jasmine

Jasmine (botanical name: Jasminum; YAS-mih-nəm) is a genus of shrubs and vines in the olive family of Oleaceae.: 193  It contains around 200 species native to tropical and warm temperate regions of Eurasia, Africa, and Oceania.: 194  Jasmines are widely cultivated for the characteristic fragrance of their flowers. Additionally a number of unrelated species of plants or flowers contain the word "jasmine" in their common names (see Other plants called "jasmine").

View More On Wikipedia.org
  1. Damaso

    Sakata la mzize na wakala wake Jasmine

    Katika dunia ya sasa ambapo teknolojia imeshika hatamu, heshima na unyenyekevu vimebaki kuwa silaha za thamani kubwa kuliko hata mali au umaarufu. Watu duniani wapo na file lako ukijichanganya kinakuramba mapema sana.
  2. ngara23

    Jasmine Razack: Yanga wana Roho mbaya, wamegoma kumuuza Mzize, wanataka dola Million moja

    Manager na msimamizi wa mchezaji Clement Mzize amesema kuwa Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mzize akatafute malisho mzuri mahala pengine. Amehoji kuwa club ya Al Masry ilikuja na dollar 600k Yanga wakagoma kuwa wanahitaji dollar 1m, akaendelea kusema kuwa Yanga kama walimuuza Mayele...
  3. Mributz

    Naitwa Jasmine, natafuta kazi

    Naitwa jasmine saidi Maisha yangu ni magumu Nahitaji kazi elimu yangu kidato cha nne Miaka 29 Naombeni msaada. Mawasiliano +255 793 306 516
  4. A

    Misaada ndugu zangu

    Msaada ndugu zangu; Mdogo wangu amesahau username na password aliyotumia katika ku apply chuo naomba mtusaidie ushauri ndugu zangu(chuo ni MUST)
Back
Top Bottom