israel

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ukigeu geu wa Israel kuelekea makubaliano ya kusimamisha vita, kikwazo kwa Amani Gaza!

    1. Yamekuwapo mazungumzo kwa azimio thabiti la makubaliano ya kusimamisha vita linaloendelea kujadiliwa kwa takribani miezi 2 sasa. Pendekezo hili likiwekwa mezani na Marekani, Qatar na Egypt kwa pamoja mbele ya HAMAS na Israel, mahasimu; wafikie makubaliano sasa. HAMAS wayakataa mapumziko...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Israel imeuchukua mpaka wa Rafah unaounganisha Misri na Gaza, Mizigo na watu kuvushwa chini ya uangalizi na idhini ya Israel

    Kwa lugha nyepesi ni kwamba misaada, watu na vinginevyo haviwezi kuingia moja kwa moja Gaza mpakani Rafah bila ukaguzi na idhini ya Israel. Jeshi la Israel limechukua udhibiti wa mpaka wa Rafah na Misri. Jana usiku, kwa idhini ya Baraza la Vita, Netanyahu aliagiza ifanyike operesheni huko...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa Israel kukishikilia kituo cha mpaka cha Rafah ndio imekamilisha kampeni yake ya kutumia chakula kama silaha ya vita

    Alfajiri ya kuamkia leo jeshi la Israel kwa kutumia vifaru na mashambulizi ya anga wamefanikiwa kufikia kituo cha mpaka wa Gaza na Misri na kukishikilia kituo hicho kutokea upande wa Gaza. Mara baada ya kufanikiwa kukishika kituo hicho jeshi la Israel limezuia uingizwaji wa misaada ndani ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ripoti: Vita ya Israel na Hamas imeua Wapalestina 34,789 hadi sasa

    🚨 Israeli forces killed at least 54 more Palestinians and injured 96 others over last 24 hours in Gaza 💢 At least 34,789 Palestinians killed, mostly women and children, and 78,204 injured in Israeli onslaught on Gaza since Oct. 7 At least 34,789 Palestinians have so far been killed in...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Maridhiano kusimamisha vita, Israel yajikuta njia panda!

    1. Haipo shaka vita au mazungumzo ya maridhiano kama ilivyo siasa, nayo ni sayansi. 2. Izingatiwe sayansi siyo ya kila mtu, labda arts huko. Sayansi ya maridhiano, vita au siasa; huingii kichwa kichwa. 3. Tambo mbali mbali kwenye sayansi hii ndiyo kwao. Kisemwacho hadharani si lazima kuwa kile...
  6. JamiiForums Tanzania Hamas wameibamiza Israel kwenye kona baada ya kukubali kusitisha vita na kuachia mateka. Netanyahu alaumiwa na kila mtu

    Hamas imetoa tangazo rasmi la kukubali mapendekezo ya kusitisha vita na kuachia baadhi ya madai yao. Tangazo hilo limeleta furaha kubwa kwa watu wa Gaza na hata Israel japo limekuja huku Israel imeshatoa tangazo la kuhamisha watu mashariki ya Rafah tayari kurudia mashambulizi yale ya nguvu...
  7. JamiiForums Tanzania Yemen watangaza Kufunga Mediterranean Sea kwa meli yeyote inayoelekea Israel

    Hii ndo habari mpasuko kwa wale jamaa zetu wa Houth kutoka Yemen baada ya kufanikiwa kwa zaidi ya 100% kufunga bahari nyekundu (red sea) kwa meli kuelekea Israel sasa wamekuja na operation mpya. Safari hii wamesema meli zote bila kujali ni ya nchi gani ni marufuku kupita Mediterranean Sea...
  8. JamiiForums Tanzania Hamas: Israel watajuta kuvamia Rafah

    Wanakumbi. 🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH Taarifa Rasmi ya Hamas: "Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi wapatao milioni moja na nusu na watu waliokimbia makazi yao, na onyo lake kwa watu kuondoka maeneo...
  9. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Vikosi vya Israel vyawataka wakazi wa Rafah kuhama wakati vikijianda kushambulia

    The Israel Defense Forces has begun calling on residents of eastern Rafah to evacuate to a new, expanded humanitarian zone ahead of a major military offensive in the city, the final Hamas bastion in Gaza, the army announced on Monday morning. The IDF has marked out two evacuation zones: An...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya kusimamisha vita Gaza, hati hati kukwama; Israel, HAMAS yupi ana hoja?

    1. Vita Gaza vinapaswa kukoma. "Enough is enough!" 2. Hilo ni lililotakwa la dunia, kutokea UN huko; mataifa: moja moja; mashirika ya kimataifa, mashirika ya misaada ya kiutu, nk. 3. Kuna azimio UNSC kutaka vita hivi kusimamishwa kabisa sasa na mateka wote kuachiliwa. 4. Raia, wahanga wa vita...
  11. JamiiForums Tanzania Israel yafungia Matangazo ya Al Jazeera kwa madai ya kutishia usalama wa nchi

    Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao huo wa televisheni kutoka Qatar unatishia usalama wa taifa. "Chaneli ya uchochezi ya Al Jazeera...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Israel yaifungia Aljazeera, yachukua vifaa vyao vya kazi

    1. Yale ya Makonda na ile TV pendwa ya pande za kwetu yametimba Al Jazeera Israel: 2. Kwamba pasipo na kusubiria kitu Al Jazeera wafunge virago? 3. Kwamba wale wachumba kumbe wamekuwa nao wakitamani malaika mfunga mitandao afanye yake? 4. Nani wa kuunga mkono ubazazi huu? 5. Hoja si...
  13. JamiiForums Tanzania Hata iweje tutalipenda taifa la Israel (taifa teule)

    Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka. Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel umeshamiri Sana. Ni kweli wa Israel wanawanyanyasa Sana wa kristo. Wanafanya hayo kwa kutojuwa Pamoja na...
  14. JamiiForums Tanzania Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Israel Yitzhak Brik: Netanyahu anajua kwamba kuendelea na mchakato huu kutapelekea kuporomoka kwa Taifa la Israel kijesh

    Wanaukumbi. Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Israel Yitzhak Brik: Netanyahu anajua kwamba kuendelea na mchakato huu kutapelekea kuporomoka kwa Taifa la Israel kijeshi, kiuchumi, kisiasa na kijamii. Hata kama Hamas na Hezbollah wataendelea kupigana kama wanavyofanya leo, bila mshangao wa kijeshi...
  15. JamiiForums Tanzania Mamlaka za Israel wavamia sherehe za kanisa huko yerusalem hawataki ukiristo

    Wanakumbi. MAMLAKA ZA ISRAEL WAVAMIA SHEREHE ZA KANISA HUKO YERUSALEMU Matukio ya machafuko leo wakati wa sherehe za kila mwaka za Moto Mtakatifu. Mamlaka iliwakamata maafisa wa usalama wa kanisa hilo wakati wa Jumapili ya Pasaka kwa Wakristo wa Orthodox...
  16. JamiiForums Tanzania Marekani watoa sharti kwa Qatar kwamba HAMAS wafukuzwe mara moja kama watakaidi azimio la sasa la Israel

    Sijui watahamia wapi au waje huku kwa wanaopenda kufia haya mavitu... US Secretary of State Anthony Blinken warned Qatar last month that they should expel Hamas senior officials if the terror group rejects another ceasefire proposal, the Washington Post reported Saturday morning. Qatar...
  17. JamiiForums Tanzania Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kupanua eneo la operesheni hadi Bahari ya Mediterania ikiwa operesheni ya Rafah itaanzishwa na Israel

    Wanakumbi ⚡️⭕️🔻#YEMEN : Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kupanua eneo la operesheni hadi Bahari ya Mediterania mara moja na kuidhinisha usafirishaji wa kampuni zote ambazo zina uhusiano na #Israel ikiwa operesheni ya Rafah itaanzishwa : Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Yemen: Vikosi vya Wanajeshi...
  18. JamiiForums Tanzania Wamalawi 12 Wakamwatwa Israel kwa kutoroka kazi za Mashambani

    Raia 12 wa Malawi ni miongoni mwa raia 40 wa Kigeni waliokamatwa baada ya kuacha kazi kwenye mashamba ya Arava na Lion kutokana na kulipwa Ujira mdogo na kwenda kutafuta kazi za zenye malipo bora zaidi Mjini Bnei Brak Austin Chipeta, Kiongozi wa Jamii ya Wamalawi nchini humo amesema Watu hao...
  19. U

    JamiiForums Tanzania UTEUZI Jenerali Shlomi Binder ateuliwa kuwa Mkuu wa idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel

    UTEUZI Jenerali Shlomi Binder ateuliwa kuwa Mkuu wa idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel Wadau hamjamboni nyote? Uteuzi wa Maofisa wakuu wa Jeshi la Israel Jeshi la Israel IDF limefanya uteuzi mpya kwa kumteua Jenerali shlomi Binder kuongoza idara ya ujasusi ya Jeshi la nchi hiyo akichukua...
  20. JamiiForums Tanzania American Israel Public Affairs Committee (AIPAC ) ndio moja ya makundi yanayo iendesha marekani juu ya Israel kwa kiasi kikubwa ?

    The American Israel Public Affairs Committee (AIPAC) is a lobbying group that advocates pro-Israel policies to the legislative and executive branches of the United States. One of several pro-Israel lobbying organizations in the United States, AIPAC states that it has over 100,000 members, 17...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…