iran

  1. JamiiForums Tanzania Tanzania tunaendelea vizuri kulipa deni kwa Iran

    Kwa taarifa Tu. Tunaendelea vyema kulipa deni letu huko Iran. Hatuja default hata mara moja (kwa lugha ya kimkopo). Sema sasa ukiniuliza Mkopo tulifanyia nn ndio sijui. Wabillah Taufiq. --- EHRAN- Based on an agreement signed between Tanzania and Iran, the African country will pay its debts...
  2. JamiiForums Tanzania Tunasubiri Iran iifute Israel kwenye uso wa dunia kama ilivyo ahidi

    Kwa style hii bado tunasubiri iran iifute Israel kwenye uso wa dunia kama ilivyo ahidi chini ya kiongozi wao mkuu wa kidini ayatolah al kamenei. Viongozi wa kuu wa kijeshi na wanasayansi wakuu wa nyuklia na teknolojia ya maswala ya silaha na ulinzi wa anga huko iran mpaka sasa wamesha uwawa...
  3. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Tanzania kwa kinachoendelea Iran-Israel

    Waziri mwenye dhahama atoe msimamo wa Tanzania kwa uonevu unaendelea huko Iran-Israel. Ikibidi tutume Timu ya wasuluhishi 300 (Zanzibar 150, Tanganyika 150) waende huko kwa siku 30. Ni muhimu wawezeshwe kifedha pia wapewe ndege moja ya ATC. Wabillah Taufiq
  4. JamiiForums Tanzania Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

    Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda. Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia. Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote. Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli. Hakuna anayemsaidia Iran...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani haijifunzi na inatumia kikagosi chake Israel na kuigopa Iran bila kujifunza toka Afghanistan na Iraq?

    Kwa wanaojua kilichotokea Afghanistan ambako magaidi wa kitaleban sasa wanatesa huku Irak ikigeuka taifa lililofeli, watakubaliana nami kuwa Marekani licha ya unafiki na woga, inaonekana kutokuwa na uwezo wa kujifunza. Vita vya Afghanistan na Irak viliigharimu Marekani jumla ya dola trilioni...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa muhimu kutoka IDF says it completed ‘extensive’ wave of strikes on IRGC, military targets in Iran

    Niwatakie usiku mwema kazi ya today imeisha, kesho kesho nayo ni siku, Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, June 15, 2025 IDF says it completed ‘extensive’ wave of strikes on IRGC, military targets in Iran By Emanuel Fabian Follow Today, 11:11 pm The IDF says it has completed an...
  7. JamiiForums Tanzania Iran ni mtoto wa kambo na Israel ni junior

    Hii vita ukiweka mambo ya udini na kushirikisha akili Kwa undani utagundua mambo mengi ambayo yanampa aueni Israel na wakati mgumu Iran katika kushambuliana na kubwa zaidi ni hili. Ukiangalia jiografia ya haya mataifa mawili utapata jibu kuwa ISRAEL kupitia msaada kutoka Kwa washirika wake hasa...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Je, baadhi ya mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel huruhusiwa kwa makusudi ili uwe ushahidi wa kufungua milango ya kuhalalisha vita pana ?

    Tunavyoona baadhi ya makombora yakitua Israel, Je kuna yanayoruhusiwa maksudi ili Israel ipate uhalali wa vita pana ? Ni ajabu kidogo, japo Iran wanajikongoja kwa kutungua baadhi ya maeneo ya Israel yenye madhara makubwa kwenye video zinazorekodiwa ila ni ya kawaida kwenye casulities lakini...
  9. JamiiForums Tanzania Hamas ndio walitoa Upinzani wa Kweli. Hawa Iran ni Vibushuti

    Sio kwa ushabiki! Angalau Hamas walitoa upinzani wa Kweli. Ingawaje ni kakikundi kadogo kalikokosa Nguvu ya kifedha, miundombinu na vifaa vya kutosha lakini angalau wao tuliwaona wakifurukuta. Mbinu yao ya kujificha kwenye mahandaki na kuwageuza raia kuwa ngao yao kulichelewesha kushindwa kwao...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Iran inashambulia raia badala ya kupigana na jeshi??

    Wajuvi wa mambo naomba msaada wa kisheria .
  11. JamiiForums Tanzania Trump aonya Iran dhidi ya kushambulia Marekani kwa namna yoyote ile

    Rais Donald Trump amesema Marekani haihusiki katika vita vinavyoendelea kati ya Israel na Iran. "Marekani haikuwa na uhusiano wowote na shambulio dhidi ya Iran, usiku wa leo," Trump amesema katika chapisho kwenye jukwaa lake la Truth Social platform. Iran imeionya Marekani na washirika wake...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi Israel kushambulia viongozi wa Iran sababu wananchi wengi wanaichukia serikali, wairan wanaiona Israel kama mkombozi

    Ni sawa na vita ya Kagera, waganda wengi walikuwa wananchukia Idi Amini waliiona Jwtz kama mkombozi na walikuwa tayari kuisaidia kwa lolote japo kwa usiri kwa hofu ya hasira za kujulikana. Na ndio maana ukifuatilia vita inayoendelea Iran, unamuona Israel hana muda kushambulia wananchi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini ni rahisi sana kwa Israeli kuwauwa viongozi wowote hadi wale waandamazi wa Iran?

    Kwanza, Kama Israel haitaundoa utawala wa Ma- Ayatollah Iran hii vita yao waliyoianzisha itakuwa haina maana yoyote na kama Iran haitawaua viongozi waandamazi angalau 10 wa Israel itakuwa imetepeta na haijafanya lolote la maana katika kuvurumisha mamia ya makombora yake, zitabaki kuwa mbwembwe...
  14. JamiiForums Tanzania Iran: Tutasitisha mashambulizi Israel itakapoacha uchokozi

    Waziri wa nchi za kigeni wa Iran ameashiria nia ya kusitisha mashambulizi ya makombora dhidi ya Israel, akisema wanashambulia tu kwa ajili ya kujilinda.Kulingana na shirika la habari la kitaifa la Iran, IRNA, Abbas Araghchi amesema wamerusha makombora hayo tu kutokana na uchokozi wa Israel...
  15. JamiiForums Tanzania Tumeshambulia maeneo ya miundombinu ya nyuklia ya Iran - IDF

    Vikosi vya Ulinzi vya Israel vilisema kuwa vimefanya mfululizo wa mashambulizi katika maeneo ya miundombinu mjini Tehran yanayohusiana na mpango wa nyuklia wa Iran. Jeshi linasema maeneo lengwa ni pamoja na makao makuu ya wizara ya ulinzi ya Iran na Shirika la Ubunifu na Utafiti. Iliongeza...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa intelejensia wa Iran na naibu wake wauawa baada ya Israel kulipua chumba chao cha siri katika jengo la wizara ya intelejensia

    Mods tafadhali sana msiunganisha mijadala inayohusu matukio makubwa ya kiusalama kama kuuawa kwa mkuu wa jeshi au waziri. Haya ni matukio ya kipekee tofauti na milipuko ya kila siku, mambo haya yanahitaji kujadiliwa kwa muktadha wake maalum, Cheo hicho ni sawa na mkuu wa usalama wa taifa wa...
  17. JamiiForums Tanzania Je, waarabu hawaipendi Irani au kuna mapandikizi katika nchi zinazoizunguka Iran?

    Ubaya ubwela Saudia,Jordan,Syria,Bahrain n.k nazani hawajui au wanajipumbaza kuwa kila mmoja atafikwa kwa muda wake,inaonekaa Netanyau anaajenda kubwa kaibeba, kila nchi pale Mashariki ya kati itapigwa kwa mda wake. Israel ni taifa mkakati la Marekani dhidi ya jamii ya kiarabu,wao hawajitambui...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea Israel vs Iran na Ukrain Vs Russia nimejifunza mengi. Hawa jamaa hapa pichani hatupo nao tena Duniani. Nimelia sana

    Hawa jamaa hatunao tena hapa Duniyani. Wameenda akhera. Walikuwa wakionesha ukubwa wa irani na silaha za hatari. Wakati huo wapinzani wao wanawalia tu timing. Nikakumbuka na vita ya Ukraine na Russia. Ambayo Russia alisema 7 days atakuwa amemaliza hiyo operation na si vita. Na silaha za kisasa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Iran Urusi na China wameipata teknolojia ya f 35 stealth kiuwepesi kabisa

    Mara baada ya f 35 stealth kudunguliwa sasa Urusi na UChina wataenda kuchukua teknology ya f35 Iran Hii ni Faida kubwa sana kwa Iran,Urusi na UChina Mmarekani hataki kumuuzia yeyote hio f35 zaidi ya Muisraeli huyo Uturuki kanyimwa kuogopa teknolojia itaibwa.
  20. F

    JamiiForums Tanzania Je, Hezbolah yuko wapi kumsaidia Boss wake Iran?

    Tumeona kwamba Syria alipovamiwa basi hezbolah hawakusita kuingia vitani kumsaidia swahiba wao Assad. vivo hivo Hamas walipoanza kupokea kichapo Hezbolah nao hawakubaki nyuma walianza kufyatua makombora kuendelea miji ya Israel wakisema kwamba hadi Israel atakapoacha kushambulia palestina na wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…