SIMULIZI:MPENZI JINI.
MTUNZI:LAMECK PETER
SEHEMU YA 1.
...Kwa Jina Ninaitwa KETARO Ilikuwa Ni Mwaka 2015 Nikiwa Na Umri Wa Miaka 21 Nikiwa Nimezaliwa Mwaka 1994.Nilikuwa Ninaishi Na Bibi Yangu Mzaa Mama Katika Mkoa Wa Rukwa Sumba Wanga.Bibi Yangu Huyo Alikuwa Ni Kabila La Mfipa.Bibi Yangu...