jenga

Jenga is a game of physical skill created by British board game designer and author Leslie Scott, and currently marketed by Hasbro. Players take turns removing one block at a time from a tower constructed of 54 blocks. Each block removed is then placed on top of the tower, creating a progressively more unstable structure.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Adam Malima: Kuna mji mkuu wa mkoa alitaka kujenga stendi, mwenyekiti wa chama akasema jenga utuone, tutamwambia Waziri Mkuu unatukorofisha

    Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Adam Kighoma Ali Malima akiwakilisha maoni kwa niaba ya Wakuu wa Mikoa nchini katika mkutano wa MKUBI II, amesema kuwa kuna mkuu wa mkoa mmoja alitaka kujenga Stand, lakini akaja mwenyekiti wa Chama ambaye alizuia mradi huo na kudai kuwa atamwambia waziri mkuu kuwa...
  2. Analogia Malenga

    Nunua gari kali, jenga ghorofa

    Hayo ni maneno ya mwanangu, akitaka ninunue gari kali, means hajaridhika na nilililonalo. Matokeo ya kidato cha pili yametoka na amefaulu kidogo nikaona nimtembeze mjini kuangalia vitu mbali mbali. Mtoto wangu akataka tuende Mlimani City, kama mnavyojua jana pale Mlimani kulikuwa na watu wazito...
  3. Dalali wa Mjini

    Vunja Jenga Ghorofa

    Nyumba inauzwa Magomeni kagera opposite kituo cha mafuta cha oilcom. Title Deed Smq 400 Milion 450 Hakuna mgogoro wowote. 0754693556 nipigie simu ukihitaji kuiona.
  4. The Burning Spear

    Jenga utaratibu wa kutembelea Wagonjwa japo mara moja kwa mwezi

    GT Tunaishi hapa duniani ila.kuna baadhi ya maeneo ni hapa hapa duniani ila watu huwa katika ulimwengu tofauti kabisa hasa wagonjwa hospital na majumbani. Ukifika hospital kuona wenzako wanavyotaabika na magonjwa utapata somo, ukiwajali na kuwasidia utapata utulivu wa moyo kwa kiasi fulani...
  5. A

    Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni

    Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni. Nisaidieni mawazo wakuu
  6. Kicheche mkali

    JENGA KWA UBORA NA UHAKIKA

    🧱 JENGA KWA UBORA NA UHAKIKA! 🛠️ Unahitaji fundi wa ujenzi mwenye uzoefu na ubunifu wa kisasa? 📐 Ramani ✔️ 🏠 Ujenzi wa nyumba ✔️ 💦 Mashimo ya choo na septic tank ✔️ 🧱 Plasta, tiles, rangi, roofing ✔️ 📏 Kazi safi na kwa wakati! 📍Tupo Temeke - Dar es Salaam 📞 Piga/Sms: 0789 005 562 | 0719 205...
  7. bro alex

    Jenga hoteli sambamba na uwanja wa mpira( pitch )tu, Utakuja kunishukiru

    Nimefatilia michuano ya cecafa inayo ENDELEA karatu nimefurahi SANA. Lakini nikajiuliza huu uwanja MBONA UKO VIZURI nani mmiliki wake ILI kama atapata NAFASI ya kunisikiliza tunaweza peana USHAURI. Tetesi Zina dai ni kijana TU SI mzee Wala bilionea mkubwa nchini nikashtuka. Wengine wakadai ni...
  8. Right Marker

    Kama unafanya kazi ndani ya nchi yako, nyumba yako ya kwanza jenga huko unakofanyia kazi

    Kama unataka kujenga (nyumba yako) nyumbani ulikozaliwa tofauti na unapofanya kazi kwa kutegemea usimamizi wa ndugu zako hakikisha una moyo wa uvumilivu. Kumpa ndugu yako cheo cha usimamizi wa hela za ujenzi wa nyumba yako ni sawa na kumkabidhi mkeo/mumeo kwa Mngoni azunguke nae kwenye semina...
  9. elite wastes

    Kataa mashimo ya zamani ya choo

    Mifumo ya Zamani ya Mashimo ❌ Kataa mifumo ya zamani ya mashimo kwa sababu itakugharimu mara mbili; mara ya kwanza katika ujenzi na tena katika matumizi (uondoaji taka). Pia, inachukua nafasi kubwa ambayo ungeweza kuitumia kwa kitu kingine chenye tija. Hujaa na kutoa harufu mbaya, inakusumbua...
  10. LIKUD

    Mwanaume jenga tabia ya kutokusamehe makosa ya mwanamke utakuja kunishukuru Sana

    Mwanamke anapokuja kwenye mahusiano na wewe huwa anakuja akiwa hana tabia. Tabia atazikuta kwako. Wewe ndo utakae mfanya awe anakuomba hela ya nauli kila ukimuita magetoni na wewe ndio utakae mfanya awe anakuja kwa nauli yake mwenyewe. Wewe ndo utakae mfanya akuone mkoloni. Na wewe ndo utakae...
  11. Jack Daniel

    Ewe,mjasiriamali jenga uhusiano mzuri na wateja wako.

    Salaam jamiiforum Biashara ndiyo mfumo wa maisha tangu enzi na enzi,watu wananunua na kuuziana bidhaa, Wengi nadhani tunajua habari za Trans Saharan trade,bater trade n.k. Leo tuangazie procedures za mfanyabiashara mdogo au mjasiriamali wanao miliki biashara chini ya milioni hamsini hadi...
  12. Nyumba Nafuuu

    List y Ramani z Nyumba Zaidi y 450 Unazoweza Jenga TZ na Makadirio Gharama Yake (Nafuu, Kawaida, Bungalow, Ghorofa, Pangisha) Tanzania, Kenya, Uganda

    List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja kati ujenzi wako Piga/WhatsApp: +255-657-685-268 Siwezi Weka Details Zote hapa za nyumba 450 na...
  13. H

    Jenga Ndoto au Jenga Mahusiano: Chagua njia yako

    Kwa wadogo zangu wote ambao bado mnapambania ndoto zetu. Kama hauwezi kuwa single kwa miaka kadhaa ya kujitafuta basi uamuzi wa mwisho kabisa kuufanya angalao jitahidi kuwa na mwanamke mmoja tu(ingawa bado itakugharimu) Mahusiano ni gharama sana kwa mwanaume, hasa katika kizazi hiki ambacho...
  14. Natafuta Ajira

    Jenga ndoto au jenga mahusiano. Unatakiwa kuchagua kimoja

    Vijana wenzangu wote ambao bado tunapambania ndoto zetu. Kama hauwezi kuwa single kwa miaka kadhaa ya kujitafuta basi uamuzi wa mwisho kabisa kuufanya angalao jitahidi kuwa na mwanamke mmoja tu(ingawa bado itakugharimu) Mahusiano ni gharama sana kwa mwanaume, hasa katika kizazi hiki ambacho...
  15. ERTUGRUL BEY

    Jenga tabia ya kutambua mchango na juhudi za unaowaongoza au kuwasimamia

    KIpindi fulani niliwahi kufanya kazi na wahindi ikiwa ndio ajira yangu ya mwanzo kabisa baada ya kumaliza kidato cha sita,nikiwa nasubiri matokeo nikapata hiyo kazi katika kampuni ya ujezi Hawa jamaa kwa kawaida huwa hawana kawaida ya kukupongeza hata ufanye kazi vizur kiasi gani,wao ni lawama...
  16. robbyr

    Mwalimu jenga mahusiano bora na mwanafunzi wako

    Image Source: Pinterest Mtu mmoja aliwahi kusema kuwa, "Walimu wanaotanguliza uhusiano sio tu kuwa na wanafunzi kwa mwaka mmoja. Wana wanafunzi wanaowaona kama mwalimu wao wa Maisha" Mateso tuliyopitia kwenye elimu yetu si lazima kizazi hiki kipitie. Mateso yaliyofanya wengi kutokujiamini...
  17. robbyr

    Mwalimu jenga Uhusiano mzuri na wazazi ili kulinda hisia za mtoto shuleni na nyumbani

    Image source: Pinterest Kumekuwa na tatizo la wazazi kulaumiana katika kusimamia maendeleo ya mtoto shuleni. Hivyo kurudisha umoja ili kufanikiwa kumjenga mtoto Na wakati mwingine mzazi anaingia msongo wa mawazo kutokana na taarifa mbaya za mtoto kutoka kwa mwalimu. Mwandishi wa kitabu cha...
  18. stabilityman

    Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

    Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi ila zile za hidden roof ni hatari kama ukipata fundi mbaya hizi hakuna nondo nyingi. Kama unataka kuwasiliana na mimi 0743257669
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    Historia ya Sewa Haji Paroo (1851-1897), Muasisi wa Hospitali ya Muhimbili

    Sewa Haji Paroo alijenga jengo la kutoa huduma za afya kwa watu mbalimbali. Picha na Charles Kayoka. =================== Sewa Haji, soma historia ya mtu alietukuka. Ndie alietajwa katika moja ya wodi ama majengo ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili... Inasadikiwa Hospitali ya Muhimbili ndie...
  20. sky soldier

    Jenga kwako, usiridhike na vyumba / apartment za kupanga! ukifariki msiba utaombolezwa kwenye apartment? watoto wataishi wapi kodi ya mwezi ikiisha?

    offcourse ni vizuri kijana unamkuta kapanga apartment yake ama self contained, ana usafiri wake, biashara ama kazi inamlipa fresh, ana mke na watoto wawili tayari, n. k lakini kipengere kinakuwa kwamba sehemu anayoishi ni ya malipo kwa kila mwezi bado hana pake. Jenga kwako hata kama ni nyumba...
Back
Top Bottom