jimbo la ubungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hamis Abeid Baruani achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Ubungo

    Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Ubungo Ndugu Hamis Abeid Baruani leo 29.6.2025 amechukua fomu rasmi ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kuwania Ubunge wa Jimbo la Ubungo. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Hii ni mara ya pili kwa Hamis Abeid...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tumaini, Richard Kayemba, atia nia kugombea Ubunge Jimbo la Ubungo

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tumaini , Richard Kayemba, amechukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM.Z
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Tundu Lissu akizungumza na viongozi na wanachama wa jimbo la Ubungo akitoa elimu ya kauli mbiu ya movement ya NO REFORMS, NO ELECTION

    https://youtu.be/5Y7PcWedUNE?si=nXAlvjXG1G6V-4Mu KWANINI NO REFORMS, NO ELECTION? Ni kwa sababu: 1. Kwa utaratibu wa kisheria, kikanuni, kikatiba na wa kiserikali, uchaguzi salama usioambatana na mauaji, huru, wa wazi na haki hauwezekani tena kufanyika ktk nchi hii.. 2. NO REFORMS, NO...
  4. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nay wa Mitego anyemelea Jimbo la Ubungo

    Msanii tajwa anajipigia promo ili 2025 agombee ubunge kupitia jimbo la Ubungo. 2025-2055 Ni Professor Kitila Mkumbo (PhD) CCM tu. https://m.youtube.com/watch?v=wMdB_2ZLgy4&pp=ygUWbml0YXNlbWEgbmV5IHdhIG1pdGVnbw%3D%3D
  5. Malaika Gabrieli

    JamiiForums Tanzania Pole sana ndugu Kimaro a.k.a Trump kwa jibu ulilopewa na Rais

    Habari zenu wakulungwa wa JamiiForums Nachukua nafasi hii kumpa pole Ndugu Kimaro a.k.a Trump kwa jibu alilopewa na rais wetu wa JMT pale Mbezi wilaya ya Ubungo. Mimi Mangi niliyekulia Dar es Salaam bado nairudia rudia hii clip bila kujielewa! Hakika mitano tena.
  6. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mchague Boniface Jacob ubunge Jimbo la Ubungo

    Kijana anayejali watu
  7. Sauti ya Umma

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mzee wa kutokomeza Mwakasaka Donard atia timu jimbo la Ubungo

    HABARI, Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC mapema tarehe 25 Agosti 2020 ilimteua Ndugu MWAKASAKA BOAZ DONARD kuwa mgombea ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Sauti ya Umma (SAU). Mwakasaka ni mtaalamu wa masuala ya Uchumi na Maendeleo ya kijamii ameahidi kutokomeza yote yaliyoshindikana katika...
Back
Top Bottom