jeshi la magereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chakaza

    Suala la Lissu kunyimwa chakula na Magereza limegusa na kuumiza wengi

    Hivi hawa ni watu kweli? Au serikali hii inaongozwa na Mashetani ila hatujui? Mtu unamfungia jela miezi 10 ili hali ukijua kuwa Hana kesi ila unamkomoa, halafu una mleta mahakamani anakopambana na timu kubwa ya Mawakili wa serikali na chakula unamnyima? Hivi watu wakishangilia vifo vya watu...
  2. Waufukweni

    PostGE2025 Baada ya takribani miezi mitatu, kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 9, 2026

    Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' Tundu Antiphas Lissu inatarajiwa kuendelea leo Febriari 9, 2026 Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es salaam. Kupitia taarifa Rasmi iliyotolewa na CHADEMA jumapili jioni Februari 08, 2026...
  3. DuaZaMama

    Jeshi la Magereza: Taarifa inayosambaa kuwa ni ujumbe wa Lissu kutoka gerezani si sahihi, inapotosha umma

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Magereza Tanzania linapenda kuujulisha umma kuwa, zipo taratibu za mawasiliano kwa wale wote waliopo gerezani kwa mujibu wa sheria ambazo hupaswa kusimamiwa na kuthibitishwa iwapo maudhui ya mawasiliano hayo hayakiuki taratibu zilizopo wala kuathiri suala zima la...
  4. Mafyangula

    PostGE2025 CHADEMA: Jeshi la Magereza limezuia viongozi wa Chama kumuona Mwenyekiti Taifa, Tundu Lissu Gereza la Ukonga

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na Jumuiya ya Kimataifa kuwa Serikali kupitia Jeshi la Magereza limezuia viongozi wa Chama kumuona Mwenyekiti Taifa, Mhe. Tundu Antipas Lissu katika Gereza la Ukonga. Katika siku za karibuni, viongozi wa Chama akiwemo...
  5. Waufukweni

    GE2025 VIDEO: Askari Magereza wamsukuma Lissu kidogo aanguke Kizimbani wakati akiaga Mahakamani

    Wakuu! Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alisukumwa na baadhi ya Askari wa Magereza wakati akitoka kizimbani akiwa anaaga kwa waliofika kufuatilia mwenendo wa Kesi yake ya Uhaini, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hali iliyomfanya akaribie kuanguka kabla ya kudakwa na Askari wengine waliokuwa...
  6. chiembe

    Jeshi la Magereza lipunguze watu wanaomkaribia Lissu gerezani na Mahakamani ili kumkinga na tetesi za sumu, hata watu wake wa karibu wasimsogelee sana

    Chadema na watu wao walipitisha tetesi eti kwamba kuna mpango wa kumuwekea sumu ndugu Lissu. Hizi ni tuhuma mbaya. Nilitarajia watu wanaomsogelea Lissu Mahakamani wawe regulated na vyombo vya dola. Nasema hivyo kwa sababu inawezekana hao wanaojichekesha hapo Mahakamani wakijifanya wanajuana na...
  7. M

    Naliomba Jeshi la Magereza lizuie chakula anacholetewa Lissu na ndugu zake maana wana mpango wa kuchafua serikali

    Jana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali...
  8. R

    REA yagawa Mitungi ya gesi kwa Watumishi Jeshi la Magereza Mkoa wa Mara

    Katika kuendelea kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imegawa jumla ya mitungi ya gesi ya kilogramu 15 pamoja na majiko ya sahani mbili 461 kwa Watumishi wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Mara. Akizungumza wakati wa...
  9. Superbug

    Waandishi wa Habari wa miaka hii na wale wazamani waliolisusia jeshi la magereza na wizara ya mambo ya ndani

    Uchawa umeharibu professional za watu miaka ya nyuma enzi za mwinyi wizara yaambo ya ndani kupitia jeshi la magereza waliwahi kuzinguana na WAANDISHI WA HABARI. Walichokifanya WAANDISHI wale wakasusia kuandika kabisa jambo lolote linalohusiana na magereza au wizara ya MAMBO YA NDANI mbona...
  10. Mkalukungone Mwamba

    Bashungwa: Kuwatembelea wafungwa kunafuata taratibu, Sio kila Mtu kupewa VIP Treatment

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema upo utaratibu upande wa jeshi la magereza , ndugu jamaa, rafiki anapotaka Kwenda kumuona maabusi au mfungwa zipo taratibu zinasimamiwa, kwahiyo tukikata tuwe na VIP Tretimenti na yenyewe inakuwa sio sawa Soma Pia: Bashungwa atoa...
  11. N

    SI KWELI PreGE2025 Jeshi la Magereza lasema Lissu hajapotea, bado linamshikilia kwenye gereza la Keko

    Jeshi la Magereza lasema limemhamisha Lissu kutoka Keko kwenda Ukonga
  12. Just Pray

    Jeshi la Magereza lakabidhiwa mbegu za alizeti kilo 500 kwa ajili ya kilimo

    Jeshi la Magereza lakabidhiwa mbegu za alizeti kilo 500 kwa ajili ya kilimo Jeshi la Magereza, kupitia Mkuu wa Wilaya ya Geita, limekabidhiwa mbegu za alizeti kilo 500 zitakazotumika kupandwa kwenye shamba lenye ukubwa wa ekari 65. Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mh. Martine Shigella, alieleza hayo...
  13. Mwachiluwi

    Manara aomba msamaha kwa dharau alizowafanyia Magereza

    https://youtu.be/yb-hC6suofc?si=kI9uE3IMw8NYkp_c Huyu wana mchekea wangemchukulia sheria. Kuwa albino isiwe sababu ya yeye kutukana watu kwa kivuli cha ulemavu yeye sio albino wa kwaza Pia Soma: Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa...
  14. ESCORT 1

    Kalenda hii inaonesha kesho ni tarehe 32/10/2024

    Hii taasisi imetoa kalenda na kesho ni 32/10/2024 Nini maoni yako?
  15. JanguKamaJangu

    Waziri Masauni: Jeshi la Magereza likubaliane na maboresho ya Kimfumo, Kimuundo na Kitaasisi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema Jeshi la Magereza lazima likubaliane na maboresho ya kimfumo, kimuundo na kitaasisi ambayo yatakwenda kuongeza uwezo wa uzalishaji mazao ya kilimo kwa magereza ya uzalishaji mali nchini. Waziri Masauni ameyasema hayo tarehe 29...
  16. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yaahidi Kutatua Mgogoro wa Ardhi Kati ya Wananchi na Jeshi la Magereza Wilayani Ngara Mkoani Kagera

    SERIKALI YAAHIDI KUTATUA MGOGORO WA ARDHI KATI YA WANANCHI NA JESHI LA MAGEREZA WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imepokea malalamiko ya mgogoro wa Ardhi kati ya Wananchi na Jeshi la Magereza katika Kijiji cha Rusumo Wilayani Ngara Mkoani Kagera. Kauli hiyo...
  17. JanguKamaJangu

    Rais Samia amteua Mkuu wa Jeshi la Magereza

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkuu wa Jeshi la Magereza. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses M. Kusiluka, Kamishna wa Magereza CP. Jeremiah Yoram Katungu...
  18. MagerezaTanzania

    TANZIA Simon Amon Mwanguku, aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara (1983 -1992), Afariki Dunia

    Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Mzee Ramadhani Nyamka anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara kuanzia Mwaka 1983 hadi 1992 (Pichani), Simon Amon Mwanguku kilichotokea leo Alfajiri tarehe 28 Julai, 2024 katika Hospitali Kuu ya Jeshi...
  19. BigTall

    Kikokotoo kilivyomtenda mstaafu Jeshi la Magereza

    Aliyekuwa mtumishi wa Jeshi la Magereza Tanzania, Salum Shamte (56), amesimulia namna kanuni za kukokotoa mafao (kikokotoo) ilivyosababisha apigwe butwaa baada ya kupokea ujumbe (sms) wa kiasi cha fedha za pensheni ya kustaafu alicholipwa. Anasema alipokea sms ikionyesha malipo ya Sh21 milioni...
  20. I

    Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Wakuu habari, naomba kuuliza je usaili wa kujiunga jeshi la magereza na uhamiaji 2024 tayari au kuna ambayo wameshaanza kuitwa?
Back
Top Bottom