iran

  1. U

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya usalama Iran yapiga marufuku maafisa kutumia vifaa vilivyounganishwa kwenye mtandao

    Wadau hamjamboni nyote, Iran yapiga marufuku maafisa kutumia vifaa vilivyounganishwa kwenye mtandao Leo, saa 2:00 usiku Mamlaka ya usalama wa mtandao ya Iran imepiga marufuku maafisa kutumia vifaa vinavyounganishwa kwenye mtandao, ikionekana kuhofia kufuatiliwa au kudukuliwa na Israel. Kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania wenzetu mliopo Israel na Iran, ni vyema mkaondoka katika nchi hizo mapema

    Huyu jamaa alikuwa anatafutwa kuguswa kwa bahati nzuri ameguswa,
  3. JamiiForums Tanzania Iran yashambulia makao makuu (HQ) ya Mossad leo asubuhi huko Tel Aviv

    Makao makuu ya intelligence ya Israel (Mossad) Leo asubuhi. Wachambuzi wanaeleza kuwa Iran ilitumia teknolojia ya juu kuudanganya mfumo wa kiulinzi wa Israel ambao ulirusha makombora 10 bila mafanikio. Tuombe amani Hali ni tete.
  4. JamiiForums Tanzania Trump abadili msimamo, asema Iran iache kabisa mawazo ya nyuklia, hamna tena ruhusa kumiliki nyuklia ya nishati

    Kilichokua kinajadiliwa ilikua Iran ipunguze nyuklia au madini ya uranium, na kubaki na ya matumizi ya nishati tu, ila sasa inashurutishwa iache kabisa mawazo ya nyuklia, na mpaka sasa anga ya Irani imetekwa na Israel, ndege zinapiga zitakavyo...... US President Donald Trump said on Tuesday...
  5. JamiiForums Tanzania Aliyeteuliwa kama mbadala wa mkuu wa majeshi ya Iran naye aliuwa, itangazeni hiyo nafasi upya

    Kila anayechukua huo wadhifa analiwa, tangazeni hiyo nafasi tena, wanawahishwa kwa mabikira.... Ayatollah tunamsaza tu ili atie saini mkataba wa kuisahau nyuklia, la sivyo tungekua tushamla na lile gauni lake ==================== The IDF on Tuesday assassinated the replacement Iranian Khatam...
  6. JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Iran dhidi ya Israel kunatupa mafunzo yafuatayo;

    Mpo salama! Tunajua kabisa Iran inaonewa na kudhulumiwa lakini ndivyo mambo ya falme na tawala za dunia zilivyo. mdogo kumtii Mkubwa. Na kama mdogo akikaidi basi njia zozote hata zisizo halali hutumika. Mwanadamu ni Mnyama aliyechangamka. Mifumo yake ya utawala haiko mbali na wanyama wa...
  7. JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa vita swali : Wakudri na Vita ya Iran vs Israel/Marekani — Je, Wana Nafasi?

    Wakudri ni Nani na Wapo Wapi? Wakudri ni kundi la kikabila linalokadiriwa kuwa na watu milioni 30–40, wanaoishi hasa katika maeneo ya: Kaskazini mwa Iraq (Kurdistan ya Iraq), Kaskazini-magharibi mwa Iran,Mashariki mwa Uturuki na Kaskazini mwa Syria. WAKUDRI (Kurds), ambao kwa miongo mingi...
  8. JamiiForums Tanzania Vita vya iran na israel umbali wa nchi hizo unafanywa teknolojia hivi TZ tutaweza.

    Nimetafakari sana jinsi wenzetu wanaweza kupiga kwa kutumia makombora kwenda kwenye kambi za kijeshi,wapi walipo viongozi na hapo vita hivi nchi zote sio karibu zote zipo mbali. Sasa hapa kwetu tuna uchumi mzuri kuliko marekani na ulaya ndio natafakari. Nimeona aina za makombora wanayotumia...
  9. JamiiForums Tanzania Kupitia mtandao X iran imejibiwa na watumiaji wa naijeria

    Ndio maana kwa nchi yetu wanaogopa sana serikali.
  10. JamiiForums Tanzania Vita ya Israel na Iran .. tuna safari ndefu kama taifa

    Niliacha kufuatilia au kusikiliza hotuba za rais Samia au wateule wake baada ya kuona hajui anachoongea. Ukifuatilia vita hii utaamini maneno ya Donald Trump kwamba nchi zetu ni Shit-holes (mashimo ya uchafu) Hivi bara la Africa ( nchi zote 52) Zina uwezo kijeshi nusu ya inaonesha Iran au Israel?
  11. JamiiForums Tanzania Je, Vita ya Israel na Iran Inaweza Kugeuka Vita ya Kidunia? – Uchambuzi wa Kijasusi

    Vita kati ya Israel na Iran sasa si tena mivutano ya chini kwa chini. Ni vita ya moja kwa moja, yenye mashambulizi ya makombora, drones, na mashambulizi ya anga yanayoathiri raia na miundombinu. Swali linalozidi kuulizwa sasa ni: Je, vita hii inaweza kusambaa hadi kuwa vita ya kidunia? Huu hapa...
  12. JamiiForums Tanzania Trump: Iran, Israel zinahitaji 'kupigana' kabla ya kupatana

    Rais wa Marekani Donald Trump amezitaka Iran na Israel, ambazo zinashambuliana "kufikia makubaliano" ya kusitisha mapigano lakini amependekeza kuwa huenda nchi hizo mbili zinahitaji "kupigana" kwanza kabla ya kuafikiana.Rais wa Marekani Donald Trump amezitaka Iran na Israel, ambazo...
  13. JamiiForums Tanzania Trump aliiambia Israel isimuue kiongozi mkuu wa Iran

    Rais wa Marekani Donald Trump amekataa mpango wa Israel wa kumuua Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, maafisa watatu wa Marekani wameambia mshirika wa BBC wa Marekani CBS News. Trump aliripotiwa kumwambia Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwamba kumuua Khamenei "si wazo zuri"...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Iran yatoa onyo la kuhama mara moja watangazaji wa vituo vya habari vya Israel vya N12 and N14

    Iran yatoa onyo la kuhama mara moja watangazaji wa vituo vya habari vya Israel vya N12 and N14, taarifa kamili hapo chini kwa kimomboIran issues evacuation warning for Israeli news channels after broadcaster attack: state TV By AFP Today, 10:06 pm 1 Iran has issued evacuation warnings for...
  15. JamiiForums Tanzania Iran wanaweza kuunda bomu la nyuklia kwa muda wa wiki2 hadi mwezi mmoja! Lakini hawana nafasi

    Madhara ya hii vita Kama itasimamishwa basi Iran itafanya kila iwezalo kuunda bomu Kwa haraka haraka kama material yote yapo wanaweza kutumia wiki2 hadi mwezi mmoja. Tatizo ni muda Israel hampi Iran apumue anaharibu siraha zote na viwanda vinapigwa kiberiti. Israel anaelewa kama akimuachia...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Iran wanauwawa na Israel

    KWANINI VIONGOZI WA IRAN WANAUWAWA NA ISRAEL. Na. Comred Mbwana Allyamtu-CMCA Monday -16/06/2025 Marangu Kilimanjaro Tanzania. Pengine hili ndio swali la msingi la kujiuliza, toka mwaka 2023 Israel imefanikiwa kuwauwa viongozi wa juu kabisa wa Iran kwa kasi kubwa na kwa ufanisi mkubwa sana...
  17. JamiiForums Tanzania Katika vita ya Israel na Iran, wakati Israel anapiga kichwa cha Iran, huyo Iran anapiga mkia wa Israel

    Mod usifute huu uzu. Sijapendelea upande wowote ila nimesema ukweli. Nimefuatilia kwa karibu huu mzozo lakini nimegundua kitu cha tofauti. Iran inatuma utitiri wa mabomu ilimurani yepenye na kuanguka katika ardhi ya Israel. Wakati huo Israel ina mfumo wa kuyaripua yakiwa angani hivyo machache...
  18. JamiiForums Tanzania Tafadhali mwenye 'Video Clip' ya Mtangazaji (Mwanamama) wa Iran State Tv iliyoshambuliwa na Israel akikimbia Studio aniwekee ili niendelee Kucheka

    Israeli huwa hawabahatishi katika Target zao Kudadadeki. Sasa kama huyo Mtangazaji Mwanamama wa Televisheni ya Taifa Iran alikuwa anajifanya Kutangaza kwa Kujiamini na Kutoogopa nini kilimfanya atoke baru (akimbie) Studioni pamoja na Cameraman wake baada ya Kombora Tukuka la Israeli kushambulia...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Iranian Foreign Ministry spokesman Esmaeil Baghaei says Israeli strike hit hospital in Kermanshah, calls it a war crime

    21 minutes ago Iran says Israeli strike hit hospital in Kermanshah, calls it a war crime Iranian Foreign Ministry spokesman Esmaeil Baghaei said Monday that Israeli forces targeted Farabi Hospital in the western city of Kermanshah, calling the attack a “grave violation of international law” and...
  20. U

    JamiiForums Tanzania IRGC inasema Israel inatumia teknolojia ya kufuatilia simu za mkononi kutekeleza mauaji ndani ya Iran, ikiwa ni pamoja na wanasayansi wa nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote. Shirika la Habari la Fars linaloshirikiana na IRGC liliripoti Jumatatu. "Israel inatumia ufuatiliaji wa simu kuwaua watu nchini Iran. Hapo awali ilimuua Ismail Haniyeh kwa njia hiyo hiyo huko Tehran," chombo hicho kilisema. Fars aliongeza kuwa hata kuzima simu za rununu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…