jezi

In Slavic folklore, Baba Yaga (; Russian: Баба-Яга, tr. Bába-Jagá, IPA: [ˈbabə jɪˈɡa] (listen)) is a supernatural being (or a trio of sisters of the same name) who appears as a deformed or ferocious-looking old woman. In Slavic culture, Baba Yaga lived in a hut usually described as standing on chicken legs.Baba Yaga may help or hinder those that encounter her or seek her out. She may play a maternal role and has associations with forest wildlife. According to Vladimir Propp's folktale morphology, Baba Yaga commonly appears as either a donor, villain, or may be altogether ambiguous. Her depictions vary greatly across tales, ranging from a child-eating monster, to helping a protagonist find his missing bride.
Andreas Johns identifies Baba Yaga as "one of the most memorable and distinctive figures in eastern European folklore", and observes that she is "enigmatic" and often exhibits "striking ambiguity". Johns summarizes Baba Yaga as "a many-faceted figure, capable of inspiring researchers to see her as a Cloud, Moon, Death, Winter, Snake, Bird, Pelican or Earth Goddess, totemic matriarchal ancestress, female initiator, phallic mother, or archetypal image".

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Sheria ngowi aishukia Yanga utumiaji hovyo wa jezi

    Haki ya Mungu CEO Senzo hata kusimamia tu utumiaji wa jezi hawezi halafu wachambuzi takataka wanakuambia jamaa ni kichwa kishenzi yaani wanasema alikuwa kamati ya maandalizi ya world cup jamaa ni genius hatari Kwa mujibu wa mbunifu wa jezi za Young Africans Sports Club Sheria Ngowi alisema...
  2. Leo nimemuona Nadir Haroub Cannavaro nikakumbuka kisa chake cha jezi na Eto'o

    Mwaka 2008 Taifa Stars enzi za kocha Marcio Maximo. Enzi hizo mapenzi ya Watanzania kwa timu ya taifa ni 100%. Kuna mkasa mmoja ambao leo umenifanya nimkumbuke Cannavaro mara baada ya kumuona kwenye benchi la Stars. Ilikua hivi mara baada ya mchezo kati ya Tanzania na Cameroon kumalizika...
  3. Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

    Nimeziona jezi za ugenini bado sijafanikiwa kupata ile ya nyumbani. Unazipa alama ngapi chini ya 10?
  4. G

    Yanga tumeuza jezi milioni 1 ndani ya siku moja, lakini wanaoingia uwanjani ni 5% tu wenye jezi mpya

    Mlikuwa mnamdanganya Nani? Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani? Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
  5. M

    Tunaposema Jezi mpya ya Yanga SC ni mbaya na mbovu muwe mnatuelewa, Asante Oscar Oscar kwa leo Kupiga Dongo la maana huko Yanga SC

    "Tafadhali kama kwa bahati mbaya umempoteza au umepotezana na Ndugu yako kwa muda mrefu jaribu kumuangalia katika Jezi mpya ya Yanga SC unaweza ukampata" Chanzo: Mchambuzi EFM na TvE Oscar Oscar Wakati Oscar Oscar ( ambaye Personally ) namjua ni Simba SC lia lia alipochukua Fomu ya Kugombea...
  6. M

    Kuna Timu ya Tanzania ipo kweli Pre Season na nyingine iko busy Kutambulisha jezi vibonzo zao katika jezi

    Kuna Watu kweli hamnazo kabisa yaani Wewe una Mechi ngumu mno ya CAF CL badala ya kujiandaa vyema uko busy Kutambulisha Jezi Vikaragosi zao na Mwali wao Mzungu Pori. Halafu baadae Mwanamume aliyejiandaa vyema kwa Mashindano yote yajayo kama Kawaida yake akibeba Vikombe vyote mtaanza kusema...
  7. Sheria Ngowi na Theocabrini na team yote wametengeneza jezi za Yanga nzuri haijawai kutokea Afrika

    Sheria Ngowi na Theocabrini Pamoja na Team Yote Wametengeneza Jezi za YANGA Nzuri sana Africa Hakuna Jezi Nzuri kama za YANGA Kwa Sasa Kwenye Jezi inaonyesha Wananchi Kwenye Jezi Inaonyesha YANGA Mabingwa Mara 27 Kwenye Jezi inaonyesha home of Champions Wengi hawawezi kuelewa theme ya Jezi...
  8. N

    Kuifanyia hivi jezi ya timu pinzani siyo udhalilishaji?

    Huyu mtu toka ugomvi wake na Bumbuli kazi yake ni kudhalilisha wenzake na mwishowe yeye au watu wake huja kwa kasi kumtetea. *Vs Bumbuli: kisa kilikuwa lopolopo kufurahia basi la la Yanga kupasuka tairi la mbele ,Bumbuli hakuvumilia hali ile akamuwakia jamaa akaliaalia kwamba ananyayapaliwa...
  9. Baada ya Yanga kuzindua jezi, inasemekana Simba imeamua kurudisha kiwandani jezi zao mpya kufanyiwa maboresho

    Kitu kizuri wameshtuka mapema la sivyo hizi hata wangeuza elfu 2 kwa kila moja hamna ambaye angenunua
  10. Manara atabiri jezi mpya ya Simba itakavyokuwa

  11. Nawezaje kupata jezi za Yanga Jijini Dodoma?

    Wakuu salamu, Wakuu nitakuwa Dodoma Siku ya Leo na kesho pia. Je, naweza kupata wapi jezi za Yanga za msimu huu? Zilizozinduliwa Jana.
  12. REKODI: Jezi mpya za Yanga zaidi ya Milioni 1 zanunuliwa ndani ya masaa 6 tangu zilipozinduliwa

    Habari za hivi punde ni kwamba jezi mpya zaidi ya Milioni 1 za klabu ya Yanga zimenunuliwa ndani ya masaa 6 tu tangu kuzinduliwa kwake. Eng. Hersi amethibitisha rekodi hii iliyowekwa na timu ya wananchi na kushangazwa na mapokeo makubwa ya jezi hizo mpya. Jezi hizo zinauzwa Tshs. 28,000/= kwa...
  13. Kwa hizi jezi mbaya, Yanga ilihitaji Manara aje kuzibusti

    Mimi ni Simba lakini nimejikuta naisikitikia sana Yanga.
  14. N

    Jezi za Waarabu zilivyosifiwa kwa kuchafuka

    Kwa hakika siku zinaenda leo jezi kuwa na wadhamini wengi zinaitwa siyo za mpira, bahasha za khaki ni hatari sana === Sare ya Yanga na uchafu wa jezi ya Al Ahly MONDAY APRIL 11 2016 Summary Mbele ya mboni za macho yangu ni kama vile Yanga wameshinda. Wamewezaje kucheza na timu ambayo ina...
  15. Young Africans yazindua jezi mpya msimu wa 2021/2022

    Tarehe 24 msemaji wa klabu ya Yanga Haji Sande Manara alitoa taarifa katika hafla yake yakutambulishwa kama msemaji wa klabu hiyo,kuwa tarehe 25 mwezi huu{leo} saa tano asubuhi watazindua jezi za msimu mpya na hii ni maalum kuelelea kilele ya siku ya mwananchi itakayo fanyika huko Zanzibar...
  16. Aibu: Yanga yakopi jezi za Plateau Utd kama zilivyo

  17. F

    Sijapendezwa kabisa na kufurahishwa na Jezi mpya za Barcelona

    Mimi ni mpenzi na mshabiki mkubwa wa Barcelona toka 1993 enzi za Hristo Stoichkov, Romario na kocha wa sasa hivi Muholanzi Koeman. Sijafurahishwa kabisa na muonekano wa Jersey ya Msimu wa 2021/22 kwasababu ya msalaba kifuani upande wa kulia. Barcelona itambue ina mashabiki wengi wa imani...
  18. Wachezaji 10 walioitendea haki jezi namba 9 dimbani

    MABAO ndiyo yanayoleta ushindi kwenye mchezo wa soka. Ukizungumzia ufungaji wa mabao, wachezaji wakubwa wamefanya hivyo wakiwa na jezi namba tisa. Kiutamaduni, jezi namba tisa ndiyo inayohusika na ufungaji wa mabao, ingawa soka la kisasa mambo yamebadilika kidogo katika mbinu – lakini kazi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…