jimbo la kinondoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    GE2025 Mgombea Ubunge CHAUMMA Jimbo la Kinondoni ajinadi kumng'oa Abbas Tarimba wa CCM

    Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni kupitia CHAUMMA Moza Ally amesema amejipanga kushinda Jimbo hilo, licha ya ugumu wa Mbunge wa sasa anayewakilisha Chama tawala. Moza amesema anafahamu matatizo mengi ya watu wa Kinondoni hivo itakuwa kazi nyepesi kwake kufikisha matatizo yao BUNGENI na...
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 CHAUMMA yapokea wanachama wapya 250

    Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimepokea wanachama wapya 250 kutoka Jimbo la Kinondoni leo Jumapili, Julai 27, 2025 wakati chama hicho kilipofanya mkutano mkuu wa jimbo hilo. Sera za chama, kushiriki uchaguzi, mabadiliko ni miongoni mwa sababu zilizofanya chama hicho kupokea wanachama...
  3. Mama Edina

    Jimbo la Kinondoni, Tarimba aliwahonga hadi mkampa uwakilishi?

    Wabunge wenye tabia hizi ni wengi, wale wasio na haya kama Tarimba ndio wanatuona hatunazo kabisa, wananchi wa kinondoni mbona tuna wasomi waelewanna wapenda maendeleo wengi tuu. Yaani washaona nchi hii watusimamishe barabarani wapite wao. Tunajua moja ya viongozi nchi walio na uhuru uliovuka...
  4. The Palm Beach

    Wewe unafikirije juu ya Abbas Tarimba. Unadhani alikuwa timamu kiasi gani alipotamka haya maneno?

    Hivi hii tuiteje kweli? Kufuru dhidi Mungu Yehova, ujinga, upumbavu au ni kilele cha kiburi cha CCM na watawala wao..? Mimi nimejaribu kufikiri huyu mbunge alikuwa amefikiri nini kumtetea Rais Samia Suluhu Hassan against Askofu Josephat Gwajima kwa kauli yake hii...? Je, ubinadamu wa mtoto wa...
  5. ngara23

    Eng Hersi Said analitaka Jimbo la Kinondoni

    Eng Hersi amekuwa ambaye ndiyo Rais wa club ya Yanga na Mwenyekiti wa vilabu vyote Africa, amekuwa mahiri na kuonyesha uongoza thabiti na wenye weledi Akiwa Yanga amefanya mapinduzi makubwa na mafanikio kimataifa, Amefanya biashara ya mpira na kiuwezesha timu ya Yanga kuwa Moja ya timu kubwa...
  6. J

    Ni Chadema hawa hawa walimpitisha Salum Mwalimu kugombea Ubunge Jimbo la Kinondoni

    Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa. Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha Naibu katibu mkuu wao Zanzibar Salum Mwalimu aje kugombea. Wakati mwingine Chadema ni wa kupuuzwa...
Back
Top Bottom