Jaji Mkuu, George Masaju ameyasema tarehe 04 Machi, 2026 mara baada ya zoezi la uapisho wa Mahakimu hao lililofanyika Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma.
Kama Jaji na hakimu wakiamua kesi kwa haki na haki imeonekana ikitendeka mbele ya jamii, kazi ya Jaji na hakimu itakuwa kazi kama kazi nyingine tu. Hakuna haja ya hofu kwa majaji.
Ujira mdogo hauathiri utoaji haki kwa majaji na mahakimu tu bali hata kwa wafanyakazi wa fani zote. Huwezi kuwa...
Jaji Mkuu George Mcheche Masaju akizungumza wakati Rais Samia Suluhu kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
JAJI MASAJU AKEMEA VITENDO VYA KUIKASHIFU MAHAKAMA, "NANI ANASEMA MAHAKAMA HAIKO HURU"
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju hii leo Disemba 05, 2025 ameonya kuwa tabia ya kuisema vibaya Mahakama kwa Umma kuwa haitendi haki wakati watu hao wakiwa wameshindwa kesi inalenga kuichafua Mahakama...
Nimeona imezuka tabia ya hovyo sana; wakishinda kesi wanasema mahakama iko huru na wanaisifia, lakini siku wakipoteza kesi wanasema mahakama haiko huru. Nani anasema mahakama haiko huru? Hii ni akili gani? Mnataka kushinda kesi kwa ku-blackmail mahakama? Hatutakubali.” Hayo ni maneno ya Jaji...
Mzee Masaju tangu amekuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, ameonyesha wazi apendezewi na baadhi ya mambo yanaendelea kwenye mahakama.
Amekuwa akiwapa ukweli watendaji wote wa mahakama. Safi sana na kila la kheri kwenye kazi zako
Licha wanaweza kujitokeza wanamtandao wakaanza kukuletea habari...
Wakuu,
Mafunzo ya Namna Bora ya Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi yaliyokuwa yakitolewa kwa Majaji, Naibu Wasajili na Mahakimu Wakazi Wafawidhi wa Mahakama za Hakimu Mkazi na za Wilaya nchini yamehitimishwa leo, huku Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. George Masaju akishauri kwamba Kanuni...
Jaji Mkuu wa Tanzania George Mcheche Masaju akifungua Mkutano wa Tisa wa Kamati ya Utatu (Tripartite Users Committee) kwenye ukumbi wa PSSSF TOWER - Mawasiliano jijini Dar es Salaam, leo 25 Agosti, 2025 amesema, "Kwa sasa, kuna Majaji wanahangaika, Mafao yao hawalipi, wanaleta na vikwazo ambavyo...
Jaji Mkuu wa Tanzania George Mcheche Masaju akifungua Mkutano wa Tisa wa Kamati ya Utatu (Tripartite Users Committee) kwenye ukumbi wa PSSSF TOWER - Mawasiliano jijini Dar es Salaam, leo 25 Agosti, 2025 amesema angependelea utaratibu wa Kikokotoo kwa Watumishi wa Serikali Kuu kirudi kama...
Wakuu,
Akizungumza jana Agosti 18 kwenye katika ufunguzi wa kikao kazi cha taasisi, zinazounda utatu Jaji Mkuu George Masaju ametaka mahakama kuwa na utaratibu wa kumaliza kesi zilizoko mahakamani mapema iwezekanavyo na kuacha kuahirisha ovyo bila sababu za msingi
"Haki sawa kwa wote mapema...
Endeleen kupiga makelele ya Wagombea wawe watatu, Mmoja au wawili ila ni Mheshimiwa Jaji Mkuu Masaju atakayemuapusha Mheshimiwa Dr SSH kuwa Rais wa JMT 2025-2030 baada ya ushindi mnono.
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
FaizaFoxy
Mpwayungu Village
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani Mheshimiwa George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania. Mheshimiwa Masaju anachukua nafasi ya Mheshimiwa Prof. Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu.
Uapisho wa Jaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.