Jangwani is an administrative ward in the Ilala district of the Dar es Salaam city in Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 15,722.
Wakuu
Leo nataka tuweke pembeni hadithi za "Abunuwasi" na tutumie akili kidogo. Baada ya kufanya utafiti wa kina, nimegundua kuwa Uislamu haukuandikwa na Muumba wa Ulimwengu (Universe), bali uliandikwa na watu wa kijijini kule Uarabuni ambao walikuwa hawajui hata kilomita 2,000 mbele yao kuna...
Habari wadau, kuna beach ambayo iko kuanzia Kawe hadi Jangwani, maeneo hayo ni machafu sana, je Halmashauri husika hazioni ni wakati wafanye usafi?
Kama wameshindwa kwanini wasizibinafsishe ili ziwe safi?
Au kwanini ile Service Levy wasiwekeze kiasi kwenye usafi wa hizi Beach haswa nyakati za...
Wanasema ni ngumu sana kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa.
Nilishatoa angalizo mara nyingi, hakuna uwanja wa mpira utakaokwenda kujengwa pale Jangwani.
Hizo habari za hati ni siasa tu. Ina maana uwanja wa Kaunda haukuwa na hati?
Tutarudi katika uzi huu mwaka 2030 hakutakuwa na uwanja...
Ukistaajabu ya musa, utayaona ya firauni!..
hii hapa chini ni taarifa rasmi ya jeshi la police juu ya uchunguzi wa tukio la mtu kukutwa akiwa anaelea ndani ya kiroba akiwa amefariki katika mto msimbazi maeneo ya jangwani...
Polisi wanadai wameambiwa na ndugu wa marehemu kuwa marehemu alikuwa...
Kuna taarifa inasambazwa kwenye mitandao ya Kijamii yenye kichwa cha habari kinachosomeka "ABDUL NA KUNDI LAKE WAMTEKA MWANDISHI WA HABARI WAMNYONGA NA KUMTUPA MTO JANGWANI".
Maandishi hayo yanaonekana kama ilivyo hapo kwenye kiambatisho na pia kinaonekana kitu kinachoelea.
Jeshi la Polisi...
Zamani za kale za Bibilia wana wa Israel walimwambia Musa awavushe bahari ya Shamu watokane na mateso ya farao walipovuka wakakutana na jangwa waka zingua wakisema bora wangekufa mikononi mwa Pharao wanadamu hawana jema .
Lisu alikuwa ulaya kwenye kambi za wakimbizi baada ya kukoswa kifo na...
Taharuki imezuka maeneo ya Jangwani, Dar es Salaam baada ya mwili wa Mtu kupatikana ukiwa umefungwa kwenye kiroba ukiwa unaelea katika mtaro.
===============
Mwili wa mtu mmoja umeonekana asubuhi ukielea majini kwenye mtaro uliopo Jangwani, jirani na kilipokuwa kituo cha mabasi ya mwendokasi...
1. Kuna wakati nawaza hivi Tanganyika ingekua eneo kama ilipo Dubai hali ingekuaje?
2. Miaka zaidi ya 60 bado tunaomba misaada wa kutahiri (kuondoa govi) vijana na ARV toka kwa Watu wa-Marekani na bado tunachekelea.
NB: Bado tunavaa chupi za mitumba, kuagiza viberiti na vijiti vya kuchomea...
Huu ujenzi unaoendelea hapo je hawataki kujifunza makosa waliyoyafanya hapo mwanzo?JWANGWANI Kila mwaka mafuriko na ilipendekezwa kujengwe daraja la juu kutokea magomeni mapipa Hadi jeshi la zimamoto lakini wamepuuza Kwa kujenga barabara ya chini ambayo Kila mwaka inazidiwa na mafuriko.
Au Kwa...
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imeanza rasmi ujenzi wa daraja jipya la kisasa katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kudumu wa kuondoa changamoto ya mafuriko ya mara kwa mara yanayoathiri jiji hilo.
Daraja hilo litakuwa na urefu wa...
Mnajitia sifa kusajili wachezaji kumbe huku nyuma mnadhulumu akina Prince, ni basi tu timu yetu ya Msimbazi haina viongozi ndio maana utopolo wanatamba.
Mods Uzi huu usiunganishwe popote unajitegemea.
Kitabu Cha mwanzo sura ya 40 ndo mwanzo halisi wa Wana wa Israel kuingia misri na kuwa watumwa rasmi
Kitabu Cha kutoka sura ya 3 Mungu anajitokeza na kumuamru Musa aende akawakomboe Wana wa Israel kuwatoa Utumwani.
Maandiko yanasema....
Kutoka...
Mimi kama mzee wa za ndaaani, nimepata taarifa kuwa kikosi cha Simba kikiwasili leo wana mipango ya kwenda moja kwa moja makao makuu ya Yanga pale Jangwani.
Wachezaji wa Simba wameshaandaliwa kimbinu na kisaikolojia kuwa iwapo itatokea kina Aziz Ki na Pacome wapo viunga vya hapo bondeni na kama...
Wazee wa drama na senema zamani walikuwa wanagawana supu Kila baada ya mechi wakishinda. Siku hizi mbona kimya?
Kuna jamaa humu anajiita Labani og na Mwenzake ngara23 walikuwa wanakwenda na hotpots kabisa!
Injinia wafanyie wepesi watu wako angalau mkiifunga Azam wanywe supu zile ambazo semaji...
Sina uhakika hapo zamani za kale Palestina waliishi wanyama.
Kiasili lile eneo ni jangwa hadi leo yaani ni kame ikiwa pamoja na Israeli.
Maandiko yanasema.
Walipofika huko kwenye mashamba ya mizabibu, mwanasimba mmoja akatokea akamngurumia Samsoni. Basi, roho ya Mwenyezi-Mungu ikamwingia...
Wazee na wanachama wa klabu ya Yanga leo wakiwa Makao Makuu ya klabu ya Yanga Jangwani wametoa msimamo wao juu ya mchezo wa Dabi dhidi ya Simba ulioahirishwa mnamo tarehe 8/3/2025.
Pia, Soma
Bodi ya Ligi: Kama Yanga wameenda CAS ni kichekesho, busara itumike sio kanuni
Bodi ya Ligi Kuu...
Uwajibikaji na kuwajibishana ni moja ya nguzo kubwa sana ya maendeleo.
Huko Serbia aliyekuwa Waziri wa Ujenzi wakati wa Ujenzi wa Kituo cha Treni amekamatwa na kushtakiwa baada ya paa la kituo hicho kuanguka.
Tanzania tunakumbuka aliyekuwa Waziri wa Ujenzi wakati wa Ujenzi wa kituo cha Mabasi...
Eng Hersi na boss wake GSM wakae chini wayamalize na mwanachama kindakindaki wa Yanga,maarufu kama mzee Magoma. Mzee huyu alisikika katika vyombo vya habari akitoa kauli ya kuwa yanga ina slow pacha na haya ni matokeo ya Kurujuan yake aliyoisoma kwa kila ambaye ana mpango wa kuidhulumu Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.