israel

  1. Walioitenga Israel wanaendelea kudhoofika na wanayoiunga Mkono Israel wanaendelea Kustawi?

    Rais Trump: "Historia imetuonyesha kwamba wale walio na uhusiano na Israeli wamestawi, wakati wale ambao wamejitolea rasilimali zao kuangamiza Israeli wamedhoofika"
  2. Iran wazidi kuuana wakihofia Majasusi wa Israel ndani yao hali ni mbaya

    Hali ni tete mpaka sasa wameshauawa Watu 10 wakihofiwa ni Majasusi wa Israel Ndani Serikali ya Irani. kile kipigo kiliwaumiza sana Irani. Hawajaweza kukaa wakatulia mpaka sasa. Wanawaza na kuwazua. Tulisema lazima milio itasikika na kuchanganyikiwa. Haikuwa kipigo rahisi. Na kuchanganyikiwa...
  3. Hamas watakuwa Wapumbavu kama watakubali mpango wa Donald Trump kumaliza mgogoro wa Israel na Palestina

    Nimesoma huo mpango wa point 21 wa kuleta amani Palestina naona ni kama mtego kuwaachia mateka na kujisalimisha rasmi katika utawala wa kimabavu wa Israel. Eti Baraza la amani la mpito la Palestina litaongozwa na Trump na Tony Blair. Wapiganaji wa Hamas waweke silaha chini na kuwaachia mateka...
  4. Hispania yatishia kususia Kombe la Dunia la 2026 endapo Israel itaruhusiwa kushiriki kombe hilo

    Kutokana na msimamo wa kisiasa wa Hispania kuhusu mgogoro wa Gaza na shutuma za ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya Israel. Serikali ya Hispania, chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Pedro Sánchez, imesema kuwa inaweza kuondoa timu yake ya taifa kutoka kwenye mashindano ya Kombe la Dunia la 2026...
  5. A

    Israel wamechanganyikiwa

    https://youtube.com/shorts/BcPMdncuO2M?si=d_GrBtIPloZPcaqo Hivi atasubutu kumgusa China, nimebidi kucheka tu.
  6. Timu ya Baiskeli ya Israel imepigwa Marufuku Kushiriki kwenye Mashindano Italia

    Timu ya Israel-Premier Tech imetolewa mashindano ya Giro dell’Emilia yanayofanyika Bologna nchini Italia. Wabunge wa jiji la Bologna (mji unaoamalizikia mashindano hayo) ndio waliounga mkono uamuzi wa kuitoa timu hiyo.baana kupata shinikizo kutoka wananchi,wadau ,na vyama vya mchezo huo...
  7. M

    Kuwakwepa Israel ngumu sana maana ndio waliobuni kifaa hiki cha kupeleleza kinachowekwa kwenye computer nyingi duniani

    Kuwakwepa Israel ngumu sana. Ndio waliobuni kifaa kinachowekwa kwenye laptops na computer nyingi duniani kinachoweza kupeleleza na hakiwezi kutoka Hiki kifaa hata kinaweza kukuchunguza hata utumie VPN, upige window, uzime computer, n.k. Kampuni ya Intel ina maabara kubwa za utafiti na...
  8. A

    Israel Anasema Al Houthi Wanatakaa kuwavamia Kwa Ground War

    Israel anatetemeka huko anasema Al Houthi wana plan ya kuwavamia kwa vita vya chini. Wanaogopa kipigo kama cha 7th October, wanasema Al Houthi ni hatari sana wanatishia uwepo wa taifa la Israel. Sa swali vipi Israel anawaogopa wa Al Houthi na wako mbali nae, hawana mpaka nae lazima kisha ona...
  9. Waziri Mkuu wa Israel awapa chemsha bongo UN

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo amewapa Chemsha-Bongo baraza la Umoja wa Mataifa!!!!
  10. Hotuba ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu huko UNGA itaonyeshwa Mubashara Gaza!

    Ofisi ya Waziri Mkuu imeiagiza IDF kuweka vipaza sauti kote Gaza ili kurusha moja kwa moja hotuba ya Umoja wa Mataifa ya Waziri Mkuu Netanyahu kwa wakazi wa eneo hilo hapo say 10 jioni ya leo! Channel 12 inaripoti kuwa maafisa wa kijeshi wanadaiwa kuelezea wasiwasi wao, wakionya kuwa hatua...
  11. Jeshi la anga la Israel likishirikiana na wanamaji wa Jioni hii wameenda kuwasalimia Wahouth huko Yemen!!!

    Jeshi la anga la Israel likishirikiana na wanamaji jioni hii wameamua kwenda kuwasalimia wahouth huko Yemen, lengo lao kubwa ni kumuona kiongozi wao Mkuu Abd al-Malik al-Houthi. Taarifa Kamili tutazipata baada ya ndege-vita hizo kulejea nyumbani. Wahouth Wame Una ugomvi huo kutoka kwa...
  12. Ramaphosa azimiwa kipaza sauti baada ya kukosoa vikali Israel kuhusu vita Gaza

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amezimiwa kipaza sauti kwenye mkutano maalumu wa kujadili umuhimu wa kuanzishwa taifa huru la Palestina, baada ya kuelekeza mashambulizi dhidi ya Israel akidai inachofanya Gaza ni mauaji ya kimbari. Pia, alifananisha mateso ya Wapalestina wanayofanyiwa na...
  13. Canada, UK and Australia say they recognize a Palestinian state as part of efforts to pile pressure on Israel over Gaza

    Here’s what that recognition typically symbolizes: 1. Legitimacy of Palestinian Statehood It signals that these countries formally acknowledge Palestine as a state (not just as a “territory” or “authority”). This boosts the international legitimacy of Palestinian claims to sovereignty. 2...
  14. A

    Iran Inatisha Mpeni Pole Israel

    Iran wamekuja na technology mpya ya Missiles hukioni kichwa we utaishia kudaka target sio orignal hio hio Missile moja inaonyesha kama ina vichwa vingi hivyo Air defense zitakuwa zinafata hizo fake target kumbe kichwa orignal kina kwenda kwenye target...
  15. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu awalalamikia China, Qatar na Jamii ya Waislamu kuwa sababu ya Israel kutengwa

    Netanyahu says Israel 'in isolation', blaming Qatar, China and Muslims in the West Prime minister says Israel will be 'Athens and Super Sparta', as he admits it would need to develop its own arms after global embargoes Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu speaks to members of a...
  16. C

    Kumbe Israel na Marekani walifanya kazi safi

    Niaje niaje..........katika hali ya kushangaza kumbe jamaa walihiti target vizuri tu bila papara ..............maneno yalikuwa meeengi kumbe kitu kimewaramba
  17. VIDEO: Hezbollah yafanya parade ya wahanga wa tukio ya vilupuzi vya pagers ilioundwa na Israel

    BEEP.... BEEP.....🔥🔥
  18. Vijana wa itikadi kali wako obsessed sana with USA na Israel hadi wanasahau kile china inachowafanyia wenzao wa Uyghurs

    NO JEWS , NO NEWS NO US, NO CASE.
  19. A

    Hamas anavyowapelekea moto Israel

    Missiles zinashuka Ashkelon na Tela Aviv kama mvua. https://youtu.be/4QeJbAIIhxw?si=iuwG3z7yM8Y2Ewjz
  20. Askari wa Israel usiku huu wanaingia Gaza city na vifaru vyao

    IDF inafanya mashambulizi makubwa na makubwa zaidi huko Gaza kwa saa chache zilizopita. Vishindo vya makombola hayo yanasikika mpaka Israel kwa kweli Sasa hivi Gaza wanakipata kipondo cha kufa mtu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…