jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Samia na CCM mnatumia nguvu ya dola kulazimisha uchaguzi ufanyike jinsi mnavyotaka, Je, hamuoni mnahatarisha amani ya nchi? Je, hii ni Haki?

    Maoni yametolewa, Ukweli unaonekana hata na mtoto mdogo anaweza kutambua changamoto kubwa inayoipa doa tume ya uchaguzi na kuifanya kuwa batili na isiyoweza kusimamia haki. TEC wametoa maoni yao, Waziri mkuu mstaafu Warioba ametoa msisitizo huo, vyama na taasisi mbalimbali wamesisitiza kwamba...
  2. JamiiForums Tanzania JINSI PESA INAVYOIBWA KWENYE SIMU ILIYOPOTEA KUTOKA KWENYE MTANDAO AU BANK

    Unapo poteza simu na kuacha ku block ile line kinachofanyika yule aliechukua simu iliyopotea anatoa line kisha anaenda kwa mtu anae sajili line ambao tumewaona wengi sana mtaani na mashine zao, anampa ile line ya simu ili waweze kupata taarifa za usajili wa NIDA wa line husika. Kisha baada ya...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Jinsi Wapoland wa kawaida wanavyojiandaa kwa uvamizi wa Urusi

    Kumbe vita havitakuja kuisha duniani hata karne zijazo kwa sababu binadamu tunatofautiana mitazamo na imani. Historia inaonesha vita vilikuwepo karne na karne sehemu mbalimbali duniani ikiwemo Ulaya. Baada ya vita vya pili vya duniani, vita vilibaki zaidi Afrika ambapo ilionekana Waafrika...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuuza Bidhaa Kupitia Value-Based Marketing

    Jinsi ya Kuuza Bidhaa Kupitia Value-Based Marketing Katika dunia ya sasa ya ushindani wa kibiashara, njia bora ya kuuza bidhaa si kwa kushinikiza watu kununua, bali kwa kuwapa thamani kwanza. Hii ndio maana halisi ya Value-Based Marketing — mbinu ya kuuza kwa kutoa elimu, maarifa, na suluhisho...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Pesa na Crypto (Mwaka 2025 - Mwongozo kwa Watanzania)

    Katika ulimwengu wa leo wa kidigitali, njia za kutengeneza pesa zimepanuka sana — na mojawapo ya njia zinazokua kwa kasi zaidi ni kupitia Cryptocurrency. Kama umeona watu wakizungumza kuhusu Bitcoin, Ethereum, au USDT lakini hujui waanzie wapi, basi blogpost hii ni kwa ajili yako. ✅ Crypto ni...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujua Taarifa za Kampuni Yoyote

    Inashauriwa ni vyema kufanya search na kupata taarifa za Kampuni kabla hujaingia nayo ubia au kufanya biashara. Lakini swali la msingi hua ni namna gani unaweza pata taarifa zote za muhimu za Kampuni? Linapokuja suala la search watu wengi hukimbilia online sites na ku search Kampuni husika, na...
  7. JamiiForums Tanzania Huenda Rais Samia ndiye alikuwa anamshauri Hayati Magufuli jinsi ya kudili na wakosoaji wake. Anayoyafanya sasa ni ushahidi

    Naanza pata picha kwamba Rais Magufuli huenda hakuwa Mbaya kivile na aliyekuwa Makamu wake wa Raisi ndie alikuwa ana mshauri mambo mabaya. Make huyu wa sasa mambo anayo yafanya hata Magufuli hakuyafanya ni beyond yale aliyofanya Magufuli Au labda Ofisi ya Makamu wa Raisi wakati wa Magufuli...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi mtu mmoja anawaingiza maelfu ya watu kwenye uovu ili dili lake lifanikiwe

    Mfano. MBUNGE ambaye atashinda kwa kura za wizi. Siku hiyo ya uchaguzi maelfu ya watu huingia kwenye mauvu ili mbunge ashinde. Ataanza mkuu was wilaya na mkurugezi halafu wanafuatia wakuu wote wa vituo vya POLICE halafu wanakuja maaskari wanaosimamia vituo siku hiyo baadae wasimamiza wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mifano halisi jinsi ambavyo Simba na Yanga zimeharibu akili za Watanzania wengi.

    Moja kwa moja. Hii ni mifano michache ila Kuna aina mbalimbali za uchizi kuhusiana na mambo ya Simba na Yanga . #UziTayari
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishinda hali ya msongo wa mawazo

    Msongo wa mawazo ni nini? Ni shinikizo au mfadhaiko wa kiakili, unaomkumba mwanadamu, pale anapokutana na matatizo, au taabu, au dhiki au shida Fulani. Hivyo inapotokea mtu huyu anashindwa kuzitatua changamoto hizo, ndipo msongo huo huja. Kwamfano labda mtu amegundulika, ana ugonjwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Polisi wasivyoaminika, sintashangaa wakitangaza waliomshambulia Dr. Kitima walitumwa na Chadema ili kuichafua serikali

    Mwelekeo wa Polisi kuanza kupotosha umma kuhusu shambulizi la mwenyekiti wa CET Dr. Kitima umeanza kuonekana, wakianza kwa kusema alikuwa akipata kinywaji nk, wakidokeza ni mtu wa kunywa pombe kupita kiasi. Sasa hili suala la kusema kuna mtu tayari wamemkamata, sintashangaa kama mtu huyo ni wa...
  12. JamiiForums Tanzania Wafahamu mitume 12 wa Yesu na jinsi walivyokufa

    Utangulizi Ni jumuiya ya wanafunzi wa Yesu waliofanyik limbuko katika kazi ya Kristo Ulimwenguni ambao waliokubali kuacha vyo wakajitoa dhabihu kukaa hekaluni huku mwjuku na familia zao zkitwketea kwa kukosa usimamizi na mapenzi wala huduma za msingi toka waanzilishi wa familia husika. Yesu...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Pesa Kupitia Personal Brand (2025 Guide)

    Katika dunia ya leo ya kidigitali, Personal Brand imekuwa moja ya njia zenye nguvu zaidi za kujitengenezea kipato. Iwe wewe ni mjasiriamali, mtaalamu wa taaluma fulani, msanii, au hata mwanafunzi — kuji-brand binafsi kunaweza kukuwezesha kuvutia fursa, wateja, na kipato kikubwa. Lakini, jinsi...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua kusudi lako la kuishi duniani

    Habari Wakuu! Moja ya kitu kinachomfanya mtu aishi maisha yenye furaha ni kujua kusudi lake na  kuliishi kusudi lake. Bila shaka najua ya kuwa watu wengi hawajui kusudi lako lao la kuwepo hapa duniani. Kwakuwa mienendo ya watu wengi inakuchochewa na watu waliowazunguka. Mfano unakuta mtu...
  15. JamiiForums Tanzania Historia ya Rais Ibrahim Traoré na Jinsi Anavyopendwa na Vijana Wengi wa Afrika.

    Katika zama hizi za mabadiliko makubwa duniani, bara la Afrika linashuhudia kuibuka kwa viongozi vijana wanaojaribu kuvunja minyororo ya ukoloni mamboleo na kuchochea ari ya kizalendo. Miongoni mwa sura zinazong'aa zaidi ni Kapteni Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso. Kupitia uongozi wake wa...
  16. JamiiForums Tanzania JINSI SAUTI ZA AI ZILIVYO BADILISHA SEKTA YA UTANGAZAJI.

    Jinsi Sauti za AI Zinavyobadilisha Sekta ya Utangazaji Utangulizi Katika miaka ya hivi karibuni, teknolojia ya Sauti za Akili Bandia (AI) imepiga hatua kubwa. Leo hii, kompyuta zinaweza kusoma maandishi kwa sauti inayosikika kama ya binadamu halisi. Hii imeleta mapinduzi makubwa hasa katika...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ukristo ulivyochangia kurudisha nyuma maendeleo ya Afrika?

    Kwa hivyo hii ina uhusiano gani na Ukristo barani Afrika? Wamishonari wa kwanza wa Kikristo barani Afrika walikuwa na silaha na vitu vitatu BUNDUKI yenye nguvu ya mabwana wa wakoloni ,muujiza wa DAWA za kisasa (wakati huo) na BIBLIA. Wamishonari wengi wa kwanza walikuja kama madaktari na...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi nguvu ya kiza inavyoharibu makusudio na adhma mambo

    Wengi wenu Mmekua mukiniuliza maswali mengi kuhusu kutofanikisha makusudio ya jambo kama biashara na mengine bila sababu za msingi na hua haingii akilini kuvurigika kwake Napenda kuwambia kua jambo linalovurugika katika mwisho wake hali ya kua lilikua vizuri na likavurugika bila sababu za...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi content creator walivyoniharibia simu yangu.

    Ilikuwa hivi. Niliingia instagram jamaa akasema zima vitu vifuatavyo kwenye simu yako kuimarisha ulinzi wa taarifa zako. Ingiza settings Zima Google password manager Nikazima. Nikaenda settings nikazima payment method Nikaenda privacy and policy Access payments method ni kazima. Baadae...
  20. JamiiForums Tanzania Japan wanawapaka rangi ng’ombe kama pundamilia kuwakinga

    Nchini Japani, watafiti wamegundua mbinu rahisi na rafiki kwa mazingira ya kuwalinda ng’ombe dhidi ya kung’atwa na wadudu: kuwachora kwa mistari myeusi na meupe kama ya pundamilia. Utafiti wao umeonyesha kuwa muundo huu unapunguza kutua kwa inzi kwa zaidi ya asilimia 50, hasa maeneo nyeti kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…