Mashambulizi ya Israel na Marekani dhidi ya Iran yaliyoaanza Februari 28, 2026 yaliyomuondoa Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Alli Khamenei yanaendelea hadi sasa huku vifo na majeruhi vikiongezeka katika maeneo tofauti Mashariki ya Kati
Shirika la Habari la kimataifa la Al Jazeera imetoa idadi...
Kundi la Wapalestina la Hamas limetoa wito kwa mshirika wake Iran kusitisha mashambulizi dhidi ya nchi za Ghuba, huku likisisitiza kuwa Tehran ina haki ya kujilinda dhidi ya Israel na Marekani katika vita walivyoanzisha.
Katika taarifa iliyotolewa Jumamosi, Hamas iliwataka “ndugu zao nchini...
Irani ilikuwa imejipanga. Ilichora chini maghorofa na viwanda kama vya ukweli. Ikaweka na matoy kila sehemu. Marekani imeshambulia michoro na matoy. Ikamshambulia Khayatollah fake toy la kichina.
Kwa sasa zimemaliza. Silaha zote
.hadi marekani sasa wanaanza kuomba silaha kama kenye. Kwa kweli...
Rais masudi pezeshkian wa Iran Leo ametangaza kusitisha mashambulizi kwa nchi jirani za kiarabu kwa masharti kwamba wasiruhusu anga wala ardhi zao kutumika kushambulia Iran. Lakini msemaji wa jeshi la Iran nae akasisitiza kuwa mashambulizi dhidi ya Israel na marekani yataendelea kama kawaida...
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezionya nchi za Ulaya dhidi ya kujiunga na vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani. Alisisitiza kuwa hatua yoyote dhidi ya Iran itatafsiriwa kama ushirikiano na wale wanaoishambulia nchi hiyo, na itachukuliwa kama kitendo cha kivita.
Kauli yake...
Kufuatia vita iliyoibuka kati ya Iran, Marekani na Israeli kumeibuka video mbalimbali kuhusu mashambulizi yaliyofanyika huko lakini nyingine si halisi bali zimetengenezwa kwa kutumia Teknolojia ya Akili Unde (AI).
Katika shambulio la kushtukiza lililotokea leo, Jeshi la Anga la Israel (Israel Defence Forces) limefanikiwa kuwalenga viongozi wakuu wa Jeshi la Iran, kwa msaada wa ushirikiano na Jeshi la Marekani.
Mohammad Pakpour – Kamanda Mkuu wa Jeshi kubwa zaidi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC)...
Marekani na Israel zilianzisha mashambulizi dhidi ya Iran siku ya Jumamosi, huku shambulio la kwanza likiripotiwa kutokea karibu na ofisi za Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei.
Vyombo vya habari vya Iran viliripoti mashambulizi katika maeneo mbalimbali nchini humo, huku moshi...
New York Times inaripoti kuwa Israel itajikita kulenga “maghala ya makombora ya Iran, vituo vya uzalishaji na launchers,”
Huku Marekani ikitarajiwa kulenga “mradi wa nyuklia wa Iran na malengo mengine yanayohusiana na kikosi chenye nguvu cha Islamic Revolutionary Guard Corps pamoja na serikali.”
Niaje niaje..........katika hali ya kushangaza kumbe jamaa walihiti target vizuri tu bila papara ..............maneno yalikuwa meeengi kumbe kitu kimewaramba
Walitaka tu kuharibu mifumo na vinu vya Nyuklia vya Iran. Ndiyo mambo ambayo kwao yalikuwa agenda kuu sana miaka yote. Wamefanikiwa kwa asilimia 90 plus.
Na pia walitaka kuitia Kilema Irani kivita au kisilaha. Na haya mambo hayakuanza leo au jana. Mipango yao ilikuwa okifanyika zaidi ya miaka...
Huyu ana demonstrate kitaalamu jinsi ya kukwepa wasiuliwe na mabomu ya makafir ya Mayahudi na Mamarekani kwa kupiga msamba aka kusambika. Hii mbinu imeonekana ni nzuri na inafaa. Na ukimwangalia jemedari. Si haba. Mashallah.
VITA VYA ISRAEL NA IRAN
Vita hivi kwa Wachambuzi wengi wa mambo ilikuwa ni jambo lililokuwa likitarajiwa kwa muda sasa hasa ikizingatiwa kampeni ya Israel dhidi ya HAMAS, HESBOLLAH kuanguka kwa utawala wa Syria na Kikundi cha Houthi cha YEMEN. Kampeni hii ililenga kuhakikisha kuwa Israel...
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.
Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao
Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.