Mimi ni mtu ambaye naona aibu sana kuomba msaada. Sijawahi kuzoea maisha ya kutegemea kwamba siku nikikwama nitampigia mtu simu aniokoe. Kwa namna nilivyojijenga, naona kuomba msaada ni hatua ya mwisho kabisa, na huwa najitahidi nisiifikie.
Kwa sababu hiyo, nimejifunza kuishi kwa mipango...