihisha nenosiri kwenye akaunti zako, na hata kupata huduma...
  14. JamiiForums Tanzania Full Video: Maandalizi na Mapishi ya Nyama ya Panya na Kenge hadi jinsi ya kuwala

    Maandalizi na Mapishi ya Nyama ya Panya na Kenge. Ukishaonja nyama ya panya huachi. Kenge ndo mtamu balaa Mdau hapa kaweka video hatua kwa hatua ya Uandaaji wa nyama ya Kenye hadi jinsi ya kumla
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa Michirizi Kwenye Ngozi

    Hali hii hutokana na ngozi kupoteza uimara wake na kuachia mistari ya kudumu inayojitokeza. Mara nyingi husababishwa na unene uliopitiliza, kupungua uzito ghafla, baada ya kujifungua, mabadiliko ya homoni au hata urithi wa kimaumbile. Pia, matumizi ya vipodozi vyenye kemikali yanaweza kuongeza...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Mwenyekujua jinsi ya kutatua hii changamoto ya Mfumo wa ESS anisaidie

    Nina changamoto ya kutumia mfumo huu wa ess nimeomba mkopo crdb bank week mbili zilixopita ili kupata mkopo ila kila nikifikia stage ya ku submit code namba kwenda utumishi inagoma na kuandika something went wrong .naomba msaada wenu mwenye uelewa zaidi
  17. JamiiForums Tanzania JINSI YA KUJUA UJAZO WA FREEZER

    Ndugu zanngu mambo vip? Kumekuwa na upigaji mwingi sana kwenye biashara za mafriji hasa mafriza. Wengi tunauziwa mafriza tunaambiwa freezer hilo ni ujazo fulani kumbe sio. Mfano unaweza kuambiwa freezer lina ujazo wa lita 100 kumbe ni lita 50. Naomba mwenye utaalamu wa kujua ujazo wa mafreezer...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania – Tujifunze kwa Norway jinsi Inavyogawa Utajiri wa Taifa kwa Wananchi Wake.

    Bandiko hili limekuwa inspired na Mwalimu Google TV hapa: https://youtu.be/ilz7gIS9VLY?si=Ghkq5_IGuoDx8gLS Norway ni mfano bora duniani wa jinsi nchi inaweza kugawa utajiri wa taifa kwa usawa kati ya wananchi wote. Baada ya kugundua mafuta na gesi baharini (North Sea) mwishoni mwa miaka ya...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutumia ChatGPT Bure

    Jinsi ya Kutumia ChatGPT Bure ChatGPT inatumiwa sana duniani kwa ajili ya maswali, uandishi wa makala, kutafsiri lugha, kuandika, kufanya utafiti (Research) na content za mitandaoni. Watu wengi hujiuliza: “Nawezaje kutumia ChatGPT bure bila kulipa ada ya kila mwezi?” Hapa nitakueleza njia...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi Wazaramo walivyokuwa wanatafuta mchawi iwapo ndugu yao amefariki, na jinsi walivyomuadhibu

    NDAGU, KITALA NA ADHABU YA MCHAWI NDAGU maana yake ni ‘ramli'. Kwa desturi, baada ya kuondoa matanga, ndugu waliofiwa huenda kwa mganga wa ramli ili awajulishe sababu ya kifo kilichotokea. Ziko namna nyingi za ndagu, kwa mfano, ndagu ya kifo, ndagu ya ugonjwa, yaani ramli ya kubashiri maradhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…