iran

  1. JamiiForums Tanzania Jukumu la kuwatetea wapalestina si la Iran pekee

    Hatua inayofuata kutokana na vita kati ya Israel na Hamas itakuwa ni vita vigumu na vya muda mrefu sana. Tayari mataifa washirika wa Israel katika juhudi ya kupotosha na kupunguza athari zake wameanza kutangaza kuwa ni vita kati ya Iran na Israel. Kiukweli vita hivyo ni kama fursa muhimu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

    Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
  3. JamiiForums Tanzania Iran Wasituletee Vikombola Vyao vile Vyenye speed ya Bajaj(Masaa manane viko angani)

    Safari hii tunataka kuona uwezo wao. Nyuma hapo walituletea vidrone na vikombola vyao masaa manane viko angani. Viliishia Njiani tu. Huwezi kumpiga mu Israeli kwa kutumia vile vitoi. Safari hii tunataka kuona vitu. LA sivyo aache kupiga makelele.
  4. JamiiForums Tanzania Akihutubia Bunge la Marekani, Netanyahu alisema ni wakati sahihi wa Iran kupigwa

    Israel ndilo taifa linaloongoza kwa kutengenezewa vikundi vingi vya kigaidi ili tu lisiwe na amani na pengene mpango wa viongozi wenye kutengeneza vikundi hivyo, ni kulifuta Taifa hilo. Irani kuchangamkia vita kwa sasa dhidi ya Israel, ni Isarel baada ya kumuua Gaidi na kiongozi wa makundi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Iran wabaguzi mpaka kwenye msiba

    Ona sasa msunni abaguliwa iran imegoma kumzika sunni katika ardhi ya shia hii deen ya haq changamoto sana. --- The Islamic regime didn’t allow for Ismail Haniyeh the Sunni to buried in Iran. The Shia’d shipped his body to Qatar. Spit in the face
  6. JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

    Kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh ameuawa nchini Iran, kundi hilo limesema. Katika taarifa iliyotolewa leo siku ya Jumatano, Hamas imesema Haniyeh aliuawa kufuatia uvamizi wa Israel kwenye makazi yake mjini Tehran. Kwa mujibu wa kundi hilo, Haniyeh alifariki baada ya kushiriki sherehe za...
  7. JamiiForums Tanzania The government of Iran has issued Notice(s) to Air Missions (NOTAM) closing certain air space in their country for "military Action / Emergency

    Iran Issues NOTAM for "Military Action." IRGC Commanders did not show up at prayer ceremony AUGUST 01, 2024 The government of Iran has issued Notice(s) to Air Missions (NOTAM) closing certain air space in their country for "military Action / Emergency" which may mean missile launches...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Iran yaapa kujibu mapigo juu mauaji ya kiongozi wao mkuu Hassan

    Kwa mujibu wa Hamas, Haniyeh na mmoja wa walinzi wake waliuawa alfajiri ya jana Jumatano Julai 31, 2024 baada ya jengo walilokuwa wakiishi kuvamiwa na kushambuliwa. Baada ya mauaji hayo ambayo Israel inanyooshewa kidole kuhusika ingawa haijakiri, tovuti ya Times of Israel imemnukuu Kiongozi...
  9. JamiiForums Tanzania Iran: Interest za Marekani zitashambuliwa kwa kusapoti ugaidi wa Israel

    Baada ya Iran kutangaza kujibu kwa njia ya Kijeshi dhidi mauaji ya Kiongozi wa Siasa wa Hamas Marekani imeanza kuropoka mara tutailinda Israel, Mara tunalinda Interest zetu mara tunapeleka meli 12 kuzuia makombora ya Irani na Washirika wake, mara Iran itajibu ndani ya saa 72 ...vilio vyote hivyo...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hivi hamjaunganisha dots tu kwamba Israel ndiyo walimuua rais wa Iran Ibrahim Rais kwa kuangusha helkopter?

    Waisrael hawashindwi kitu wakiamua. Kama wameweza kumuulia kamanda wa hamas hukohulo iran itashindikana vipi kusema kwamba wao ndo waliangusha helkopter kwa technologia kubwa waliyonayo. Jamani iran hamna secirity yaani security ni zero. Wasije wakawage war na Islael watapigwa kama mtoto.
  11. JamiiForums Tanzania Iran ilipandisha bendera nyekundu ya Kisasi

    Wanaukumbi. "Kulipiza kisasi kwa damu ya Ismail Haniyeh ni jukumu letu kwa sababu mauaji yalitokea katika ardhi yetu" - Ayatollah Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Iran. Iran ilipandisha bendera nyekundu ya Kisasi kwenye jumba la msikiti wa Jamkaran...
  12. JamiiForums Tanzania Iran iko "overrated" lakini ni wa kawaida sana kwenye ulinzi

    kitendo cha kiongozi wa kisiasa wa Hamas kuuwawa tena nchini kwao, kwenye mji mkuu wao, mgeni aliku alikwa na raisi, na wameshindwa kumlinda, inaonesha ni jinsi gani hawako vile watu wanawadhania. Kuna kesi nyingi sana za kuuwawa wanasanyansi wa nyukria wa Iran. Ni wazi kuwa Iran kuna...
  13. JamiiForums Tanzania Iran walikana kuwasaidia hawa Wahuni je, kwa Kitendo cha Muhuni na Mpumbavu Kufia ndani yao tena Nyumbani Kwake hakujawaumbua Mchana kweupe?

    Ndiyo maana kila Siku huwa nasema Mnafiki yoyote yule huumbuliwa wazi wazi na Mwenyezi Mungu. Kipo wapi sasa?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Israel yajibu shambulio Lebanon

    Jeshi la ulinzi la israel limefanya shambulio la angani lililolenga Kamanda wa Hezbollah mjini beirut kufuatia shambulio lililosababisha vifo vya watoto wengi katika eneo la Golan heights eneo linalokaliwa na israel ambapo Hesbollah wamekanusha kufanya shambulio hilo. kupitia ukurasa wao wa X...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Israel yajibu shambulio Iran

    Jeshi la ulinzi la israel limefanya shambulio la angani lililolenga Kamanda wa Hezbollah mjini beirut kufuatia shambulio lililosababisha vifo vya watoto wengi katika eneo la Golan heights eneo linalokaliwa na israel ambapo Hesbollah wamekanusha kufanya shambulio hilo. kupitia ukurasa wao wa X...
  16. W

    JamiiForums Tanzania inakuaje Nchi zinaungana kuipiga Israel lakini inashindikana, Yemen, Iran, Lebanon, Syria, Palestina hawaoni aibu?

    Na hapo kumbuka Israel inapigana kwa tahadhari ku target zaidi magaidi ili kupunguza casualities za civilians zisizokwepeka, ni tofauti na nchi hizi zingine ambazo hushambulia zaidi raia wa kawaida wa Israel, lengo lao huwa ni kuua raia wa Israel wengi kadri inavyowezekana. Hii sio mara ya...
  17. JamiiForums Tanzania Taasisi za wanawake Iran washinikiza wanawake wawili wanaharakati wasinyongwe

    Taasisi za utetezi wanawake nchini Iran zinashinikiza utawala wa nchi hiyo kutowanyonga wanawake wawili wafungwa wa kisiasa waliopewa hukumu ya kifo hivi karibuni.
  18. JamiiForums Tanzania Kabla uchaguzi kufanyika Marekani.Yatajwa kuna njama za kumuua Trump.Aongezewa ulinzi.Naye asema ataifuta Iran kwenye uso wa dunia.

    Dunia itaendelelea kuwa sehemu ambayo si salamu kwa watu kuishi kwa utulivu muda wote ambao Marekani na Israel zitaendelea kuwa washirika wa karibu. Hivi karibuni kulifanyika jaribio la kumuua mgombea uraisi wa Marekani na ambaye amewahi kuwa rais,bwana Donal Trump.Jaribio hilo lilifanywa na...
  19. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Netanyahu anaishtaki Iran katika Congress waingie vitani

    Wanakumbi. Kila kitu kiko tayari kwa vita dhidi ya Iran - Benjamin Netanyahu Netanyahu alipokea shangwe (moja ya WENGI) wakati wa hotuba yake kwa Congress: "Dunia yetu iko katika hali ya msukosuko. Katika Mashariki ya Kati, mhimili wa ugaidi wa Iran unaikabili Marekani, Israel na marafiki...
  20. JamiiForums Tanzania Komandoo wa Iran wateka meli ya UAE iliyokuwa inapeleka Mafuta Israel

    Komandoo wa Iran wameikamata meli ya Falme za Kiarabu iliyokua inapeleka Mafuta na gas kwenye meli za Kivita za Israel. Wakati huo huo Yemen wamesema watakilipua kisima Cha mafuta Cha Israel kilichopo baharini ⚡️BREAKING Iranian commandos seized a UAE-run vessel carrying marine gas oil for...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…