iran

  1. Israel inaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano - Donald Trump!!!

    Trump amesema "Netanyahu anaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano na yeye nitaongoza kipigo hicho!! Katika mahojiano na jarida la Time linaloadhimisha siku 100 tangu arejee Ikulu ya White House, Rais wa Marekani alidai kuwa hakusimamisha Shambulizi dhidi ya vituo vya...
  2. Qatar ni hatari zaidi kuliko Iran' Inauma na kupuliza ni “Yuda Iskariote”

    'Qatar imekuwa mpatanishi katika migogoro mingi inayotokea huko Mashariki ya kati kati ya Israel na magaidi wa Hamas ni mara nyingi imejulikana katika ubadirishanaji wa mateka waliotekwa na magaidi wa Hamas hapo Oct 07 ,2023. Kwa upande wa pili Qatar ni mfadhili Mkuu wa magaidi wa Hamas ukiondoa...
  3. Aliyebakia ni Iran tu ili wazayuni watimize malengo yao

    Hezbollah wa Lebanon wamenyamazishwa kimya. Hamas kao lao limeangamizwa. Syria imepinduliwa. Houthis, US anawaangushia makombora mazito kila siku, muda sio mrefu wanajeshi 80,000 wa Yemen wanaopikwa huko Saudia watapelekwa kuitwaa Hodaida, ngome kuu ya Wahouthis na kuleta mwisho wao. Qatar...
  4. Kwa madude haya Iran inabidi akae kwa kutulia!

    Marekani imepeleka angalau ndege sita za kivita aina ya B-2 stealth katika kisiwa cha Diego Garcia, hatua inayotafsiriwa kama onyo kwa Iran kufuatia kuongezeka kwa mvutano Mashariki ya Kati. Ndege hizo, ambazo ni asilimia 30 ya ndege zote za aina hiyo za Marekani, zimeonekana kupitia picha za...
  5. Rasmi; Iran yasalimu amri kwa Marekani, yakubali mazungumzo huko Oman

    Ikumbukwe kuwa baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuiambia Iran kuwa itapigwa kipigo cha mbwa koko kama haitakubali mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani. Mara moja Rais wa Iran alitoka hadharani kupinga wito huo baada ya siku moja kiongozi wa Mapinduzi wa Iran Ayatollah Khamanei naye Ali...
  6. Kipigo kwa Iran kikifika Israel itashirikishwa- Donald Trump

    Mazungumzo na Iran yanayotarajiwa kufanyika kesho kama yatashindikana basi kipondo kwa Iran kitafuatia kabla ya hapo Israel atashirikishwa kikamilifu ili kuondoka kitisho kinachoikabili dunia kwa Iran kumiliki silaha za ki Nuclea.
  7. Mwendesha mashtaka mkuu wa Argentina ameomba kukamatwa kwa kiongozi wa Iran Khamenei kufuatia shambulio la bomu la 1994 nchini Argentina

    Mwendesha mashtaka Sebastián Basso wa Argentina ameomba hati za kimataifa za kukamatwa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, na wengineo kuhusiana na shambulio la bomu la AMIA mwaka 1994, ambalo liliua watu 85. Basso pia ametaka washukiwa wahukumiwe hata bila kuwepo mahakamani, kufuatia...
  8. Russia na Iran zaingia mkataba wa miaka 20 ya Kuingia Vitani endapo Mshirika atavamiwa

    🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇮🇷🇮🇷🇮🇷🇮🇷 Bunge la shirikisho la Russia (DUMA) limepitisha na kuongeza muda wa ushirikiano wa Kijeshi na Iran ikiwa na vipengele vya kuingilia Vita yoyote endapo mshirika atashambuliwa na Taifa lolote. ================== The Russian State Duma announced the ratification of the agreement...
  9. I

    Iran inasema iko tayari kwa makubaliano ya nyuklia ikiwa Marekani itaacha vitisho vya kijeshi

    Iran inasema iko tayari kwa makubaliano ya nyuklia ikiwa Marekani itaacha vitisho vya kijeshi. Iran iko tayari kushirikiana na Marekani katika mazungumzo siku ya Jumamosi kuhusu mpango wake wa nyuklia "kwa lengo la kusaini makubaliano", Waziri wake wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi amesema...
  10. U

    Irani imehamisha makombora mapya hatari ya masafa marefu kwa makundi ya kigaidi nchini Iraq yana uwezo kupiga hadi barani ulaya

    Wadau hamjamboni nyote? Iran imehamisha makombora mapya ya masafa marefu kwa makundi ya wawakilishi nchini Iraq katika wiki iliyopita, na kukaidi matumaini kwamba wanamgambo wanaoipinga Marekani wangepokonya silaha huku kukiwa na wasiwasi wa kuongezeka kwa Rais wa Marekani Donald Trump...
  11. I

    Baadhi ya wanamgambo wa Iraq wanaoungwa mkono na Iran wako tayari kusalimisha silaha chini ya shinikizo la Marekani

    Baadhi ya wanamgambo wa Iraq wanaoungwa mkono na Iran wako tayari kusalimisha silaha chini ya shinikizo la Marekani - Reuters. Vikundi vya wanamgambo nchini Iraq vimejiandaa kusalimisha silaha zao kwa mara ya kwanza ili kuepusha tishio la kuongezeka kwa mzozo na Marekani, kulingana na makamanda...
  12. Marekani kuishambulia Iran ndo utakua mwisho wa taifa hilo!!

    Hivi hamjui kuwa current situation ni kwamba muda wowote US na Israel wanaenda kuishambulia Iran kijeshi? Mpango uliopo mezani ni kutumia silaha za nyuklia zilizorutubishwa na urani chache kwa ajili ya kuvilenga vituo vya Nyuklia na jeshi la Iran Kwa maana wanaona sasahivi ndo wakati muafaka...
  13. Defense Minister Katz reveals: Iran funded Hamas with $500 million to destroy Israel

    Defense Minister Israel Katz revealed for the first time documents found in Hamas tunnels, proving a direct connection between Yahya Sinwar and Muhammad Deif and the commander of the Iranian Quds Force. In the documents, senior Hamas officials demand $500 million from Iran for the destruction...
  14. Imekuwaje Iran Dhaifu KUWA na Vikundi karibu na Israel wakati Israel/US hawana hata migambo wa kukodi ili kuisumbua Iran?

    Kiuwezo US/Israel wako juu mara mia KWA Iran. Wanawashirika karibu Kila nchi ya kiarabu. Inasemekana hata kiongozi wa ISIS Albagdad alikiwa ni Mossad. Osama alikuwa CIA. Najiuliza nchi kama Israel/US wameweje kuruhusu Iran ikatengeneza Hesbullah karibu na Israel, Ikawapa nguvu Hamas karibu na...
  15. Imam wa Iran: "Wanawake ni wanyama walioumbwa na allah ili kutumika na Wanaume"

    Anaendelea kusema: "Wanawake si tofauti na ng’ombe, kondoo, farasi, au nyumbu. Mungu aliwaumba wanawake wafanane na wanadamu ili wasiwaogope wanaume.”
  16. A

    US wamenza kulia Yemen wanataka nchi ziungane kuwapiga Yemen (Al Houthi ) si alijidai mwamba huyu Trump

    Tuliwambia Yemen huwa hashindwi vita, US ameanza omba nchi zingine wawasaide kupambana na Yemen ( Al Houthi ) https://youtu.be/zggM6Zu3ZYs?si=-bVmlSCOBTuYN7nq
  17. Kwanini Iran inakatazwa kuwa na Nuclear?

    Naomba kuuliza ni kwanini Iran haruhusiwi kua na Nuclear? Wakati India, south africa, uk, russia, israel, pakistan, china nk wanazo!!! Kwanini Iran haruhusiwi?
  18. Baada ya majeshi ya Marekani kushusha kipondo cha kufa mtu huko kwa wahouthi Iran asalimu amri kuondoka huko Yemen

    Iran imeripotiwa kuwaamuru wanajeshi wake kuondoka Yemen na inapunguza uungaji mkono wake kwa Wahouthi huku kukiwa na mashambulizi makubwa ya anga ya Marekani dhidi ya kundi hilo la waasi. Gazeti la Telegraph la Uingereza limemnukuu "afisa mkuu wa Iran" akisema kwamba Tehran inapunguza uungaji...
  19. Ungana nami katika kukuletea updates za maandalizi na mikakati ya US kuipiga Iran

    Mada hii itakuwa inakuletea updates zote zinazopangwa na US akishirikiana na Israel dhidi ya Iran Hadi siku ambayo Iran itaenda kupigwa...... Toka juzi kuna zaidi ndege 6 hatari za kivita za B-2 bomber zimewasili tayari Huko DIEGO GARCIA AIR BASE. Tukumbuke DIEGO GARCIA ni kisiwa kilichopo...
  20. Marekani kuilazimisha Iran iachane na nyuklia wakijua wao na Israel wanazo.Si ndio kulazimisha ujinga huko.

    Kisingizio kikubwa cha Marekani kutaka kuipiga Iran ni kwamba eti lazima iingie makubaliano mapya nayo katika muda uliowekwa na Marekani ili ipokee masharti mapya au ikishindwa ipigwe. Iran imesema hata wakitaka kufanya majadiliano mapya basi si kwa njia ya vitisho kama hivyo.Na kwamba wakipigwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…