jeshi la tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Troll JF

    Jeshi la Tanzania na Marekani Wasaini Makubaliano ya Ushirika wa Kijeshi

    Makubaliano hayo yatajikita katika, Kukabiliana na majanga na kutoa msaada wa kibinadamu ni sehemu muhimu ya kudumisha usalama wa kitaifa na wa kimataifa. Leo, Ubalozi wa Marekani uliwasilisha mahema tisa ya dharura kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania ili kuimarisha uwezo wa Tanzania wa...
  2. Waufukweni

    Kikosi cha tano cha walinzi wa amani kutoka Tanzania kuendeleza operesheni DRC

    Kikosi cha Walinda Amani cha Tanzania kinachohudumu chini ya mwamvuli wa FIB-MONUSCO kimehitimisha rasmi jukumu lake la ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kupitia gwaride maalumu la makabidhiano kati ya TanzQRF ya 4 na TanzQRF ya 5. Hafla hiyo imefanyika katika makao...
  3. Carlos The Jackal

    Waambieni MAJAJI kesi ya LISSU kuwa, Wameamuliwa na Mungu kabla ya Dec 1 wawe wameshatoa Tarehe ya kesi kuendelea kusikilizwa!

    Mh LISSU hataki Kupendelewa Wala Kuonewa, ndio Sababu Licha ya Ofa zote mnazompelekea amegoma kuwasailiti Wananchi. Huyo ni MTU wa aina gan? Je Msimamo huo wa Kimungu hautoshi Kuwashtua Majaji ?. Sasa nikiwa Katika Usingizi, Mungu alinichukua na kunipeleka katika Kikao Cha Malaika ,kikao...
  4. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Wakenya wasema wasanii wa Tanzania wasikanyage nchini kwao, na nyimbo zao zisipigwe

    Jeshi la Tanzania mmewaangusha watanzania, mnasema mnalinda raia na mauaji yaliyotokea oktoba 29 mmeyakalia kimya? Wasanii wa Tanzania marufuku kukanyaga Kenya.
  5. R

    PostGE2025 Raia wa Kenya: Nashangaa JWTZ na wasanii wa Tanzania raia wameuawa lakini mpo kimya, mmewaangusha wananchi

    Kwa umoja ambao wananchi wa Kenya wamekuwa wakionyesha kukemea mauaji na udikteta wa Samia unazidi kuleta matumaini kwetu watanzania Jeshi la wananchi Tanzania limewaangusha wananchi, raia wameuawa lakini wapo kimya wanaendeleza harakati za Samia, wameiapisha serikali haramu kuwa halali na...
  6. Getrude Mollel

    GE2025 Kwanini ndoto za Mange za Jeshi la Tanzania kuasi haziwezi kufanikiwa?

    Jeshi la Tanzania haliwezi kuasi kwa sababu limejengwa juu ya msingi wa historia, umoja na falsafa ya kitaifa iliyopandikizwa tangu enzi za ukombozi. Wakati mataifa mengi ya Afrika yalirithi majeshi ya kikoloni yaliyokuwa vyombo vya ukandamizaji, Tanzania ilijenga Jeshi la Ulinzi la Wananchi...
  7. K

    Jeshi la Tanzania tulifikirie upya baada ya kushidwa na M23

    Je tuna jeshi hapa au ? Lazima tujiulize inakuwaje jeshi letu limeshidwa kirahisi na M23. Je tuna uhakika gani kama kundi dogo kama M23 likiingia Tanzania jeshi letu liko tayari na uwezo wa kisasa wa kupambana nao. Tunajua ni wajenzi wazuri na miradi mpaka ya sehemu za starehe lakini Jeshi letu...
  8. Lord Denning

    Jionee tofauti ya Miradi kati ya Jeshi la Ethiopia na Jeshi la Tanzania

    Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara. Picha hizi hapa👇 Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇...
  9. Lord Denning

    Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

    Najua habari hii imewauma sana makamanda ninawafahamu wa JWTZ! Najua habari hii imemuua sana kamanda Luteni Generali Mstaafu Mwakibolwa. Najua habari hii imemsononesha sana General Mstaafu Davis Mwamunyange. Najua habari hii haijamlaza vizuri mwamba Luteni General Abdulrhman Shimbo. What we...
  10. Elitwege

    Usiichukulie poa Tanzania katika medani za kivita, walioijaribu walifutika

    Tanzania ilipewa jukumu kubwa la kuongoza vikosi vya Umoja wa Mataifa huko DRC, 2013/14 kazi kubwa ya kuisambaratisha M23. Kwa msioifahamu Tanzania vizuri,mwaka 2008 tulikuwa front line visiwa vya Comoro tukarejesha Amani ya ukanda ambapo napo aliibuka jamaa mmoja akaanza kudharau na kupuuzia...
  11. Nyarupala

    Kwanini Tanzania isiombe kuingia mkataba na DRC ili kuwaondoa waasi wa M23 ?

    Ni kama ambavyo Rwanda ameingia makubaliano na msumbiji ili kulinda amani pale kwao kwa makubaliano ya makampuni ya kinyarwanda kunufaika zaidi kibiashara.
  12. Kichuguu

    Vyeo vya Maafisa Jeshi vilivyopo na ambavyo havitumiki katika Jeshi la taifa kwa sasa

    Kuna watu wengi wasioelewa mtililiko wa vyeo vya maafisa wa jeshi hasa kwa vile Jeshi letu (na majeshi mengi yaliyorithi kutoka Uingereza) huruka baadhi ya vyeo na havitumiki kabisa katika jeshi letu. Nimeona niweke mtililiko kamili wa vyeo hivyo ili kuelewesha ni vyeo gani ambavyo havitumiki...
  13. Roving Journalist

    Rais Samia akitunuku Nishani ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

    https://www.youtube.com/watch?v=2hnFr5PaqRs Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitunuku Nishani ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) Ikulu Dar es Salaam, leo tarehe 29 Agosti, 2024.
Back
Top Bottom