iran

  1. Ebrahim Raisi atakumbukwa kama kiongozi jasiri zaidi wa Iran aliyeikuza nchi yake kiteknolojia

    Pamoja na kukalia kiti cha uraisi kwa kipindi kifupi, marehemu Ebrahim Raisi wa Iran aliyekufa kwa ajali ya helkopta atakumbukwa kama mmoja wa viongozi mashujaa wa nchi hiyo. Katika kipindi chake vitu vingi visivyotarajiwa kufanywa na nchi ambayo haijatajwa kama nchi iliyoendelea kama zile za...
  2. Kwanini 50% ya Raia wa Iran wamefurahia na hadi Kukufuru kabisa Kifo cha Rais wao Raisi?

    Nasubiria hizo sababu kwani hata Mimi GENTAMYCINE najiandaa kuwa Rais nchi moja hivyo sitaki Niwaudhi Wananchi.
  3. Kama kifo ni mipango ya Mungu, mbona imani yenu wa Iran inaonekana kukataa kuhusu kifo cha Raisi?

    Nimeshangaa sana jaziba za wairan wakiona kama kifo kimepangwa na wabaya wao au kosa lilofanyika ni kama mungu kakosea. Sasa imani ina maana gani kama kifo mtaki kuamini kipo.
  4. Evidence is now appearing indicating that the Iran Presidential Helicopter crash was an assassination

    Evidence Is Now emerging Indicating the Iran Presidential Helicopter Crash was an Assassination MAY 20, 2024 The crash of the Iran Presidential Helicopter is starting to appear to be a well-planned and deliberate Assassination. So thorough does the Conspiracy appear, and now the cover-up...
  5. Iran: Uchaguzi Mkuu wa kumpata Rais mpya kufanyika Juni 28, 2024

    Iran imetangaza kuwa itafanya uchaguzi wa rais mnamo Juni 28, kufuatia kifo cha rais Ebrahim Rais na maafisa wengine katika ajali ya helikopta wakati mazishi yakitarajiwa kufanyika Jumanne. =================== Iran on Monday declared that it would be holding an early presidential election on...
  6. Watu wengi watajiuliza kuhusu Iran ajali iliyotokea ila ni wajuze kuhusu Helikopta

    Mimi nashangaa sana tena hapa kwetu kila kukicha wanaojitokeza kwa kusema wanavipaji vya kutengeneza helikopta. Helikopta sio maputo wala utani kama wanvofikiria watu wengi na usalama wake ni mdogo sana sababu balance yake inategemea uwezo wa panga zake ikishindikana basi. Idadi ya mafundi...
  7. Kama hakuna atakayezungumza ukweli kuhuru Iran mimi nitazungumza

    Huu uzi umejikita kiinteligensia, facts na uchambuzi wa evidences zaidi ya ushabiki wa ule uzi mwingine. Eti nini? Eti hali mbaya ya nini? LIKO WAZI CHOPA YA KIONGOZI WA IRAN imeshushwa kwa space laser. Naomba unionyeshe hiyo "hali mbaya ya hewa" Hii chopa imeshushwa na sio ajali. I think...
  8. U

    Mohamed Mokhbar ateuliwa kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Who is Mohammad Mokhber, Iran's interim president? By Reuters May 20, 202412:19 PM GMT+3Updated an hour ago Here are some key facts about Mohammad Mokhber, 68, Iran's first vice president who became interim president following the death of Ebrahim Raisi in a helicopter crash. As interim...
  9. Marekani yalalamikiwa ajali iliyomuua Rais wa Iran!

    Katika hali ya kushangaza waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Iran Javad Zarif ameilalamikia Marekani kwa ajali ya Helikopta iliyosababisha kifo cha Rais wao Ebrahim Raisi. Javad anasema ajali hii ni matokeo ya vikwazo vya muda mrefu vya Marekani ambavyo vinawazuia kupata ndege/ helicopter na...
  10. HII NDIYO ROBOTI: Ilichukua Jukumu Muhimu Kutambua Mabaki ya Rais Raisi.

    Kwa waturuki wao wanasema ni hatua kubwa waliyofikia kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia. AKINCI UAV ya Uturuki ilichukua jukumu muhimu katika kutambua mabaki ya helikopta ya Rais wa Iran Raisi. Ni operesheni ya utafutaji na uokoaji ilitangazwa moja kwa moja 'LIVE COVERAGE' kupitia...
  11. X

    Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa. Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah...
  12. F

    Kweli Iran bado Mtoto mdogo sana kwenye game

    Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤 Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?🧐🙄 Je, hawa jamaa wataweza kweli kupambana na...
  13. Iran wanaamini ajali hio ya kawaida. Je, Ni kweli?

    Peace, Yani helcopter 3 zinasafiri katika ukungu ulioripotiwa na wataalamu wa anga na aviation kua "dhaifu na wa kawaida" alafu 1 kati ya chopa 3 inaanguka. Na tena inayoanguka ni "chopa ya rais" na nyingine zinaendelea na safari huku mawasiliano ya chopa zote 3 yakifanyika "muda wote" na...
  14. R

    Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

    Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza kisasi. Je, ni kweli majasusi wa Israel wameweza kuingia kwenye mifumo ya mawasiliano ya Iran? Je...
  15. Israel yalalamika Hezbollah kupokea Mitambo ya ulinzi wa Anga (Air defense) kutoka Iran

    Katika hali ya kishangaza sana na kuuchekesha Ulimwengu taifa la mchongo Israeli leo limetoa taarifa kuwa wanamgambo wa Hezbollah kutoka nchi ya Lebanon 🇱🇧 wamepokea mitambo ya ulinzi wa anga kutoka Iran ( hii ni kweli ). Na kuelezea masikitiko yao kuwa dunia ipige kelele kitendo hicho...
  16. U

    Tani 47,000 za mafuta ya kupikia yaliyokwisha muda wake na yenye sumu yamesambazwa nchini Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Inadaiwa kuwa jumla ya tani 47,000 za mafuta ya kupikia yasiyokwisha muda wake na yenye sumu toxic yamesambazwa kwa walaji nchini Iran Inadaiwa mafuta hayo ni sehemu ya Tani 91,000 za mafuta zilizoagizwa na nchi hiyo kutokea nchini Argentina na uturuki mwaka 2021. Hadi...
  17. Japo vita vya Gaza vinakaribia ukingoni, Israel itaingia kidogo Rafah kuwaridhisha wahafidhina wa kiyahudi kama ilivyofanya baada ya kipigo cha Iran

    Makubaliano ya kusitisha vita huko Gaza baada ya miezi sita ya mapigano makali yamekuwa magumu kufikiwa baina ya Hamas na Israel. Hata hivyo kutokana na kuelemewa kwa Marekani na Israel na upinzani juu ya vita hivyo sasa kuna dalili za kutosha kuwa ukaidi wa Benjamin Netanyahu umefikia kikomo...
  18. Wanafunzi wa vyuo vikuu Marekani wakaribishwa kusoma Iran na Yemen kama watafukuzwa kwa kuandamana

    Vuguvugu linaloendelea nchini Marekani kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana kuhusiana na vita vya Israel na Palestina limeingia hatua nyengine baada ya viongozi wa Iran na Yemen chini ya Houth kutoa nafasi kwa wanafunzi wa vyuo hivyo kama watafukuzwa kwa kutekeleza wajibu wao wa kidemokrasia...
  19. G

    Sababu ya kuisapoti Israel!! Ikiwa chini ya Palestina itageuzwa kuwa dola ya kisasi, ubaguzi na ukandamizaji wa kidini, yalishatokea Iran, Iraq, n.k

    Kumbuka lengo la kushambulia Israel ni kuua waisrael wote, ndicho kitachotokea Israel ikitekwa na Palestina, Hawa watu wakivamia huwa ni chinja chinja tu kujaribu kuua waisrael wote kwa kiasi wanachoweza, Hata watanzania wenzetu walioenda kusoma huko walikutwa kwenye ardhi ya Israel na wakauawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…