iran na marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Iran Ikipigwa Nuclear Israel Nayo Haitabakia Salama

    https://youtu.be/4YyvrbX5M2E?si=vnZtckww3BwohwpF
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli CIA ya Marekani na Mossad ya Israel wameshindwa kabisa kuipindua Serikali ya Iran?

    Jamani, hivi ni kweli haya mataifa makubwa kabisa katika medani za ujasusi na mbinu za kivita kuwa wameshindwa kumshikisha adabu Iran na kufanya regime change ndani ya taifa la Iran!? Bila shaka kila mtu humu ndani anajua kuwa CIA na MOSSAD ni idara za ujasusi namba moja hapa duniani. Nini...
  3. K

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, ndege za kivita za B-2 spirit zimeteketeza jeshi la majini la Iran katika mlango wa Hormuz ?

    Baada ya kukutana na taarifa kuwa majeshi ya majini ya Iran yameshambuliwa nimeenda dip ili kujua chanzo cha sababu hiyo ila chaajabu ni kwamba nimekutana na taarifa tofauti je nikweli ilikuwa mashambulizi au taarifa zimechanaganyika?
  4. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Kinachohofiwa Kutokea

    Je, dunia inaambiwa ukweli wote kuhusu mzozo wa Iran, Marekani na Israel? Katika uchambuzi huu mzito kutoka Kutoka Maktaba ya Mohamed Said, tunaingia ndani ya siasa za Mashariki ya Kati na kuangalia maswali ambayo mara nyingi hayapewi nafasi ya kutosha katika mjadala wa kimataifa. Profesa...
  5. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Kipindi Maalum IBN TV

    Mzee Mohamed Said anaielezea Marekani kama taifa lililopoteza nguvu zake na kushindwa vibaya katika mzozo wa sasa: "Irani imedhibitishia dunia kuwa hawa Marekani ni chui wa karatasi". "Marekani ameishiwa nguvu huwa ameishiwa silaha kipigo alichopata katika zile vituo vyake vemweka katika hali...
  6. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Mungu Apitishie Mbali Vita Vya Nuclear

    Kuhusu Kudhoofika kwa Nguvu za Marekani na Israel Mohamed Said anaeleza kuwa Marekani imepoteza nguvu zake za kijeshi dhidi ya Iran kiasi cha kulinganishwa na "chui wa karatasi": "...tunavyodhani kuwa ni nguvu za Israeli ni nguvu za Marekani umekija kujulikana kuwa hawa wakitumia sana...
  7. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Iran Taifa la Mashahidi na Mashujaa

    https://youtu.be/2AJc0jjjz9k?si=IBOQqohMS8pQIGn9
  8. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Marekani Yasalimu Amri: Kila Mchuma Janga Hula na Wakwao

    Mohamed Said anakumbuka wimbo waliokuwa wakiimba utotoni huko Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, walipokuwa wakicheza kwenye mapembea: "...tukikaa kwenye kile tulikuwa tunaimba mchimba kisima akaingia mwenyewe wewe kaingia mchimba kisima ndoa hii mchimba kisima kaingia mwenyewe fedha hii..."...
  9. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran Na Marekani: Kuangamia Kwa Wote

    Mohamed Said, hizi hapa ni nukuu muhimu zinazohusu mzozo wa Iran na Israel: Kuhusu Uwezo wa Kijeshi wa Iran dhidi ya Israel Vyanzo vinaeleza kuwa hali ya sasa imebadilika na kuifanya Israel kuwa katika hatari zaidi: "Iran sasa inaweza kuipiga Israel kad inavyotaka". Inaelezwa kuwa Marekani...
  10. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Vita Vinazidi Kupanuka

    Kulingana na vyanzo ulivyotoa, mwanahistoria Mohamed Said anatoa uchambuzi wa kina kuhusu mzozo wa kijeshi kati ya Iran na Marekani, akiangazia mbinu za kivita, ukimya wa kimataifa, na mabadiliko ya kijiografia katika nchi za Ghuba. Hizi hapa ni nukuu muhimu kuhusu vita hivyo: Kuhusu Kichapo na...
  11. JamiiForums Tanzania Iran, wamesema nchi yoyote itakayokubali pendekezo la Trump, kuchukua pesa za Iran itapigwa marufuku kabisa kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz

    Wanaukumbi. Msemaji wa Vikosi vya Jeshi la Iran alisema: "Rais wa Marekani anakusudia kuhamisha mali zilizozuiliwa za Iran kwa makampuni na nchi zinazodai kupata hasara wakati wa vita." Msemaji huyo aliongeza: "Kuanzia wakati huu na kuendelea, kampuni au nchi yoyote itakayokubali pendekezo...
  12. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Maandamano Kuwait

    Kulingana na vyanzo ulivyotoa, neno "maandamano" na harakati za kudai mabadiliko zimezungumziwa katika mazingira mawili tofauti: maandamano ya wananchi katika nchi za Ghuba dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani, na wito wa vijana wa Tanzania kuchukua hatua za ujasiri kudai mabadiliko ya...
  13. JamiiForums Tanzania Vita ya Iran na Marekani, kwasasa Israel kajitenga, je ni sababu hatusikii tena vifo vya viongozi wa Irani na mashambulizi kwenye maeneo nyeti

    Kuna uwezekano Israel ikimuachia US apambane mwenyewe vita itakuwa kama ya Russia na Ukraine, haiishi ni milipuko tu ya kujibizana. Tofauti na Kama Israel ikiingilia kati. Huenda ndiyo sababu pia Irani hawaishambulii Israel, wanaishia Bahrain, Saudi nk.
  14. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Inashangaza Marekani Haikubaini Kuipiga Iran Ni Kujiangamiza Yenyewe

    Kulingana na vyanzo ulivyotoa, mwanahistoria Mohamed Said anachambua mzozo kati ya Iran na Marekani akizingatia athari zake kwa mataifa ya Ghuba na mabadiliko ya nguvu za kijeshi duniani. Hizi hapa ni nukuu na hoja muhimu: Kibri na Maangamizi Mohamed Said anabainisha kuwa mzozo huu unachochewa...
  15. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Hatma

    Karibu kwenye Kutoka MAKTABA ya MOHAMED SAID PODCAST.Katika kipindi hiki tunafanya uchambuzi wa kina kuhusu mzozo unaoendelea kati ya Iran, Marekani na Israel, tukitafakari historia, siasa za kimataifa, nafasi ya dini, na athari zake kwa ulimwengu wa leo. Tunazungumzia simulizi zinazotolewa...
  16. JamiiForums Tanzania Iran na Wafuasi wa Iran Mlikua Mnaamini Marekani anaweza kulipa Iran Dola Billion 300? Tuwasaidie hawa Watu kuwatoa ujinga

    Moja ya kichekesho kikubwa ni pale ambapo Iran na Wafuasi wa Iran walikua wanaamini marekani Anaweza kuwaliopa Dola billion 300🤣🤣 Hapa niligundua Hawa watu Wana upeo mdogo sana. Kabisa Mlikua mnaamini Iran watalipwa hizo pesa kwa ajili ya madhara ya vita? Marekani Kila Leo anaamka...
  17. JamiiForums Tanzania Iran imesema itafunga tena mlango wa Hormuz ikiwa vurugu za Marekani zitaendelea na wapo tayari kwa vita vya muda mrefu

    Wanaukumbi. BREAKING: IRAN FM ARAGHCHI YADOKEZA KUFUNGA TENA NJIA YA HORMUZ IKIENDELEA KUONGEZEKA: "Ikiwa ongezeko la hivi karibuni la hali litaendelea, itakuwa vigumu kuweka NJIA YA HORMUZ Wazi Chini ya makubaliano yaliyosainiwa na Marekani, Iran ndiyo nchi pekee inayohusika na Kusimamia...
  18. JamiiForums Tanzania Ya Iran na Marekani ijue historia"Iran(persia)ndo guardian angel wa mashariki ya kati

    Persians Hao jamaa wanahistoria ya muda mrefu wa kuwa watetezi wakubwa wa jamii za mashariki YA Kati toka kuanzianzishwa kwa ustaarabu wa kiajemi... Hawa jamaa waliwaokoa waisrael wa kale waliokua wamechukuliwa utumwani Babel(Iraq YA Leo) na namna walivoushinda ufalme wa belishaza Kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Jukwaa Limeshusha Pazia Lake

    https://youtu.be/Rm1DcLSMNBc?si=QpLcMFE-9e_jUL6q
  20. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Nani Kasalimu Amri Iran au Marekani?

    "Naamka napita mitandaoni kwanza kabisa habari muhimu naikuta Aljazira wanatangaza wanasema Marekani na Irani wamekubaliana kumaliza vita. Basi mimi kwanza nikaitizama kile cha habari... Kwani vita hivi alianza nani? Na nani kila siku alikuwa anasema atampigia nani?. Ukweli ni kuwa Marekani na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…