iran na marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ritz

    JamiiForums Tanzania Iran imesema itafunga tena mlango wa Hormuz ikiwa vurugu za Marekani zitaendelea na wapo tayari kwa vita vya muda mrefu

    Wanaukumbi. BREAKING: IRAN FM ARAGHCHI YADOKEZA KUFUNGA TENA NJIA YA HORMUZ IKIENDELEA KUONGEZEKA: "Ikiwa ongezeko la hivi karibuni la hali litaendelea, itakuwa vigumu kuweka NJIA YA HORMUZ Wazi Chini ya makubaliano yaliyosainiwa na Marekani, Iran ndiyo nchi pekee inayohusika na Kusimamia...
  2. YASIYOSEMWA

    JamiiForums Tanzania Ya Iran na Marekani ijue historia"Iran(persia)ndo guardian angel wa mashariki ya kati

    Persians Hao jamaa wanahistoria ya muda mrefu wa kuwa watetezi wakubwa wa jamii za mashariki YA Kati toka kuanzianzishwa kwa ustaarabu wa kiajemi... Hawa jamaa waliwaokoa waisrael wa kale waliokua wamechukuliwa utumwani Babel(Iraq YA Leo) na namna walivoushinda ufalme wa belishaza Kwa...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Jukwaa Limeshusha Pazia Lake

    https://youtu.be/Rm1DcLSMNBc?si=QpLcMFE-9e_jUL6q
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Nani Kasalimu Amri Iran au Marekani?

    "Naamka napita mitandaoni kwanza kabisa habari muhimu naikuta Aljazira wanatangaza wanasema Marekani na Irani wamekubaliana kumaliza vita. Basi mimi kwanza nikaitizama kile cha habari... Kwani vita hivi alianza nani? Na nani kila siku alikuwa anasema atampigia nani?. Ukweli ni kuwa Marekani na...
  5. Ritz

    JamiiForums Tanzania Lapid: Makubaliano ya Iran na Marekani ni pigo kubwa kwa diplomasia ya Israel

    Wanaukumbi. Kiongozi wa upinzani nchini Israel na waziri mkuu wa zamani, Yair Lapid, amemkosoa vikali Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kufuatia taarifa za kutiwa saini kwa hati ya maelewano kati ya Iran na Marekani. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa X, Lapid alieleza makubaliano...
  6. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Baada ya makubaliano ya Iran na Marekani kufanikiwa. Italy, UK, France na German zakubaliana kuiondolea vikwazo Iran

    Niaje waungwana Dunia imebadilika aisee. Leo hii zayuni ( Netanyahu ) anaitwa muuaji anaetafutwa kufikishwa kwenye Criminal Court. Wakati nchi hizo zikiondoa vikwazo kwa Iran, hili zayuni liuaji Netanyahu haliwezi kutia mguu wake katika nchi yoyote hapo juu bila kutiwa nguvuni na kukabidhiwa...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Zimetimu Siku 100

    https://youtu.be/X3fwMLuxl1Y?si=rLRYL_eeUQ-SpxJv
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Oman Kushambuliwa na Marekani

    https://youtu.be/9yP5oYnlva4?si=MbMw5u4P2bino_W7
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Imekuwaje Israel Imefunikwa?

    https://youtu.be/IdS3eoAdqhU?si=drTe0Dyah_0mscBF
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Yanayoelezwa na Mitandaoni

    https://youtu.be/Ptjr5nBRPGw?si=nZy37faqqA-UFxu4
  11. britanicca

    JamiiForums Tanzania Trump: Jeshi la wanamaji la Marekani lakamata Meli ya Iran baada ya jaribio la kuvunja utaratibu

    Rais Trump alisema meli ya mizigo yenye bendera ya Iran iitwayo TOUSKA ilijaribu kupenya vizuizi vya majini vya Marekani na ilikamatwa na meli ya USS Spruance katika Ghuba ya Oman. Baada ya kukataa amri ya kusimama, meli hiyo ilidhoofishwa na sasa iko chini ya udhibiti kamili wa Marekani, huku...
  12. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Iran yafunga tena Mfereji wa Hormuz, yaituhumu Marekani kwa “uharamia baharini”

    Hali ya sintofahamu imeongezeka katika Mlango-Bahari wa Hormuz baada ya Iran kutangaza kuwa imerudisha udhibiti wake katika njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani. Tangazo hilo limetolewa na jeshi la Iran kupitia amri yake ya operesheni, Khatam Al-Anbiya. Katika taarifa hiyo, Iran...
  13. astalavista

    JamiiForums Tanzania Pata bure mfumo wa bulk SMS, API na msg za trial.

    Ni sisi ONFON MEDIA pekee ambao tunakupatia mfumo wa BULK SMS bure, tunafanya API buree, na tunakupatia msg za majaribio buree. Pale utakapokuwa tayari kununua msg kwajili ya matumizi yako utashangaa zaidi, kwani gharama zetu ni nafuu kulinganisha na popote pale. Sisi ndiyo tunawauzia hao...
  14. dogman360

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Putin kashindwa kufanya kwa Zelenskyalichofanyiwa Ayatollah wa Iran na Marekani?

  15. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ni kichaa pekee anaweza kulinganisha uwezo wa Iran na Marekani kivita

    Ukweli ni kwamba uwezo wa Iran kivita unapaswa kulinganishwa na vinchi kama UAE, Egypt, Palestine na vinchi vingine vya kipuuzi.
  16. H

    JamiiForums Tanzania Iran yasimamisha mauaji ya waandamanaji walihukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa hofu ya kushambuliwa na Marekani

    Kufuatia Agizo la dikteta Ayatollah kuwa kesi za waandamanji waliokamatwa ziende haraka na wahalifu wapate adhabu wanayostahili, zoezi la kuwanyonga waandamanaji waliokuwa wamekamatwa lilitakiwa lianze leo nchini kote. Kutokana na taarifa hiyo Marekani ilijiandaa kuingilia kati kijeshi mara...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran ilionywa iache kuua raia, ikashupaza shingo. Marekani waagiza jeshi lake liondoke Qatar

    Baadhi ya wafanyakazi wameelekezwa kuondoka katika kambi ya kijeshi ya Marekani ya Al Udeid nchini Qatar ifikapo jioni ya Jumatano, kwa mujibu wa ripoti ya shirika la habari la Reuters lililonukuu wanadiplomasia watatu. Ripoti hiyo inakuja wakati Marekani ikitoa onyo kuwa inaweza kuingilia kati...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Marekani inachunguza matumizi ya nguvu dhidi ya waandamanaji Iran

    Marekani imesema itaingia mzigoni ikiwa itabainika kwa mapolisi wa Iran waliua waandamanaji kwa makusudi. https://www.instagram.com/p/DTAREQjgYoa/?igsh=MWRnM2d2bnEzeXluZA==
Back
Top Bottom