iran na israel

The Iran–Israel War is an ongoing armed conflict between Iran and Israel. The conflict is considered an escalation from previous attacks by Iran and Israel. Iran and Israel have previously traded strikes in April 2024 and in October 2024.
Israel, in a surprise attack, targeted military and nuclear infrastructure and personnel, killing the military leadership of the Islamic Revolutionary Guards as well as leading nuclear scientists. Israel destroyed several airbases and damaged nuclear facilities. Iran retaliated by launching ballistic missiles against targets in Israeli towns and cities in response. Iran also warned that it would target U.S., British, and French military bases and ships in the region if those countries assisted Israel.
The war began during a time of crisis in the Middle East that ensued following the October 7 attacks, including the Gaza war, Israel–Hezbollah conflict and Red Sea crisis. In the ensuing conflict, Israel targeted the military leadership of Hezbollah and Hamas.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kwa hiyo Iran wameshindwa kabisa kulipiza kisasi dhidi ya Netanyahu?

    Kwa hiyo Iran ndio wameshindwa kabisa kulipiza Kisasi cha Netanyahu kumbamiza kiongozi wao mkuu Ayatollah kwa sekunde 40 ? waliapa kwamba wangelipiza kisasi kwa kumuua Benjamin Netanyahu, lakini hadi sasa wameishia kusambaza video na picha za AI ambazo zimeshakuwa expired, ukweli unaonekana...
  2. S

    Mara baada ya Iran kutishia kuretaliate kupiga miundo mbinu ya nishati israel na mashariki ya kati hatimaye Trump aufyata

    Maneno ya aliyekuwa mkuu wa CIA ya kwamba D.Trump hana mipango madhubuti kuhusiana na Iran sasa yanatimia,juzi Trump alitishia kupiga miundo mbinu ya umeme ya Iran endapo hatoweza kuachia mlango wa Hormuz. Haikupita siku ambapo hio jana kamanda mkuu wa IRGCC alijitokeza na kusema endapo Iran...
  3. M

    Kwa mara ya kwanza natofautiana na Mange Kimambi juu ya msimamo wa Iran

    Mangi kimambi naye anasimama na watu wengine katika kuushutumu utawala wa Kiisilamu wa Irani kusema ni mgumu afadhali ule wa Saudia arabia na baadhi ya inchi zingine za Kiisilamu Nimeona ngoja niwajibu watu wote waujue Uisilamu wa kweli,Ukisoma historia ya kweli kabisa ya Uisilamu alioishi nao...
  4. ERTUGRUL BEY

    Undumilakuliwi kuhusiana na Mtazamo juu ya Iran na Israel kuhusiana na Nyuklia

    My people, Kwanza nianze kwa kusema Mimi ni shabiki namba moja hapa Afrika Mashariki wa Islamic Republic of Iran,na nina sababu za kufanya hivyo. Ni Taifa ambalo limekuwa likiangaliwa katika mlengo hasi siku zote,shutuma za kuhatarisha amani Mashariki ya kati wao,shutuma kwamba ni wafadhili wa...
  5. W

    Mataifa ya G7 Yakaribisha Mpango wa Kutoa Akiba ya Mafuta Kudhibiti Kupanda kwa Bei ya mafuta

    Mataifa ya G7 yamesema yataunga mkono hatua ya pamoja ya kutoa mafuta kutoka kwenye akiba zao za kimkakati ili kukabiliana na kupanda kwa bei kwa kasi tangu kuanza kwa vita kati ya Marekani, Israel na Iran. Kundi la Saba (G7) ni jukwaa la kiserikali linaloundwa na nchi za Canada, Ufaransa...
  6. M

    Kuna mtego Iran anaingia pasipo kujua

    Kuna mtego ambao Iran anaingia pasipo kujua Ushabiki wekeni pembeni tujiulize kabisa kama Marekani na Israel wana uwezo wa kujua siri za ndani ya Iran yaani nina maana kujua wapi viongozi wa juu wa Iran walipo na kuwaua. Je, washindwe kujua uwezo kamili wa kivita wa Iran? Je kama walijua Iran...
  7. Infropreneur

    Iran na Israel zinapigana bila kujali wala kuheshimu Ramadhani na Kwaresma. Mwafrika uliyeletewa dini, unafunga na kushinda njaa

    Amka wewe mwafrika! Wake up from your slumber! Ramadhani na Kwaresma ni vipindi vya mchongo! Vipindi hivi havina chochote wala lolote. Sanasana ni likizo fupi ya watenda maovu! Kama kweli Ramadhani na Kwaresma ni vipindi bora vya toba, matendo mema na vipindi vya maana kabisa kwa huyo...
  8. Damaso

    Mgogoro wa Iran na Israel: Media za Tanzania kaeni kimya tu

    MUUNGWANA AKIVULIWA NGUO HUCHUTAMA. Tukubali tukatae ila Tanzania tuna media za kipuuzi kuwahi kutokea, sio Clouds, IPP Media, mwananchi ila Media za Tanzania kwa 90% ni utumbo kabsa. Mwaka uliopita, wakati Tanzania ikipitia kipindi kigumu cha mvutano wa kisiasa baada ya uchaguzi, taarifa...
  9. Mindyou

    Mrs Who Are You yuko wapi ? Marekani na washirika wake wameanza kujibu hili swali huko Iran

    Ni swali tu wakuu So far sijaona Mchina wala washirika wake wakiitetea Iran kwenye hiki kinachoendelea huko Yaani Iran kapigwa asubuhi sana kabla raia hawajapata mtori na visusio Sasa kuna huyu mmoja kutoka Malawi aliwauliza Marekani na washirika wake kuwa who are you? Naona majibu na...
  10. Echolima1

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu atoa salamu za Krismas kwa Wakristo wote!!

    Ili kuuhakikishia iulimwengu na wanafiki wanaoeneza uongo kuwa Israel inawachukia wakristo Waziri Mkuu wa Israel kama kawaida yake ya kila mwaka usiku huu amewatumia salamu kuwatakia Kheri wakristo wote duniani. Ritz Adiosamigo Webabu gTurn Mnateseka mkiwa wapi?
  11. Echolima1

    Iran ikiendelea kurutubisha Uranium Israel itamilikishwa ndege ya kimkakati B-2!!

    Wabunge wa Marekani wameanzisha Sheria ya Bunker Buster, ambayo itaidhinisha Rais Trump kuhamisha ndege za B-2 na mabomu ya GBU-57 ya bunker-buster kwenda Israeli ikiwa Iran itarejelea utengenezaji wa silaha za nyuklia. Hatua hiyo inajibu hofu kwamba Iran inaweza kuanza tena kurutubisha mali...
  12. The Zanzibar Echo

    Papa Leo azitaka Iran na Israel kuwajibika na matendo yake

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa Israel na Iran kuonyesha hali ya uwajibikaji katika matendo yao wakati mzozo kati ya mahasimu hao wawili ukizidi kufukuta. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa Israel na Iran kuonyesha hali ya...
  13. Ojuolegbha

    Serikali yawarejesha Watanzania 42 kutoka nchini Iran na Israel

    SERIKALI YAWAREJESHA WATANZANIA 42 KUTOKA NCHINI IRAN NA ISRAEL. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili. Akizungumza mara baada ya kuwapokea...
  14. Ojuolegbha

    Serikali ya warejesha Watanzania 42 kutoka nchini Iran na Israel

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili. Akizungumza mara baada ya kuwapokea Watanzania hao kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
  15. Ojuolegbha

    Serikali yawarejesha Watanzania 42 kutoka nchi Iran na Israel

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili. Akizungumza mara baada ya kuwapokea Watanzania hao kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
  16. M

    Movie ya The dictator (2012) ilitabiri hili tukio lililotokea kwenye vita baina ya Iran na Israel

    Hii ni baada ya Iran kurusha kombora moja matata sana. 😆 "They" waliotajwa ndio hao hao Israel😀
  17. Prof_Adventure_guide

    Mgogoro wa Iran na Israel: Chimbuko la kihistoria, wahusika na sababu halisi za vita baridi na vita vya kivuli

    Katika sura ngumu ya siasa za Mashariki ya Kati (Middle East), hakuna mgogoro uliojaa migongano ya kiitikadi, kijeshi, na kijasusi kama ule baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Taifa la Kiyahudi la Israel. Vita hii isiyo rasmi – proxy war – imedumu kwa zaidi ya miongo mitatu, ikiendeshwa kwa...
  18. Rorscharch

    Ni Ujinga Kusema Haituhusu. Vita ya Iran na Israel Inaweza Kuirudisha Tanzania Enzi za Ujima

    JE, VITA YA TATU YA DUNIA INAWEZEKANA? Tafakari ya Kiuhalisia Kutoka Hiroshima hadi Enzi za Mtandao na Droni Ndugu msomaji, Usikie sauti hii kama ya mwandishi wa barua kutoka siku za mwisho wa dunia. Sio barua ya matumaini, bali ya ukweli usiopendeza. Dunia yetu iko kwenye kingo za shimo...
  19. Ashampoo burning

    Iran na Israel: Kutoka Mabest hadi Maadui wa Kuuana

    Iran na Israel: Kutoka Mabeste Hadi Maadui Basi hebu nikusimulie hii stori kali – kama vile tupo vijiweni tunagawana kahawa ya jioni. Zamani hizi, kabla mambo hayajaharibika, Iran na Israel walikuwa kama mabest wa damu. Walishirikiana kwenye biashara, walipigiana tafu kwenye siasa, na walikuwa...
  20. Khanji kapoor

    Iran na israel watabadilishana majasusi hivi karibuni

    Iran iliwakamata majasusi watano wa Israel ikiwahusisha na kudukua mfumo wa anga la tehran na kuwatumia wenzao wa israel na siku moja baadae Iran ikapoteza uthibiti wa anga na kupelekea kushambuliwa vibaya Sasa kumbe israel ilikuwa inawajua majasusi ya tehran baada ya kuona ile habari na wao...
Back
Top Bottom