Habari ndugu zangu!
Nina miaka mingi sana nimekuwa mtumiaji wa Barabara ya kawe, Kuna jambo moja silielewi na Lina mda mrefu sana.
Kuna Kisima pale cha Maji, kwa juu Pana mpira unapoteza Maji miaka nenda rudi, kila nikipita pale huwa unanifikirisha sana kwa kweli.
Kwa shida ya Maji ya Dar es...