jezi za taifa stars

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Kampeni: Watanzania tununue jezi za Taifa Stars kwa wingi kutoka Sandaland

    Utawala wa Sheria Ushinde: Kila Mtanzania Anunue Jezi Halisi ya Taifa Stars Kutoka Sandaland! Katika nchi inayoongozwa na misingi ya sheria, maoni binafsi ya kiongozi hayawezi kamwe kuwa juu ya mikataba halali na sheria za nchi. Sakata la jezi za Taifa Stars limeonyesha wazi ukiukwaji mkubwa wa...
  2. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kwenye ishu ya jezi za Taifa stars kwa ilipofikia busara itumike kuliko kutupiana maneno mtandaoni

    Waziri wa michezo makonda alisema watafytua jezi ambazo zitaenda kushindana na za sandalanda sasa hii kauli sio ya kiungwana na kistaarabu ukizingatia sandaland ana mkataba wa kutoa jezi za timu ya taifa mambo ya alishindaje tender hayana uzito sana sababu mkataba aliopewa ni halali Mimi...
  3. tpaul

    JamiiForums Tanzania Makonda kufyatua Jezi mpya zenye nembo ya Mama?

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Taarifa za kiintelejensia zilizopo ni kwamba Bwana Paulo Makonda ameazimia kutumia kila rasilimali aliyo nayo kuhakikisha kwamba anafyatua jezi mpya za timu ya taifa kwa gharama yoyote ile. Wadau waliopo karibu na waziri huyo nguli wa michezo zinasema ndugu Makonda...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la jezi mpya za Timu ya Taifa: Kati ya Kulinda Hadhi ya Nchi na Mipaka ya Kisheria ya Kiutawala

    Heshima yenu wakuu na wanafamilia wote wa JamiiForums. Imekuwa ni desturi yetu kukutana hapa jukwaani kubadilishana mawazo, kutafakari, na kuweka mambo sawa pale tunapoona mustakabali wa taifa letu unahitaji jicho la ziada. Leo nimeona si vibaya tukaweka mezani mada inayotikisa kwa sasa katika...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Makonda: Jezi za timu ya Taifa ni mbaya, hata ukiisugua na dodokii

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, akizungumza na waandishi wa habari leo, Septemba 24, 2026, amesema jezi za timu za taifa zilizozinduliwa ni jezi mbaya sana hazina ubunifu hata wazisugue na dodoki “Jezi ni mbaya, hata ukiisugua na dodoki, pambaneni kuifanya jezi iwe...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makonda: Jambo la jezi sio ajenda yetu ya kikao cha leo. Sitawanunia wanashambulia kuhusu jezi

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka wadau na jamii kuelekeza nguvu zao kwenye mijadala ya kujenga badala ya kushambulia personalities za viongozi, akisisitiza kuwa yeye hana ugomvi na mtu yeyote na anafanya kazi zake kwa mujibu wa katiba na mamlaka aliyopewa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wizara ya michezo inataka kuingilia majukumu ambayo si yake, kama inatoa hela si sababu ya kudizaini hadi jezi wanazotaka wao

    Wizara inataka kuingilia majukumu ambayo si yake, kama inatoa hela si sababu ya kudizaini hadi jezi wanazotaka wao Matokeo yake Serikali ndio itaelekeza jezi ziwe na muonekano gani mwisho wake Wananchi wazikatae waone Serikali inaingiza siasa. 1. Kwa uelewa wangu mdogo, na niko tayari...
  8. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Sakata la Jezi za Taifa Stars: Nani Aliruhusu Nini kati ya Makonda, Mwana FA, TFF na Sandaland?

    Hapa kuna maswali kadhaa ambayo naamini TFF na Wizara wanapaswa kuyajibu waziwazi. Jezi hizi zilifikaje hatua ya kuzinduliwa, kupromotiwa na kuanza kutangazwa rasmi kama jezi za Taifa Stars kama kweli Wizara haikuwa na taarifa wala haikutambua mchakato huo? Naibu Waziri alionekana akiwa amevaa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Jezi za Taifa Zafungua Vita ya Kisheria Kati ya Sandaland na Wizara

    Utangulizi Mzozo mkubwa wa kimaslahi, kisheria na kiutendaji umezuka rasmi katika sekta ya michezo nchini, baada ya kampuni ya kusambaza mavazi ya Sandaland Fashion Wear Limited kutangaza nia ya kufungua shauri la kisheria dhidi ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda...
  10. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Sandaland Kuiburuza Mahakamani Wizara ya Michezo Kuhusu Jezi za Taifa Stars

    Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited imetangaza nia ya kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, kufuatia kauli yake aliyoitoa hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii iliyoponda ubora na uhalali wa jezi mpya za timu ya taifa ya mpira...
  11. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania TFF: “Suala la Jezi za Taifa Stars Lipo Mamlaka za Juu”

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema kuwa changamoto na mjadala unaoendelea kuhusu jezi rasmi za Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ hivi sasa unashughulikiwa na mamlaka za juu. Kauli hiyo imetolewa leo na Msemaji wa TFF, Clifford Mario Ndimbo, wakati akijibu swali la mwandishi wa...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kwanini Taifa Stars hawavai nembo mpya ya Sandaland (SANDA)?

    Wakati Simba ilipozindua jezi mpya ya msimu huu wa 2024-25 na jezi hizo kuja na nembo mpya ya Sanda iliyozua gumzo kubwa, mimi ni mmoja wa watu waliopaza sauti nikitoa hoja na wasiwasi wangu kuhusu kilicho nyuma ya nembo hiyo mpya. Moja ya kitu nilichomalizia kusema mara ya mwisho nilipoongelea...
Back
Top Bottom