jeshi la israel

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jackal

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Israeli imeua nusu ya Makamanda wa Hezbollah huko Kusini mwa Lebanon

    Israel has killed 450 Hezbollah terrorists since outbreak of fighting after October 7th, including half of the Lebanese terror group’s officers on the front. --- IDF has killed half of Hezbollah commanders on Israeli border, says Defense Minister Israel has killed 450 Hezbollah terrorists since...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Pigo lingine kwa Hezbollah. Jeshi la Israel lamuua kamanda mkuu wa kikosi cha mizinga na makombora

    INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAJI'UN Rest in Peace aliekuwa Kamanda wa Hezbollah kikosi cha mizinga, Ibrahim Muhammad Qabisi, ameuawa akiwa ndani ya nyumba aliyojificha jijini Beirut, Lebanon. Ni baada ya Mossad kupata intelejensia sahihi kwa wakati sahihi na mahali sahihi, wakazifowadi...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mkuu wa Hezbollah Ahmed Wahabi anayeongoza idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi auawa na Jeshi la Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Ahmed Wahabi aliongoza Idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi ya Hezbollah Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: One of those named by Hezbollah, Ahmed Wahabi, is identified by the terror group as a “commander.” Hezbollah rarely refers to its senior...
  4. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel itawapa makaazi takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza

    Wanaukumbi. Israel itawapa makaazi ya kudumu takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza. Haya nafasi ndiyo hiyo Waisrael weusi wa; Tunduma INYALA YAWAYA MAKWENJE DARAJANI SHAMWENNGO IMEZU MWASHOMA ITEWE NYASHISHI NGUDU kIBOSHO Na maneo...
  5. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Jeshi la israel kuiavamia Lebanon

    Baada ya mashambulizi yasiyokoma kutoka Lebanon kwenda Israel, siku ya jana Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alikutana na maafisa wa kijeshi na usalama na kuja na uamuzi wa kuanza opereshenk nchini Israel. Siku ya leo jeshi la Israel limepeperusha vikaratasi vikiwasihi wananchi kuondoka...
  6. G

    JamiiForums Tanzania West Bank - Palestina,: Maabara ya mabomu yakutwa ndani ya msikiti uliojengwa kwenye makazi ya raia.

    Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad. operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti wenye maabara ya mabomu ndani yake. imekuwa ni kawaida kwa vikundi hivi kuwatumia raia kama ngao kwa...
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi, bali aliachiliwa huru na Hamas na kutekwa kimakosa.

    Wanaukumbi. Kama kawaida ya Jeshi la Israel kwa kujisifia ujingq. ⚡️🇮🇱 NDANI TU: Norit Yohanan - Kan Kiebrania: Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi, bali aliachiliwa huru na Hamas na kutekwa kimakosa...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lavunja rekodi, Raia 13 wamefariki kwa kila wanamgambo 10, Ratio iliyozoeleka 90 kwa 10, Ni wapumbavu wanaoamini kuna Genocide !

    Vita inapotokea ratio ya wastani huwa ni raia 90 watafariki kwa kila mwanajeshi 10 wataouwawa vitani. Israel imeshangaza ulimwengu wa vita kwa kuweza kuwa na ratio ndogo sana Kufikia mwezi uliopita Wizara ya Afya ya Gaza imerekodi vifo elf 25 vilivyohakikishwa, Hamas wanasema kuna jumla ya...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lapiga marufuku marubani wake kusafiri nje ya nchi, yahofia kipigo kutokea Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limepuga marufuku marubani wake wote kusafiri nje ya nchi hiyo kama tahadhari ya maandalizi ya vita dhidi ya Iran, Hezbollah na washirika wao Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa kikosi cha Anga Meja Jenerali Tomer Bar, Taarifa kamili hapo chini: === Amid...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Afrika kuna yalichojifunza kutoka kwa Jeshi la Israel (IDF) hasa kwa kushambulia maadui wa kila kona kwa pamoja?

    Ya muhimu.... 1. Israel lina Wanajeshi wenye Uzalendo usio wa mashaka na Taifa lao 2. Israel lina Jeshi lenye si tu bora Wanajeshi bali Wanajeshi waliosoma vyema na wana Akili sana Kichwani 3. Israel lina Jeshi ambalo Askari wake hawatiliwi Mashaka kama hawana Uraia kamili wa Israel 4. Israel...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel IDF laanzisha mashambuluzi ya nguvu nchini Lebanon asubuhi, hofu yatanda kwa magaidi ya Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa za muda mrefu uliopita ni kuwa Jeshi la Israel IDF limeanza kuitembezea kichapo Lebanon kujibu mapigo dhidi ya shambulizi la magaidi ya Hezbollah. Taarifa kamili hapo chini. Mungu ibariki na kuilinda Israel dhidi ya magaidi yote Duniani ================= IDF...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel hawana cha kutuambia kuhusu Hizbullah

    Ni wazi kuwa kitisho cha kupigana na Hizbullah ana kwa ana upande wa Israel wamekiona na wameamua waufyate tu. Inavyoonekana Hizbullah hawajafikiria kwamba vita bado havijaanza rasmi na ndio maana wanarusha makombora ya katyusha mpaka 200 kwa siku ambayo yanapiga kambi za jeshi la Israel...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Dada wa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas Ismail Haniyeh auawa na Jeshi la Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Dada wa Kiongozi Mkuu wa magaidi ya Hamas ameuawa na shambulizi hatari lililofanywa na Jeshi la Israel kuamkia usiku huu Taarifa kamili hapo chini Mungu ibariki Israel ===== Hamas confirms Haniyeh’s sister killed in overnight strike in Gaza In a statement, the...
  14. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Israel’s army says it killed a Hamas weapons expert

    Israel’s army says it killed a Hamas weapons expert The Israeli army claims it killed Muhammad Salah, who was allegedly involved in weapons development and production for Hamas, in an air attack overnight. The army said on X that Salah also commanded several Hamas squads that produced weapons...
  15. Sitaki kuamini

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Ukanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli. Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji mapigano yaliyoheshimishwa kwa ujumla tangu kumalizika kwa vita vya siku tano mwezi Mei. Tawi la...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kombora kutoka Jeshi la Israel lasambaratisha gari kikoneta 49 mpakani mwa Lebanon

    Wadau hamjamboni nyote? Gaidi Mkuu na Kiongozi wa Hamas aendaye kwa jina la AYMAN GHATMA ameuawa kwenye shambulizi la kombora kutokea kwenye ndege hatari za Jeshi la Israel. Alihusika kusambaza silaha Kwa Hamas na magaidi wenzie waliopo Lebanon Mungu ibariki Israel Senior member of Hamas...
  17. Mwalimu Adolph Longino

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa jeshi la Israel: Hamas ni 'wazo' ambalo haliwezi 'kubomolewa'

    Msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagari, anaonekana kutilia shaka lengo kuu la vita vya Israel vya Gaza baada ya kupendekeza kuwa Hamas ni 'wazo' ambalo haliwezi 'kubomolewa.' Chanzo: Al Jazeera The IDF signaled its agreement, saying it was acting to achieve Israel's war goals "tirelessly"...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Majenerali wakuu wa Jeshi la Israel wameidhinisha mpango ya vita vya kuishambulia vya Lebanon

    Breaking: Majenerali wakuu wa Jeshi la Israel wameidhinisha mpango ya vita vya kuishambulia vya Lebanon Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha huko middle east. Mayahudi wamechoka na uchokozi wa magaidi wa Hezbollah na dasa wameamua kujibu mapigo Majenerali wa ngazi za juu kabisa wa Jeshi la Israel...
  19. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Israel wana jeshi dhaifu sana miezi 9 wameokoa mateka wanne tu

    Linajifanya taifa lenye nguvu kumbe hamna kitu, Miezi 9 ya vita sasa wameshindwa kung'amua mateka wako wapi...Miezi 9 wameokoa mateka wanne kwa maana hyo itawachukua miaka 22 kuwaokoa mateka wengine waliobaki. Tokea siku zote hizo ni jana wameokoa mateka wanne tu tena kwa msaada wa Delta force...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel laanza kukumbwa na ukata wa askari mfano yaliyoikuta Ukraine. Ndio sababu wanashambulia na kuhama maeneo. Askari wote 15000 wametumika

    Wakati siri imefichuka kwamba pendekezo la kusimamisha vita limetoka Israel. Vile vile wafuatiliaji wa vita vya Gaza wametoa takwimu za kuonesha jeshi la nchi hiyo kwa sasa limechoka na lina upungufu mkubwa wa askari. Kwa mujibu wa mtandao huo wa ufuatiliaji vita imeelezwa kuwa askari wote...
Back
Top Bottom