jicho

Jichō Kachō (次長課長) is a Japanese comedy unit (kombi) consisting of two comedians (お笑い芸人, owarai geinin), Jun'ichi Kōmoto (河本準一) and Satoshi Inoue (井上聡). Sometimes also known as Jikachō (次課長), they are one of the most popular owarai kombi coming from Yoshimoto Kōgyō in Tokyo. Their name literally means "Vice manager, Section manager", and is a reference to the titles of two visitors at the bar in which they were working part-time before they were discovered by Yoshimoto. They were originally a three-man group with the name Jichō Kachō Shachō (次長課長社長), or "Vice Manager, Section Manager, President", but after the third member of the group left, the name was reduced to its current version.
Kōmoto is the boke of the duo, and the much quieter Inoue is the tsukkomi. Both comedians are natives of Okayama. Inoue has a reputation among owarai geinin for being handsome, and he has scored high on Yoshimoto's "handsomest geinin ranking" for the last five years. Kōmoto is most famous for his strange faces and high-pitched character voices, although he is also a very talented singer, and is well respected by other owarai geinin for his skills. He is often heard squealing the line "From me you get no tanmen!" (お前に食わせるタンメンはねぇ!, Omae ni kuwaseru tanmen wa nee!). In March 2003, Kōmoto married Naomi Shigemoto (former Osaka Performance Doll member), and they now have a son.
Kōmoto appeared in the NTV drama, 14-year-old Mother, playing the uncle of the 14-year-old pregnant girl. He is currently active in the idol group Yoshimotozaka46.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Simba SC hili la Mchezaji Jonathan Sowah kumpiga Ngumi ya Jicho Steven Mukwala huko Kambini Misri mliweke sawa na Sowah aonywe upesi sawa?

    Mkiambiwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ni habari nyingine kwa Taarifa za Ndani na sina Mpinzani hapa JamiiForums muwe mnakubali tu na hata kunipigia Saluti Kudadadeki. Haya upesi sana huyu Mchezaji wetu mpya na Fundi wa Kufunga Magoli Jonathan Sowah aitwe na aonywe kuwa Simba SC hatutaki Ndodi za...
  2. JamiiForums Tanzania Tamba na Jicho 👁 la Ustawi wa Jamii Mtaa kwa Mtaa 🇹🇿

    Wasalaam Leo 24 Julai, 2025 asubuhi, nakiri kupokea taarifa kadhaa kutoka kwa Wananchi wa Kata ya Baraa, Mtaa wa Kibao cha Njano kwa Mrefu, Arusha. Kwamba, mtu mmoja mzima analea binti wa umri kati ya miaka 8 hadi 10 hivi ambapo yaani ni anampa vipigo tu apendavyo yeye hivyo, mtoto amejaa...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Swahaba mtukufu aliyepata muujiza wa ajabu kutoka kwa Mtume Muhammad(saw) baada ya kupigwa mshale hadi mboni ya jicho ikadondoka kwenye shavu lake

    Ni Swahaba nani ambaye Mtume(saw) alirudisha jicho lake baada ya kujeruhiwa katika vita vya Uhud? Huyu ni Swahaba mtukufu aliyepata muujiza wa ajabu kutoka kwa Mtume Muhammad(saw) baada ya jicho lake kupigwa mshale katika vita vya Uhud, hadi mboni ya jicho ikadondoka kwenye shavu lake...
  4. JamiiForums Tanzania Jicho la tatu la kijasusi kauli za kagame:"tunaweza kuja hadi hapo mnapofanyia mashambulizi dhidi ya Kigali na kuwafanyizia".

    Je tunaweza kumtambua kagame kama kiranja wa ujasusi ukanda wa maziwa makuu , na kusini mwa jangwa la Sahara? Tumeona umairi wake uko goma, kushirikiana na M23, tumeona akipeleka vikosi vyake Msumbiji kulinda amani na ushikiano zaidi ya askari 1000, akitumia mpaka wa rwanda kupitisha balozi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Utulivu ni jicho la tatu kukupa maamuzi sahihi hasa kwenye nyakati za kuvurugwa ✍️

    Walioachwa kwenye mahusiano wakakurupukia mengine haraka wakiwa kwenye hali ya kuvurugwa wengi wao walijikuta wakikosea tena vibaya zaidi ya mwanzo. Waliofumania wenzi wao au kusikia taarifa mbaya dhidi ya wenzi wao na wakafanya maamuzi wakiwa kwenye hali ya kuvurugwa wengi walijikuta kwenye...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jicho la tatu: Tujiandae kuona watoto wa shule wakiwamo walio chini ya umri wa miaka 18 wakitumika kama wapiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu

    Yanayoendelea nchi hii, kila mtu anaona na hata mwenye akili ndogo kama za kuku, anajua kabisa kuna biashara haramu ya kugawan majimbo kwa kisingizio cha wahusika kushinda uchaguzi. Kwahiyo, tutarajie muitikio mdogo wa wananchi na badala yake tutarajie kuona watoto wa shule wengine wakiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Nina iangalia SA, kwa jicho la huruma sana, wakizifuata saundi za wanasiasa uchwara, watakiona!

    Wazungu weupe ni asilimia saba tu 7% only!, pato la kiuchumi kwa nchi hiyo kwa taarifa mapato ya zaidi ya 80% nchini humo, na juhudi za weupe hao ambao ni only 7%, that mean 93% za weusi ndizo ujazia pengo la 20%,wanatokea wanasiasa uchwara jamii ya kina Heche, wanawa propergate, wazungu...
  8. JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kuwashinda Chadema kwenye jicho la Kisheria, ndo mana mbinu zote za CCM na System zinakwama

    Unaposhindana na Chama kilichojaa manguli wa kisheria waliosoma Sheria ndani na nje ya Tanzania tena kwenye vyuo bora kabisa duniani vinavyofahamika kutoa Wanasheria bora kabisa ni vizuri uwe makini na smart sana. Hiki ndo kinachowakuta system na CCM kwa sasa. Kwa kuwa system haijawahi ku...
  9. JamiiForums Tanzania Jicho la tatu na kuamka kiroho

    Wakati kuna Nuru, sio tu kuhusu kile ambacho macho yako yanaweza kuona ni kuhusu kile ambacho akili yako inaweza kuelewa. Hapo ndipo jicho la tatu linapoingia. Ni kama maono yako ya ndani, sehemu yako ambayo huona zaidi ya mambo ya nje. Nuru inapogusa sehemu hiyo yako, hufungua ufahamu wako na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Namna ya Kufungua Jicho la Tatu

    Jicho la Tatu (Ajna Center) ni Portali ya Mwanga, siyo tu "organi ya kuona visions" — ni sehemu ambayo Roho safi huunganishwa moja kwa moja na chanzo cha Nguvu (Source Field). Katika maandiko ya kale, Third Eye ilijulikana kama: "The Single Eye" — Yesu alisema: Lakini siri ya kufungua Jicho...
  11. JamiiForums Tanzania Polisi, Uhamiaji na Wanausalama wengine Tizameni hili kwa jicho la Tai

    Mimi ni mtoa huduma kwa wakimbizi kutoka katika shirika la madakatari wasio na mipaka la MSF. Mara nyingi nimeshuhudia wakimbizi wasio na vibali vya kutoka nje ya kambi wakisafiri kutoka kambi la Nduta kwenda Kasulu na baadaye Kigoma manispaa. Njiani Kuna vituo vya ukaguzi lakini wakati...
  12. JamiiForums Tanzania Jicho la tatu la Chief Godlove linafikirisha!

    1. Huyu mwamba achunguzwe vizuri usikute anasajilli watu kwenye vikundi vya uhalifu mitandaoni (Scammers) au mapenzi ya jinsia moja. 2. Mtu haelewek anafanya shughuli gani za kiuchumi ila lifestyle ya juu kwa kuegemea Magari huku akibwata tafuta hela tafuta hela. 3. Hilo jicho la tatu ni...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Chief Godlove anachekesha kwamba kujiunga na jicho la tatu ni 150k😂😂

    Kuna vitu vinachekesha. Kwamba kwenye hilo group mtafundishwa jinsi ya kujiponya magonjwa na kuwa matajiri😁😁. Na huwezi amini kuna watu wanajaa. Stori za kitoto kibao, Ama kweli kukosa elimu ni MZIGO.
  14. JamiiForums Tanzania Tatizo la macho, jicho kutoa kinyama juu

    Wakuu kwema? Kuna changamoto hapa jicho limetoa kijipu kina takriban miezi mitatu hakiponi wala hakipotei kama kilivyoadiriwa. Ni dawa gan inatibu hili? Cc. DR HAYA LAND
  15. T

    JamiiForums Tanzania Jicho langu: Ya bodi ya ligi (TPLB) Yanaweza tokea CHADEMA!

    TPLB ilihairisha mchezo wa Simba na Yanga Kwa kusema wataupangia tarehe nyingine, cha ajabu kuchelewa kwao kutangaza tarehe yameibuka ya kuibuka! Nafananisha haya na yanayoendelea CHADEMA na kundi linalojiita G55. Nionavyo Mimi hawa ni VIVURUGE tu! Nasema ni VIVURUGE Kwa sababu Kwanza ata Hilo...
  16. JamiiForums Tanzania Mbona hawa 'Mabodigadi' wengi wa Wasanii wa Muziki Tanzania ukiwatizama kwa Jicho Kali la 'Ndege Tai' wanaonekana ni 'Pancha' siku nyingi?

    Kwa mfano nikimuangalia huyu wa Ali Kiba hasa alipokuwa Samia Cup Mikocheni anaonekana kabisa ni Pancha zamani.
  17. JamiiForums Tanzania Demokrasia, kama jicho na mlango wa mabeberu wa kufanya chochote wapendacho kwa nchi changa!

    Nchi kama China walifanikiwa kuliona hili na kulidhibiti mapema kwa jinsi wawezavyo, katika ulimwengu wa sasa tunashuudia mengi sana, zelensky alipogomea kugawa maliasili zake, basi, marekani kwa haraka sana alianzisha vikao na mpinzani wa zelensky wa kisiasa, nchini humo, Mabeberu wanafahamu...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie jicho mkata hotelini yanaposimama magari ya abiria kwa ajili ya chakula na" kuchimba dawa"

    Serikali ijikite kuangalia na kuchukua hatua kwa kituo cha mkata kwenye suala la Afya .Juzi wakati nasafiri kutokea Tanga tulisimama hapo kupata Chakula nilichukua takeaway wakati nipo kwenye gari nimeanza kula nikahisi nimekula Chakula kilicholala na kimechacha ilibidi nikitupe kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Jicho la tatu ni chakra ya sita kati ya chakra saba katika mwili wa binadamu

    Jicho la tatu ni chakra ya sita kati ya chakra saba katika mwili wa binadamu Ukiweza kufika kituo hiki cha Nishati basi utakuwa na uwezo mkubwa wa kiroho na kupata maono na utambuzi wa mambo mbalimbali Kujifunza zaidi namna ya kufungua vituo hivi vya Nishati basi kalibu sana.
  20. L

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa nguvu ya pesa na jicho la tatu

    Kuna vijana ambao tayari wamepigwa za uso na kukosa imani na kijana wa mizimu Bw. Chief, lakini pia kuna ambao hawajui ukweli kuhusu kujiunga nao. Hii yote ni vijana kutaka mafanikio makubwa ya haraka. Ila ukosefu wa akili ya kujiuliza maswali ndo unachangia 🤦🏾 Mfano: 1. Mtu anakuambia njoo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…