iran

  1. JamiiForums Tanzania Meli ya kivita ya Iran yakimbia nduki na kuomba hifadhi Sri lanka

    Baharini hapakaliki tena, kuna nyambizi ya Marekani inapita chini kwa chini ikisaka meli za Iran, mpaka sasa zimelipuliwa 25, kuna moja nahodha wake aliona isiwe tabu katoka nduki na kukimbilia usalama Sri Lanka, taifa la Mabudhist, au mnaopenda kuwatukana kwa kuwaita makafir licha ya kwamba...
  2. JamiiForums Tanzania Trump: "Kutakuwa hakuna makubaliano yoyote na iran isipokuwa kujisalimisha bila masharti"

    “Hakutakuwa na makubaliano yoyote na Iran isipokuwa kujisalimu amri bila masharti (UNCONDITIONAL SURRENDER). Baada ya hapo, na baada ya kuchaguliwa kwa kiongozi au viongozi bora na wanaokubalika, sisi pamoja na washirika na marafiki wetu wengi wazuri na jasiri tutafanya kazi bila kuchoka...
  3. JamiiForums Tanzania TB Joshua alitabiri kichapo cha Iran tokea Israel miaka 12 iliyo pita

    KWELI UNABII LAZIMA UTIMIE ============ Tarehe 5 Februari 2012, mchungaji marehemu Temitope Balogun Joshua (TB Joshua) alitoa unabii akizungumzia mvutano kati ya Iran na Israel, akionya kwamba mvutano huo unaweza kugeuka kuwa vita kubwa na kuhusisha mataifa mengine duniani kama vile United States.
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani ameshindwa kuimaliza Iran haraka?

    Muda huwa ni mwalimu mzuri sana. Nakumbuka mabazazi na madunya wa humu ndani mnamo tarehe 24 February 2022 siku ambayo Urusi alivamia Ukraine walinitafuta na kunisimanga sana. Wengine walidiriki hadi kukashifu taaluma yangu. Walishangaa kwamba kwanini Urusi ameshindwa kuivamia Ukraine na...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Je, Yanayotokea Iran ni Utimilifu wa Unabii wa Yeremia Sura ya 49?

    Mijadala imekuwa mingi juu ya unabii ndani ya biblia uliotolewa na nabii Yeremia, Yeremia 49 kuhusu nchi ya Elamu, ambayo ni Iran ya leo. Nabii Katika kufafanua zaidi juu ya unabii huo, Pirooz Abir, muiran mwenye asili ya Kiyahudi, ambaye anamwamini Yesu kuwa ndiye Masiha, anachambua mambo...
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel

    Kwa sasa kumekuwepo na taarifa amabayo imechapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa facebook kwenye ukurasa wa Katunzi Blog ukiwa na nukuu ya Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel Katika chapisho limeonekana kuwa na nukuu hii "Baba na mama, kama mwana wako au binti yako...
  7. JamiiForums Tanzania CNN reporter shocked by the level of STABILITY in Iran despite the ongoing Zionist aggression

    CNN reporter shocked by the level of STABILITY in Iran despite the ongoing Zionist aggression.
  8. JamiiForums Tanzania Mitandao Yote Imejaa Picha za Iran Kuishambulia Israel Kwa Sababu Dunia Nzima Imechukia Uonezi wa Israel

    My Take Ushindi mwisho wa siku ni wa Israel/USA kama tuu ilivyokuwa Chadema kutamba mitandaoni ila ushindi uko Kwa CCM.
  9. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Iran na Israel: Media za Tanzania kaeni kimya tu

    MUUNGWANA AKIVULIWA NGUO HUCHUTAMA. Tukubali tukatae ila Tanzania tuna media za kipuuzi kuwahi kutokea, sio Clouds, IPP Media, mwananchi ila Media za Tanzania kwa 90% ni utumbo kabsa. Mwaka uliopita, wakati Tanzania ikipitia kipindi kigumu cha mvutano wa kisiasa baada ya uchaguzi, taarifa...
  10. JamiiForums Tanzania Super Power aomba msaada wa kijeshi kutoka kwa Ukraine ili wasaidiane kupambana na Iran

    Niaje waungwa Hii habari ingeandikwa na Al Jazeera misukule ya Netanyahu ingesema ni uongo, lkn kwa bahati nzuri imeandikwa na gazeti lao wenyewe kupitia kauli halali ya raisi wa Ukraine Mr Zelensky. Inapofikia hatua ya super power kumuomba maiti sanda, au muuguzi kumuomba mgonjwa uji, basi...
  11. JamiiForums Tanzania Meli ya Iran iliyokua inatumika kubeba na kushambulia kwa drones yagaragazwa

    Hii meli ilikua imejificha baharini, kazi yake kutuma mamia ya drones, imekutwa huko huko na kufutwa kwenye uso wa dunia. Yaani Iran imesambaratishwa na kuachwa hoi kabisa, kiasi kwamba hivi karibuni itakua mnyonge wa yeyote anayetaka kuipiga, hata kainchi ka Afrika kataweza kujipigia...
  12. JamiiForums Tanzania Iran yatishia kushambulia kinu cha nyuklia cha Dimona cha Israel

    Afisa wa jeshi la Iran amesema kuwa jaribio lolote la Marekani au Israel la kujaribu kuupindua utawala wa Iran kupitia “machafuko ya silaha” litakabiliwa na jibu la moja kwa moja ambalo linaweza kujumuisha kulenga kinu cha nyuklia cha Dimona cha Israel. Afisa huyo aliongeza, katika matamshi...
  13. JamiiForums Tanzania Vita iliyoanzishwa na Marekani dhidi ya Iran yaleta changamoto kubwa kwa Afrika

    Marekani na Israeli zimeanzisha vita dhidi ya Iran zikipuuza sheria za kimataifa. Ingawa bara la Afrika liko mbali na uwanja wa vita katika Ghuba ya Uajemi, lakini kutokana na utandawazi wa uchumi duniani, umbali si dhamana ya usalama. Bara la Afrika lina wasiwasi mkubwa: ingawa halitahusika...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mnadhani wananchi wa Iran na Venezuela wanajali Marekani kuchukua mafuta ? wananchi ni maskini, wanauawa, wamekimbia nchi, watakataaje msaada ?

    Hakuna free lunch hapa duniani. Lakini afadhali kusaidiwa na mtu wa mbali unajua kabisa atachukua sehemu flani ya rasilimali kisha awaache muendelee na maisha mengine kwa uhuru kuliko kuongozwa na ndugu yako mlafi, kakuacha katika umasikini, Mbaya zaidi ukimhoji, mnapigwa risasi au kufungwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tuliokwama Iran, tunahitaji ndege Ije kutuchukua

    Kupitia BAKWATA na mamlaka husika tunahitaji Msaada wa haraka ndege yetu ya ATC ije Tehran kutuchukua maana hali si hali huku ndugu zangu. Kama kuingia anga la Iran Itakua mtihani basi ufanyike utaratibu tutoke Iran kwa njia ya Barabara hadi nchi jiran mtakayoichagua
  16. JamiiForums Tanzania Kumbukeni hii vita sio ya US/Israel dhidi ya Iran bali ni dhidi mamlaka ya kigaidi ya Iran/IRGC

    Iran ni ya waajemi na sio ya utapeli wa itikadi kali.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Washirika wa Iran, wote wanaamini Trump aliwekwa na Putin uongozini, halafu hao hao wanalialia Putin aingilie kati vita vyao

    Kama Iran na washirika wake wanaamini Trump ni zao la Putin, kwa nini pia wasiamini kwamba Trump analinda masilahi ya Putin kwa kuwapiga Iran? Siku zote kobazi wamekuwa wakiamini, uchaguzi mkuu wa Marekani uliingiliwa na kuambiwa kupitia intelejensia ya Russia ikiongozwa na Rais wa nchi hiyo...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Iran Kisha Fanya Majaribio ya Nuclear

    Ujumbe ndio huo aliye kuwa anawazuia wasifanye majaribio wamemuwa sa walicho enda kushambulia Iran asiwe nacho kisha kuwa Nacho. Trump na Netanyahu watajuta kumuwa Ayatollah Ali Khomen https://youtu.be/2lMBup-xlVo?si=URBYVLXw-5Udseao
  19. JamiiForums Tanzania SI KWELI Iran yamnyonga jenerali wake wa jeshi kwa kumhisi ni msaliti

    Kumekuwepo na taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, zikidai kuwa Jeshi la Iran kupitia Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limemnyonga Jenerali Esmail Qaani, ambaye ni kiongozi wa Kikosi cha Quds. Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyochapishwa na ukurasa wa Smart tv...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na wazee wa hizi kazi wawili tu. Saddam Hussein na Osama Bin Laden, Viongozi wa Iran wanachojua ni kupiga domo na kutegemea proxy wars,

    Marekani walipoenda Iraq kwa Saddam Hussein hawakuweza kufikia hata kwa theluthi walichokiweza Iran, yani Iran wameigeuza kama sebule yao, wanajipigia tu. Osama alikuwa mwiba sana, hadi Marekani wanamkamata ilikuwa shughuli nzito. Iran alitegemea zaidi kufanya mashambulizi kwa Proxies kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…