jesca magufuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Jesca Magufuli: Hayati Magufuli hakuwahi kuhudhuria harusi za watoto wake, aliacha harusi ya kaka akaenda kuangalia mechi ya Simba Vs Yanga

    Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca amesema kuwa Mzee wake alikuwa si mtu wa kupenda sherehe kabisa jambo lililopelekea asihudhurie harusi hata ya mwanaye mmoja. Anasema hawakumshangaa kwani hata harusi yangu haikuwa na sherehe kabisa, walitoka kanisani wakaenda kunywa soda, wakarudi nyumbani Mama...
  2. M

    Chato: Jesca Magufuli hana ushawishi. Maandamano yamejaa greenguard wa CCM wenye njaa

    Watu wapo busy stand ya zamani wanapiga soga kwenye vijiwe vya kahawa na kile kijiwe maarufu cha mafundi viatu. Hawana habari na maandamano ya Jesca na CCM iliyojaa greenguard waliovaa buti zilizopauka Kwa ujumla hana ushawaishi na hawezi kuisaidia CCM
  3. Nyankurungu2020

    Watanganyika wana akili sana. Wamemkataa Jesca Magufuli baada ya kutumiwa na mafisadi wa CCM kama chambo

    CCM mtandao ni wajinga na hawana akili za kuweza kuwadanganya Watanganyika. Walidhani Jesca Magufuli atakuwa bait ili wakubalike kwa Watanganyika. Yuko wapi Humphrey Polepole?
  4. Dalton elijah

    SI KWELI Jesca Magufuli sina amani, nawindwa mpaka Nyumbani

    Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook likiwa na ujumbe wenye nukuu inayosema “ Jesca Magufuli sina amani nawindwa mpaka Nyumbani”je ni upi ukweli wa chapisho hili
  5. Nyankurungu2020

    Tatizo lilianza pale alipojidanganya kuwa Dotto Biteko na Jesca Magufuli watamsaidia kukubalika kanda ya Ziwa Victoria

    Naweza kusema yalikuwa mahesabu ya hovyo japokuwa walidhania yataisadia CCM. Eneo pekee hapa nchini ambalo huwa linatoa mustakabari wa taifa letu ni kanda ya Ziwa Victoria hususani kwenye uchaguzi. Mwaka 2005 Jakaya alikuwa anapigwa vita na watu wa maeneo ya kanda ambayo naiweka kapuni...
  6. L

    PostGE2025 Picha ya Siku: Ridhiwani Kikwete pamoja na Jesca Magufuli katika utulivu mkubwa Bungeni

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ndio Picha ya Siku kutoka Bungeni ikiwaonyesha Viongozi wetu na watumishi wetu Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete pamoja na Mheshimiwa Jesca Magufuli vijana wetu wachapakazi,wacha Mungu,wapole wanyenyekevu,wasio na Makuu wala majivuno wala kiburi wala dharau kwa mtu...
  7. Richard

    Kwa kulinda “legacy” ya baba yako na heshima ya familia, Jesca Magufuli jifikirie upya kuhusu kujihusisha na CCM

    Jesca Magufuli ulifanya mahojiano na Millard Ayo na katika mahojiano hayo ulikiri kwamba familia nzima ya hayati John Magufuli haikufahamu alipo hadi siku ilipotangazwa na raisi Samia kwamba John Magufuli amefariki. Baadae tumeona na kusikia kwamba Jesca Magufuli umepitishwa kugombea nafasi za...
  8. sonofobia

    Jesca Magufuli ni mkomavu wa kisiasa au msaliti kwa baba yake?

    Mengi yamesemwa kuhusu kifo cha Hayati Magufuli. Watu wake aliofanya nao kazi kwa ukaribu wanasema Magufuli ameuwawa na kundi linaloitwa wanamtandao. Ukianza kulichakata kundi ili unakuwa members wake ndio wanaoratibu kila kitu kwa sasa kwenye CCM. Na kuna yule asemwi lakini ndio alikuwa...
  9. T

    Jesca Magufuli tambua shangwe na kushangiliwa sana unakopata kila usimamapo, sio kwamba ni wewe, bali ni sababu ya Legacy kubwa aliyoacha baba yako

    Jesca Popote utaposimama na ukaona watu wamekushangalia sana, sababu ni Legacy aliyoacha JPM Usije kulewa kesho ukaja kuwadharau hawa maskini, ukipata ridhaa simamia kile baba ako alikisimamia katika uhai wake Ni hayo tu
  10. Area 56

    GE2025 Jesca Magufuli awataka Wananchi wa Isaka kuendelea kuiamini CCM chini ya uongozi wa Rais Samia

    Mitano tena kwa Jesca Magufuli =============== Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameendelea kufanya mikutano yake ya kampeni ambapo leo Alhamisi Septemba 4, 2025 ameanza katika eneo la Isaka katika Jimbo la...
  11. Just Pray

    GE2025 Jesca Magufuli achaguliwa katika kura za maoni ubunge wa viti maalum

    Jesca John Magufuli amechaguliwa na wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mbunge wa viti maalum kupitia kundi la vijana kutoka Tanzania Bara. Katika matokeo yaliyotangazwa leo Agosti 2 aliyeshika nafasi ya kwanza Damas Kamani alipata kura 409, Jesca...
  12. L

    Jesca Magufuli Atakata Kwa kushika nafasi ya Pili Nyuma ya Ng'wasi ,huku Halima Bulembo Aking'ara nafasi ya tatu Ubunge Viti Maalumu vijana Bara.

    Ndugu zangu Watanzania, Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Ameibuka kidedea na kutakata katika Kuwania ubunge wa viti maalumu Tanzania Bara kundi la vijana kwa kushika nafasi ya pili Nyuma ya Mwanadada machachari Ng'Wasi Kamani aliyeshika nafasi...
  13. Just Pray

    GE2025 Jesca Magufuli: Nitakuwa sauti ya vijana na kuwatetea

    Mgombea Ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la Vijana, Jesca Magufuli (29), ameomba kura mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, akiwani nafasi mojawapo kati ya sita zinazogombewa upande wa Tanzania Bara. Jesca ni msomi mwenye Shahada ya...
  14. R

    GE2025 Jesca Magufuli Mgombea Ubunge Viti Maalum Kundi la Vijana Geita akiomba kura kwa wajumbe

    Mgombea wa Nafasi ya Viti Vya UBUNGE Viti Maalumu CCM Kupitia Vijana tokea Mkoani Geita, Jesca John Magufuli akijitambulisha Mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa UVCCM Leo Dodoma
  15. Benson Mramba

    Hivi ile interview ya Jesca Magufuli na Millard Ayo itaendelea lini?

    Millard Ayo alisema interview ile ameigawa katika sehemu 4 ambazo zitatujia kwa awamu. Sijaona awamu nyingine yoyote tangu ile awamu ya kwanza itoke. Kulikoni? https://youtu.be/SsJYpX5saMM?si=yubCESsoyvMKCJxo
  16. W

    GE2025 Jesca Magufuli achukua fomu ubunge viti maalum

    Jesca Magufuli ambaye ni Mtoto wa Rais wa awamu ya tano Hayati Dr. John Pombe Magufuli, leo June 28 2025 amechukua rasmi fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa. Jesca ni Binti ambaye amejipambanua kama sauti ya matumaini kwa Vijana na...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 Jesca Magufuli kugombea Ubunge jimbo la Chato?

    Wakuu! Mtoto wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Jesca Magufuli anatajwa kuwa ni Miongoni mwa wanaotaka kugombea Ubunge kwenye Jimbo la Chato, Geita.
  18. mdukuzi

    Jesca Magufuli ametengenezewa jimbo la Katoro?

    Kuna mwaka Hussein Bashe na Kigwangala nusura wauane wakigombea jimbo la Nzega. Tume ya uchaguzi ikaamua ugomvi kidiplomasia,jimbo likagawanywa,Nzega mjini,Nzega vijijini,wilaya ikawa na majimbo matatu ukijumlisha na Bukene Kuna mtu anaitwa Deus mkuu wa wilaya Tabora mzaliwa wa Chato,mfumo...
  19. F

    PreGE2025 Jesca Magufuli anajipanga kugombea ubunge viti maalumu Geita au jimbo la Chato?

    Huyu binti nadhani amehojiwa kimkakati na Milard Ayo. Lengo nadhani ni kuvuma kuelekea uchaguzi Mkuu na hatimaye kutia nia kwenye ubunge. Je ni viti maalumu mkoa wa Geita au mkoa mwingine? Je ni jimboni Chato?
  20. funaku

    Je Jesca Magufuli ni nani?

    Tumeona vipande vya Mahojiano kati ya mwandishi Millard Ayo na Mtoto wa aliyewahi kuwa kiongozi Mkuu nchini. Jambo hili ni la kipekee na kihistoria nchini. Humu jamvini na mtandaoni tuliwahi kumtaja au kumjadili Jesca Magufuli wakati wa uhai wa baba yake. Yapo tuliyozusha au kuyasema bila...
Back
Top Bottom