jambo tv

James "Jambo" Bolton is a fictional character from the British Channel 4 soap opera Hollyoaks, played by Will Mellor. He first appeared as an original character in 1995, before leaving in 1998. In 2004, Mellor reprised his role briefly for a Christmas special episode.The word "Jambo" comes from a greeting in the Swahili language.

View More On Wikipedia.org
  1. Heparin

    Maoni ya Pascal Mayala kuhusu Mwigulu yawaamsha TCRA, Jambo TV yalimwa barua ya onyo kali, kuwa chini ya uangalizi kwa Miezi 6

    Anaandika Aloyce Nyanda: Pole mkurugunzi wa jambo Tv online ndugu John Marwa kuwa Makini zaidi huu ni mtego wa mwisho Taarifa nilizopata toka vyanzo vyangu leo tarehe 5 ni kwamba kamati ya muudhui ya TCRA imewapa ONYO KALI JAMBO TV, kwa mujibu wa Kanuni ya 21 (2) (3) (a) ya Kanuni za maudhui...
  2. Nipe Maji

    SI KWELI Ernest Mgawe amesema alitumwa na Heche na Mange kuratibu vurugu mwendokasi

  3. P

    Tetesi: Waandishi wa habari wa Jambo TV na Manara TV washikiliwa Arusha

    Kushikiliwa Kwa waandishi wa habari wa JAMBO TV na Manara TV Jijini Arusha Arusha* Nimepata taarifa usiku huu za kushikiliwa Kwa Mwandishi wa habari Baraka Lucas wa Jambo TV Arusha na Ezekiel wa Manara TV Arusha Taarifa za awali zinasema walikamatwa jioni hii Jijini Arusha na hadi...
  4. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Jambo TV wamechapisha taarifa kuwa John Heche amesema Gwajima Lengo lake ni urais kupitia CHADEMA

  5. McLaren

    Ni aibu kwa Jambo TV kupost video kama hii. Au ndo tayari washaingia kwenye payroll?

    Wakuu, Mmeona hii video ambayo Jambo wamepost? Kwa kweli kuharibu sifa ambayo umejitengenezea kwa wananchi ni dakika moja tu. Wananchi wamepiga spana kwenye comments hadi wameamua kuifuta Ni wazi kuwa kipindi cha kampeni kwa mujibu wa tume bado hakijaanza. Kwanini Jambo wapost video kama hii...
  6. McLaren

    Masoud Kipanya, CZA na Fetty wa Clouds pamoja na CEO wa Jambo TV wadaiwa kuzuiwa kufanya shughuli zozote za kihabari

    Wakuu, Yaani kwenye hii nchi kila mtu ATAFIKIWA kama sio leo ni kesho au mwaka kesho lakini udhalimu ukiwa unatokea alafu ukawa kimya na kuwa sehemu ya watawala kwa kukaa kimya, UTAFIKIWA TU. Hawa niliowataja hapo inaonekana wamefungiwa lakini hawataki kusema. Nasubiri kuona kesho kama...
  7. Cute Wife

    PreGE2025 Jambo TV kuweka tangazo la kuzuia content zao kutumika bila kupewa ruhusa na mmiliki; kuna kibunda kimetembea mpaka wanavimba kichwa?

    Wakuu, Kwakwlei sijawahi kuona hili likifanyika hasa ukizingatia ni chombo cha habari! Maana lengo la chombo cha habari ni kuhabarisha umma na kutaka taarifa zisambae kadri inavyowezekana. Hapo inakuwa inaongeza visibility ya chombo, na kadri watu wanavyoshea content yako mfano kwa youtube...
  8. Cute Wife

    PreGE2025 Global TV, Jambo TV, TBC, EATV na wengine wamepitishiwa vibunda kumchafua Lissu? Wapost habari kusambaza chuki dhidi yake

    Wakuu, Unapambana na mtu kama Lissu, si basi utumie akili hata kidogo isionekane ni muvi ya kutengeza? Yaani wote mnachukua habari ile ile, mtu yule yule na vichwa vinafanana:BearLaugh::BearLaugh: CCM ndio mmeishiwa kiasi hiki? Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  9. upupu255

    SI KWELI PreGE2025 Jambo TV wamechapisha taarifa ikisema 'Maria Sarungi aitelekeza CHADEMA na hayuko tayari kuichangia kutokana na mgawanyiko

    Wakuu nimekutana na hii taarifa mtandaoni kwenye magroup ya facebook. Je, ni ya kweli? === 𝗠𝗔𝗥𝗜𝗔 𝗦𝗔𝗥𝗨𝗡𝗚𝗜 𝗔𝗧𝗢𝗔 𝗧𝗔𝗠𝗞𝗢 𝗞𝗔𝗟𝗜 𝗖𝗛𝗔𝗗𝗘𝗠𝗔 Mwanaharakati Maria Sarungi ameweka wazi msimamo wake kuhusu CHADEMA, akieleza kuwa kwa hivi sasa hayupo tayari kukichangia chama hicho. Ameeleza kuwa sababu kuu...
  10. JOHNGERVAS

    Hongereni Jambo tv, ujasiri wenu umewalipa

    Takwimu za Video zao Mtandaoni za Jana na Leo za watu waliokuwa wanfuatilia uchaguzi chadema Kupitia JAMBO TV 🅴 TUNDU LISSU ANAZUNGUMZA MUDA HUU Kutazamwa: elfu 140Ilitiririshwa saa 2 zilizopita MOTO UMEWAKA MLIMANI CITY KURA ZA MBOWE NA LISSU ZIKIHESABIWA Kutazamwa: elfu 92Ilitiririshwa saa 8...
  11. BigTall

    LGE2024 John Marwa wa Jambo TV: Kwanini Dola imetia doa ushindi wa Serikali za Mitaa?

    Na; John Marwa Siku chache kabla ya siku ya uteuzi wa wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara wa chama kikuu cha upinzani nchini yaani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu alinukuliwa akisema kuwa chama hicho kinakabiliwa na changamoto ya...
  12. Mtoa Taarifa

    PreGE2025 TCRA yailima Barua Jambo TV kwa kurusha taarifa za Tundu Lissu na Kabendera kuhusu shutuma kwa Tigo na Vodacom

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia Kamati yake ya Maudhui imefungua mashitaka dhidi ya Jambo Online TV, ikidai kuwa kituo hicho cha habari kimekiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu Maudhui ya Mtandaoni za mwaka 2020, zilizofanyiwa marekebisho mwaka 2022. Hatua...
  13. Mkalukungone Mwamba

    Mwandishi wa Jambo TV afokewa vikali kisa kuliza swali tukio la kupigwa risasi Lissu

    Mwandishi wa Jambo TV amejikuta kwenye wakati mgumu alipokuwa akimuhoji Katibu Mkuu wa Chama cha DP Abdul Mluya, muda mfupi baada ya Mluya ambaye pia ni Mwenyekiti wa umoja wa vyama 13 vilivyotoa tamko la kupinga maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA kumaliza kuzungumza na wanahabari Septemba 17...
  14. BARD AI

    PreGE2025 Jambo TV yasema itarusha Live mkutano wa CHADEMA licha ya kupewa vitisho

    Vitisho vya aina yoyote ile na Lobbying yoyote ile kwenye Media kuelekea Press conference ya Mhe. Freeman Mbowe @freemanmbowetz havina nafasi kwenye Uhuru wa Habari. Kwani Freeman Mbowe hapaswi kupewa nafasi ya kusikika na Watanzania kupitia vyombo vya habari? Kama kurusha Matangazo ya Mkutano...
  15. Kamanda Asiyechoka

    PreGE2025 Waandishi wawili wa Jambo Tv wakamatwa na Polisi Mbeya akiwa kwenye majukumu yao ya kikazi

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia waandishi wa habari wa kituo chetu cha Jambo Tv Ramadhan Khamis na Fadhil Kirundwa jijini Mbeya wakiwa katika utekelezaji wa majukumu yao ya kitaaluma katika ofisi za CHADEMA kanda ya Nyasa. Pia soma: Kuelekea 2025 - Msajili apiga Marufuku...
  16. Escrowseal1

    Kwa waliosikiliza mwanzo mwisho utekaji aliofanyiwa Sativa kwenye Jambo TV ni episode gani imekuumiza kuliko zingine zote kwenye simulizi yake?

    1. Nilipoona mshikaji ana pingu nikajua ni polisi nilirelax nikajua niko mikono salama. Hii ni statement imeniuma sana sana Sativa alikuwa na trust kwa hili jeshi ambalo si ajabu lina kundi ambalo limeshavunja trust wanayostahili toka kwa watanzania. It is painful. Mwl Nyerere hakutuachia...
  17. S

    Taharuki: Jambo Tv Youtube Channel yafungiwa kwa muda usiojulikana

    TV ya Mtandaoni Jambo Tv imefungiwa na huwezi kuona tena video na matukio yote yaliyowekwa kwenye Youtube Channel ya Jambo Tv. Sababu za kufungiwa chombo hicho bado hazijulikani ila kuna tetesi zikiwahusisha mawaziri 4 wanaotuhumiwa kwa kashfa mbalimbali za ufisadi. Tupaze sauti watanzania wote...
Back
Top Bottom