israel

  1. JamiiForums Tanzania Oman ambao ni jirani wa Yemen yatoa wito kuwaunga mkono Houth kupigana na Israel

    Mufti mkuu wa Oman aitwaye sheikh Alkhalil ametoa wito kwa mataifa ya kiislamu kuwa bega kwa bega na makundi yanayopigana na Israel. Wito huo ameutoa leo baada ya ndege za Israel kuushambulia mji wa wa bandari wa Hodeada ndani ya Yemen ambao unadhibitiwa na jeshi la Houth.Shambulio hilo...
  2. JamiiForums Tanzania Houthi walionywa sana, kwamba wayafanye huko mbali na Israel, hawakuskia

    Hawa magaidi ya waislamu, Houthi wamekua wakifanya maugaidi ya kidini huko mbali na Israel, walikua wanaonywa mambo yao hayo yaishie huko, juzi walithubutu kufikisha drone moja Israel, wamepokea kipigo ambacho hawajafanyiwa siku nyingine, yaani ukitazama videos kwa kweli hiki ni kipigo...
  3. JamiiForums Tanzania Yemen Houthi: Tutajibu mashambulizi Israel nchi yeyote itakayozua makombora tutaishambulia

    Wanakumbi. BREAKING: TAARIFA RASMI YEMENI HOUTHI "Adui wa Israeli walianzisha uchokozi wa kikatili dhidi ya Gavana wa Hodeidah, wakilenga na uvamizi mara kadhaa kwenye kituo cha umeme kinachosambaza umeme katika mji wa pwani wa Hodeidah. Pia ililenga bandari ya Hodeidah na matangi ya mafuta...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Israel yawashushia Kitu kizito Houthi wa Yemen

    Imeripotiwa kuwa Israel imefanya shambulio la kimkakati kwa Magaidi wa Houthi Source BBC Taarifa zaidi zitakujia --- Israeli airstrikes targeted Houthi rebels in Yemen a day after the Iran-backed group claimed a deadly attack on the Israeli city of Tel Aviv. The...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Israel hits Gaza from land, sea and air as Hamas halts talks killing 92 people

    Kuna watu humu wanasema hamas/Palestina ni mashujaa.. Sidhani kama kuna sense katika usemi huo wakati watu wanateketea kama si binadamu. Why not release hostages and look for a new alternative to your demands! Israel hammered the Gaza Strip from the air, sea and land Monday as the war in the...
  6. JamiiForums Tanzania Why DNA tests are BANNED in Israel?

    I am interested in hearing your thoughts on the matter. Do you believe there is a reason for the ban on DNA testing in Israel?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Submarine network kutoka Lebanon to Cyprus ndio chanzo ya kuwauwa Macommander Wa Hezbullah

    Habari ndio hio, watu wanawasifia Israel oh anauwezo wa kugundua kila kitu, hamna lolote. Sababu ya Israel kuwauwa makamanda wa Hezbullah ni Cyprus, alijidai yeye ndio atagharamia kila kitu na ku control kumbe ni Israel ndio katoa pesa ili apate access ya kuwanasa Hezbullah ukweli ndio huo. ---...
  8. JamiiForums Tanzania Hezbollah yachoma tena Israel

    Wanaukumbi. Ripoti ya roketi kugonga hoteli ya Gosher na roketi iligonga Barja moja kwa moja Kombora la "Kornet" lilitua kwenye shabaha ya kijeshi karibu na makazi ya Avivim huko Magharibi mwa Galilaya. Pia Hezbollah ilifafanua kuwa siku ya Jumatatu tarehe 07-08-2024 Mujahidina wa Islamic...
  9. JamiiForums Tanzania Vituo vya Kijeshi vya shambuliwa huko Israel

    Israel anapigwa mande bila mate 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥BREAKING: 🇱🇧🇮🇱 Starting two hours ago, Hezbollah launched a huge wave of attacks on Israel The entire occupied Golan Heights was under fire from hundreds of Hezbollah missiles. Dozens of settlements along the border, including the city of...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Israel Kasalim Amri Kwa Hezbollah

    Waisrael huko na magazeti yao wamegundua moto unao wangojea huko Lebanon, sio Missiles tu zinawasubiria na drones, lakini kuna ndege vita kuliko F16, ambayo wanatamba nayo Israel ni drones ambazo hazina tofouti na F16 zina ruko 30,000ft. Zinauwezo wa kupita kwenye Radar bila kuonekana, na zina...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa njema Mke wa Waziri Mkuu Victoria mteule Uingereza ni myahudi, Mungu ibariki Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Hii ni habari njema kwa Wana Israel mke wa Waziri Mkuu mteule Uingereza aendaye kwa jina la Victoria Starmer ni myahudi Mungu ibariki Israel Victoria Alexander was raised in north London. Her father is a former accountant from a Polish-Jewish background and her mother...
  12. JamiiForums Tanzania Kwenye mzozo wa Palestine na Israel, wawili hawa, nani alikuwa na malengo muhimu dhidi ya mwenzake? Je, yametimia?

    Kuna maswali mengi sana kuhusu mgogoro wa nchi hii ya Israel na mamlaka ya bandari ya Palestine Palestine ndiyo wa kwanza kuvamia Israel, bila shaka hawa ndio walikuwa na malengo mahususi dhidi ya Israel Wapalestine wa Tandale, wao wanakwambia, baada ya Wazayuni kujibu mapigo, eti...
  13. JamiiForums Tanzania Kuanzia wiki iliyopita pekee, wanajeshi 12 wa Israel waliuawa

    Wanaukumbi. ⚡️Vyombo vya habari vya Israeli: Kuanzia wiki iliyopita pekee, wanajeshi 12 wa Israel waliuawa. Si haba wauaji wa watoto wanazidi kupata haki yao nao wajue uchungu wa vifo. Leo majeruhi wengi kati ya wanajeshi wa Israel kutoka kaskazini mwa Israel, Golan na Gaza, walihamishiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Wanamgambo wa Israel waunguzwa ndani Merkava Battle Tank

    Wanamgambo wa Israel wakiwa kwenye uwanja wa mapambano na Kifaru chao aina Merkava wameviziwa na makomando Hamas kisha kuwekewa mabomu bila wao kushtuka baada sekunde 3 kikalipuka na kubaki majivu
  15. JamiiForums Tanzania Israel yafanya majaribio ya mizinga yenye uwezo wa kupiga kilomita 1,800 KM

    Mwendo wa maandalizi...... Kwa kifupi sasa hivi swali la kujiuliza ni lini yataanza maana ukanda ule unaelekea kuchafuka. Israel conducted a test launch for a missile with a range of up to 1,800 kilometers, (1,118 miles) pro-Kremlin Telegram channel Rybar reported on Thursday. The missile...
  16. JamiiForums Tanzania Iran wamewaambia UN iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah"

    Wanakumbi. MPYA: 🇮🇷🇮🇱 Iran katika Umoja wa Mataifa: "Iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah" Iran imesema katika Umoja wa Mataifa kwamba iwapo Israel itaanzisha vita vikali dhidi ya Hizbullah nchini Lebanon...
  17. JamiiForums Tanzania Israel yapigwa vibaya ndani ya Gaza. Wapi Hamas wanapata silaha? Inashangaza

    Baada ya Israel kuuzingira mji wa kusini wa Rafah na kuudhibiti ukanda wa Philadephi unaotenganisha na Misri ilitarajiwa kama walivyojitapa Israel ingekuwa ndio mwisho wa nguvu za Hamas. Maelezo yaliyokuwa yakitolea na Israel ni kwamba Hamas wana mahandaki wanayotumia kuingiza silaha Gaza...
  18. JamiiForums Tanzania Picha: Daktari gaidi aliyeuawa na Israel

    Huyu daktari alipouawa mlipiga makelele kwamba IDF inaua hadi madakatari, mkaambiwa ni ligaidi la kiislamu hamkutaka kuamini haya picha zimeanza kujitokeza lilivyokuwa limekubuhu, ifahamike kwenye ugaidi wa kiislamu huwa hamna cha msomi wala nini, wote lao moja, piga tu. =====================...
  19. JamiiForums Tanzania Israel’s army says it killed a Hamas weapons expert

    Israel’s army says it killed a Hamas weapons expert The Israeli army claims it killed Muhammad Salah, who was allegedly involved in weapons development and production for Hamas, in an air attack overnight. The army said on X that Salah also commanded several Hamas squads that produced weapons...
  20. JamiiForums Tanzania Afisa ugavi wa HAMAS auawa na Israel

    An IDF drone carried out a targeted attack on a vehicle carrying Hamas's Lebanon supplies director, Ayman Ratma, in the Bekaa Valley of Lebanon on Saturday, the military reported. Ratma had reportedly helped to direct weapons supplies for Hamas and Jamaa Islamiya in Lebanon. The army said that...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…