jangwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Antaktika ndio Jangwa kubwa zaidi kuliko Sahara

    Jangwa linatambulika kwa sifa zake za kuwa na unyevu wa chini sana (upungufu wa mvua) badala ya kuwa na hali ya joto au baridi. kigezo kikubwa cha utambuzi wa jangwa ni kiasi cha mvua kinachopokea kwa mwaka. Sababu Antaktika inapokea wastani wa chini ya 200 mm (8 inches) za mvua kwa mwaka...
  2. Mzungu arekodiwa akieleza jinsi wamejinga kuendelea kuididimiza Afrika

    Inasikitisha ukisikiliza video hii mzungu akieleza namna ya kuididimiza Afrika Kusini mwa jangwa la sahara.
  3. M

    Mikoa mingi Tanzania ni jangwa

    Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga. Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
  4. Prof. Tibaijuka: Mimi nilikataa Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi kujengwa Jangwani, Sikuwa na Madaraka ya Kuzuia

    Prof. Anna Tibaijuka amesema wakati akiwa Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, hakutoa Kibali cha Ujenzi wa Kituo cha Mabasi Yaendayo Kasi katika eneo hilo lakini ulifanyika kwa maamuzi yasiyo sahihi Tibaijuka amesema "Jangwani haina kibali changu kuwa pale. Mimi nilikataa...
  5. Je, wajua jangwa kubwa zaidi Duniani?

    Tunapofikiria jangwa, kwa kawaida huwa tunapiga picha maeneo yenye joto na mchanga kama Sahara. Na ni mara nyingi watu huhusisha jangwa na mazingira ya joto, yenye mchanga na Jua kali lakini kiuhalisia jangwa hufafanuliwa na viwango vyao vya chini vya mvua. Kwa hivyo, jangwa ni sehemu ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…